Uchaguzi BAWACHA: Sharifa Suleiman aibuka kidedea Uenyekiti Taifa

Naibu Katibu Bawacha Taifa (Bara) Nuru Elias Ndosi
View attachment 1790185
Matokeo ya uchaguzi nafasi ya Naibu Katibu Bawacha Taifa (Bara):-
1. EMA Theobald Boki - kura 15 2. Brenda Jonas - kura 17 3. Nuru Ndosi - kura 36
Mheshimiwa Bahati Chumu Haji amechaguliwa kuwa naibu katibu mkuu BAWACHA (Zanzibar) ambaye alikuwa mgombea pekee kwa kupata kura 60 za ndiyo na tano za hapana.
Huyu ni miongoni mwa safu mpya waliochanguliwa kuongoza Bawacha taifa kama unavyowaona pichani !

 
Kwangu sioni shida, Kama uchaguzi ulikuwa huru Sio mbaya.Ndo maana ya demokrasia..
 
Yule Simba wa kibaraka Lisu amepigwa chini 😂😂
 
Aliogombea nao wote ni viazi ndio maana kawapiga chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…