Sasa arsenal wanahusiana nini na huu mjadala?
Acheni upuuzi huu mnaotaka kuuleta
issue hapa ni zitto kumtukana mzee malecela na si arsenal
"Huyu Zitto sasa keshaanza kuboa. Sijapendezwa na matusi yake ya reja reja kwa mzee malecela na kama anazo attacks ilitakiwa azielekeze kwenye policies za CCM na siyo Mzee huyu ambaye hakuna alichomkosea
Huu ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu
Mbona yeye mama yake aliiba pesa za walemavu na kukimbia mji na hakuna aliyepanda jukwaani kumwambia kuwa ni mwizi?
Chonde Zitto kama unaanza matusi basi ujue wengine nao wanaweza kukutusi kama unavyowatusi hawa wazee...regardless of their flaws huwezi kupanda jukwaani kumtukana mzee kama yule bila sababu ya msingi"
Watakuja, kina Dk. Mwakyembe kuwaambia wao wanapambana na mafisadi, lakini hao ni wanafiki, na wao ni mafisadi tu, kwani huwezi kusema unapambana na ufisadi halafu ukiwa ndani ya CCM, alisema Zitto.
Adaiwa kukwama kupanda jukwaani
.CCM yafanya mikutano mafichoni
Reuben Kagaruki na Faida Muyomba, Busanda
NAIBU Katibu Mkuu wa chama cha CHADEMA, Bw. Kabwe Zitto amesema tingatinga la Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Bw. John Malecela limeshindwa kupanda jukwaani kwa kuwa limegeuka bajaj kwa kuanza mikutano ya mafichoni.
"CCM hawana ubavu wa kupambana na CHADEMA, hata wabunge wao wanaojidai wanapambana na ufisadi ni waongo wakubwa. Kama wanataka kupambana na ufisadi waondoke CCM kwa sababu hawawezi kupambana na ufisadi wakiwa ndani ya CCM," alidai Bw. Zitto.
Alisema CCM imekuwa na mazoea ya kumtuma Bw. Malecela kwenye uchaguzi unaokuwa na upinzani mkubwa na ndio maana akaletwa hapa kama tingatinga lakini amejikuta akikwama kupanda jukwaani.
Bw. Zitto ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini alidai moto wa CHADEMA jimboni hapa Bw. Malecela hauwezi kwa kuwa ni bajaj iliyochoka na ndio maana imeamua kufanya mikutano ya mafichoni na wanachama yenye lengo la kuiba kura.
Katibu huyo ambaye alikuwa akishangiliwa muda wote alisema hata kama CCM watapeleka viongozi wao maarufu wakiwemo wabunge kama akina Dkt. Harrison Mwakyembe na Bi. Anne Kilango jimboni hapa lakini akatamba kuwa ngoma
hawaiwezi kwa kuwa ni nzito.
Source: Majira, Sunday, 10 May 2009
Nilitaka niachane nawe lakini ngoja nikujibu tu!
1. Kama RA ashikilii ccm kwa nini mnashindwa kumface na kumtimua kwenye chama chenu. Mtu mabaye image yake imeharibika hivyo hata kama anaonewa ni better ajkae pembeni lakini mmeshindwa kumtoa na anaendelea kukizamisha chama chenu. Sasa hhvi ili mptate ushindi ni lazima muibe tu na ndipo hapo umuhimu wake unapoonekana. Chama chenu tunajua kisipomtaka mtu huwa kinamwambia live, kumbuka John malecela alivyokemewa na mkapa kuwa aache kulilia kama ajakubaliana na matokea ahame chama. Unaona msipo mtaka mtu mnavyofanya kwa hiyo wewe bwabwaja tu lakini bado RA ni muhimu sana kwa chama chako.
2. Kutolewa uweka hazina hii nayo nimoja ya vioja unavyovirudia rudia humu mara kwa mara. Kwanza unataka kuonesha kuwa unamjua Jk mpaka rohoni kwa kusema kuwa amemtema uweka hazina RA kwa sababu unajuaje kama hawakukubaliana mapema kuwa atoke? hebu ona hili, hawa jamaa mwaka 2005 waliiba fedha za umma, na walijua kuwa wameiba fedha za umma inawezekana siku moja waka gundulika na wakigundulika wasipoteze image yao. nini wafanye ni kumtoa ni kumtoa mshiriki kwenye nafasi amabayo soo likigundulika haliwezi kukiweka chama chenu kwenye nafasi mbaya. Kwa hiyo RA alichagua yeye mwenyewe kutoka na ndiyo maana aliyebadili anachukua order kutoka kwake. Au unataka kusema kuwa mmeleta mtun mpya kwenye hiyo post?
3. Hii ya takukuru wewe subiri tu kwa nini unataka kuwahi hivyo? njisi alivyopokelewa tu inaonesha njisi mlivyo mpa nguvu kwenye chama chenu na serikali yenu. Kwa sasa kikwazo chake ni sisi wanachi tu kwani nyie (ccm na Serikali) tayari amewakamata pabaya sana, pale!
4. Kuhusu kutumia Jina la Yesu wewe niombee tu kwani nampenda sana na nitaendelea kumweka mbele. Naomba unieleze ila nijirekebishe kuhusu kulitumia vibaya jina lake kwani hiyo ni moja ya mambo ambayo ninakuwa mpole kabisa
5 Mimi sijifanyi chadema ila kwa sasa kura yangu inaelekea huko. Naona unatamani niwe ccm na nimtumikie nchimbi na chama chako. kwani kwa wewe bora ni ushindi kwa chama chako na sio maslai ya taifa. unachotaka hakiwez kutokea ni ndoto tu. ccm haiwezi hata siku moja kujisafisha kwani imeoza.
6. tafuta njia nyingine ya kumbana mwanachama mwenzio nchimbi na sio kupitia kwangu mimi. Mimi sian tatizo na wewe binasfi wala sikujui na siitaji kukujua ila ukileta mawazo yako hapa nakujibu.
7 Namalizia kwa kusema kuwa kama unataka ushindi wa chama chako no=i lazima umpende RA kwani ndiye ushindi wenu
angekuwepo sophia simba hapa angekwambia, UTAJIJU!!Huyu Zitto sasa keshaanza kuboa. Sijapendezwa na matusi yake ya reja reja kwa mzee Malecela na kama anazo attacks ilitakiwa azielekeze kwenye policies za CCM na siyo Mzee huyu ambaye hakuna alichomkosea
Huu ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu
Mbona yeye mama yake aliiba pesa za walemavu na kukimbia mji na hakuna aliyepanda jukwaani kumwambia kuwa ni mwizi?
Chonde Zitto kama unaanza matusi basi ujue wengine nao wanaweza kukutusi kama unavyowatusi hawa wazee...regardless of their flaws huwezi kupanda jukwaani kumtukana mzee kama yule bila sababu ya msingi
kwa nini umuingize mama yake zitto kumtetea malecela ? na mimi nikimuhusisha mama yako kumtetea zitto utapenda ?si hivyo tuuu mbona mama yake ZITTO ambaye ni mlemavu aliiiba pesa za walemavu na kukimbilia Mwanza hakuna anayemtukana au basi tuu anataka umaarufu kupitia mgongo wa mzee malecela?
au pesa za MENGI zinamlewesha?
kwa nini umuingize mama yake zitto kumtetea malecela ? na mimi nikimuhusisha mama yako kumtetea zitto utapenda ?
usiende huko GT !
kumjadili kada haitokusaidia chochote, i still stand with my position HAKUNA TUSI LOLOTE LILILOONGELEWA NA ZITTO.- Acha vitisho mkuu kwenye siasa matusi kama ya Zitto yanakubalika, GT weka vitu mwanangu!
FMES!
inavyooelekea hali ni ngumu kwa CCM busanda...sioni matusi kwa mzee malecela zaidi ya lugha za katika kampeni...matusi huwa anatoa mzee makamba bwana ngoja muda si mrefu utamsikia especial wakati huu maji yakionekana kuwa shingoni...Huyu Zitto sasa keshaanza kuboa. Sijapendezwa na matusi yake ya reja reja kwa mzee Malecela na kama anazo attacks ilitakiwa azielekeze kwenye policies za CCM na siyo Mzee huyu ambaye hakuna alichomkosea
Huu ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu
Mbona yeye mama yake aliiba pesa za walemavu na kukimbia mji na hakuna aliyepanda jukwaani kumwambia kuwa ni mwizi?
Chonde Zitto kama unaanza matusi basi ujue wengine nao wanaweza kukutusi kama unavyowatusi hawa wazee...regardless of their flaws huwezi kupanda jukwaani kumtukana mzee kama yule bila sababu ya msingi
kumjadili kada haitokusaidia chochote, i still stand with my position HAKUNA TUSI LOLOTE LILILOONGELEWA NA ZITTO.
Hakuna yeyote yule anayepaswa kukingiwa kifua ! i mean no ONE!
sawa sipingi hata moja!- Ninasema hivi acha vitisho kama una hoja weka hapa, Zitto aka Dowans hana jipya ni CCM-Mtandao.
FMES!