Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahan bro,HV wale wasimamizi waliosimamia uchaguz uliompa uenyekit mbowe walilipwa na nan?Binafsi nitaanza tena kupiga kura mara tu baada ya Rais wa sasa kuondoka madarakani au labda aikane hadharani ile kauli yake ya kuwalipa Wakurugenzi wa Halmashauri mishahara (ingawa si kweli), halafu wawatangaze wapinzani!
Samahan bro,HV wale wasimamizi waliosimamia uchaguz uliompa uenyekit mbowe walilipwa na nan?
Duuuuu!!!!! Wazo zur kuwa mzalendo waswahili tuna msemo wetu kuwa 'anayemlipa mpiga zumari ndiye anayechagua wimbo' haiwezekani DJ aratibu uchaguz aandae fund na mambo mengineyo alafu ww hapo umpiku kwenye huo uchaguz.Khaa!! Sasa si uwaulize wenyewe! Mimi na Chadema/Mbowe wapi na wapi!![emoji849]
Mimi ni Mtanzania tu Mzalendo na Mpenda Mabadiliko nisiye na chama.