Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni kuelekea uchaguzi

Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni kuelekea uchaguzi

CCM wakipigwa kwa manati - halali tu wala hakuna anaye leta post yake hapa, ila wao wakidhaniwa tu hata bila kufanya lolote, kosa. Mbona tunalalia upande mmoja??
 
CCM wakipigwa kwa manati - halali tu wala hakuna anaye leta post yake hapa, ila wao wakidhaniwa tu hata bila kufanya lolote, kosa. Mbona tunalalia upande mmoja??

Mzee Kibiongo, Mimi nadhani wewe utakuwa huishi Tanzania, maovu yote ya SISIEMU huyaoni!!! Inashangaza sana kumuona mtanzania mwenye uchungu na nchi yake akawa mtetezi wa Chama Cha MAFISADI.

Kwa kifupi mimi binafsi nimechoshwa na Uongozi wa SISIEMU, na ninaimani kuwa kuna watanzania wenzangu wengi sana ambao nao pia wamechoswa na Serikali ya KIFISADI. Kinachotakiwa ni kupanga mikakati kamambe ambayo itasaidia kuidhihofisha SISIMU mwaka 2010.
 
Hata iweje hawawezi kuzima nguvu za umma tena...
 
CCM wakipigwa kwa manati - halali tu wala hakuna anaye leta post yake hapa, ila wao wakidhaniwa tu hata bila kufanya lolote, kosa. Mbona tunalalia upande mmoja??

Kabla hawajapigwa na manati watakuwa wameshawafyatulia raia maskini risasi za kutosha. CCM inadhulumu watu wake, inatumia nguvu kuwaumiza pasipo sababu kisingizio ni vurugu. Definition ya vurugu kwao ni pale chama kingine kinapowashinda.
 
je kama pikipiki hazijasajiriwa wasikamatwe tu utawala wa sheria uko hivyo.kuna mengi tu sikubaliani na polisi lakini kama kuna kosa kwa nini wasikamatwe.
 
CCM wakipigwa kwa manati - halali tu wala hakuna anaye leta post yake hapa, ila wao wakidhaniwa tu hata bila kufanya lolote, kosa. Mbona tunalalia upande mmoja??

Wangepigwa manati mabomu ya mbagala yangehamia Busanda!

Ebu fikiria, wamekamatwa live wana nunua shahada, kitu gani kimefanyika?

Unajua ndugu yangu hata kama wewe ni kada wa CCM ifikie mahali uone ukweli na hali halisi! hatuwezi kuendelea namna hii wachache kutafuna nchi wengi wakiteseka.

Hata hao wachache wamenogewa hawana hata mbinu za kuindeleza nchi wao kilichopo ni kuitafuna tuuuuuu mwishowe itaisha jamani? itaisha!!

Dhahabu zote na madini yote kwa aina zake wanagawa tu, ardhi nzuri wanagawa tu, mbuga za wanyama huko ndo usisema, maduka makubwa makubwa na viwanda, mashirika ya umma vyote wanagawatu, jamani nchi itaisha uwiiiii!

We need CCM out, tuanze upya! please huu ndio muda pekeee wa uokaji wa nchi yetu inayo angamia. Polisi tafadhali fumbukeni macho muikomboe nchi yenu, msikubali kuwa vibaraka!
 
Last edited:
Acheni uongo na unafiki. Kama nyie ni wakweli mbona kura zenu mnawapa CCM na wanashinda kwa kishindo???? Kila post ukisoma hapa mnawaita MAFISADI lakini wakati wa kupiga kura mnawapigia, ajabu!!! Kama nyie ni wakweli basi fanyeni kweli 2010 kwa kuwanyima kura. Shida yetu tuliowengi ni kupiga porojo bila vitendo na wakati wa kura ama hatupigi au tunawapigia.
 
Unajua hawa CCM wanadhani wataendelea na Unyanyasaji wao milele! Wajue kuwa kila kitu kina Mwanzo na Mwisho. Watu wenye akili ndogo wanadhani kila siku mambo ni hivyohivyo hayatabadilika. Wanajidanganya!

CCM mimi nionavyo na ninavyopiga darubini zangu wataendelea kutawala hata miaka 50 unlesss otherwise First law on motion iwe applied.

hiyo law inasema hivi kwa wale waliyoisahau .
Body will keep its original state unless otherwise external force is applied to it.

Tutasema sana na kuongea sana lakini watawala wameshatugunduwa si tuwaoga kama ndege kule kwetu tunamwita JOLOWE.

Ama tu wanafiki kwa maana dhamila yetu ni yakinafiki. HEY YOU CAN"T BOIL EMPTY POT STILL U EXPECT SOUP
 
Wakati huo huo jeshi la polisi limekamata pikipiki zote zinazotumiwa na CHADEMA katika shughuli zake za kampeni katika kata za jimbo la Busanda kwa kisingizio cha kutokusajiliwa.

CHADEMAwalibuni mbinu ya kutumia piki piki kwani sehemu kubwa ya jimbo la Busanda haifikiwi kwa magari

He!!!

Ama kweli kuna ulazima mkubwa sana wa kuwamwaga hawa

jamaa...

Thats too foolish...!!

Nadhani kuwanyanganya pikipiki si suluhisho, labda

wawanyang`anye maboksi ya kura.
 
Acheni uongo na unafiki. Kama nyie ni wakweli mbona kura zenu mnawapa CCM na wanashinda kwa kishindo???? Kila post ukisoma hapa mnawaita MAFISADI lakini wakati wa kupiga kura mnawapigia, ajabu!!! Kama nyie ni wakweli basi fanyeni kweli 2010 kwa kuwanyima kura. Shida yetu tuliowengi ni kupiga porojo bila vitendo na wakati wa kura ama hatupigi au tunawapigia.

Hizo data za kushinda kwa kishindo unazitoa wapi? Nani mpishi wake?? Kama sio hao hao vibaraka utanishawishi. Leo polisi wanawanyang'anya hawa walalahoi vitendea kazi, kesho wanawaribia shahada, keshokutwa wanahesabu kura kwa kuruka tano tano ili hesabu ya CCM iwe kubwa. Matokeo - ushindi wa kishindo. Waongo na wanafiki nahisi unawajua.
 
je kama pikipiki hazijasajiriwa wasikamatwe tu utawala wa sheria uko hivyo.kuna mengi tu sikubaliani na polisi lakini kama kuna kosa kwa nini wasikamatwe.

Tangu hizo pikipiki zinatembea hawakuona zilistahili kukamatwa, ila 'leo' ndio muda muafaka eh? Kwani uliambiwa kazi ya polisi ni ya msimu? I thought wako kazini masaa 24 daily?

Au hizo pikipiki zimeingia barabarani leo tu labda? Hata kama ni hivyo, kwa mazingira yaliyopo wangetumia busara. Shida ni kwamba ukishakuwa mpinzani polisi wamefundishwa kukuchukulia kama mfungwa aliyetoroka jela.
 
Wakati huo huo jeshi la polisi limekamata pikipiki zote zinazotumiwa na CHADEMA katika shughuli zake za kampeni katika kata za jimbo la Busanda kwa kisingizio cha kutokusajiliwa.

CHADEMAwalibuni mbinu ya kutumia piki piki kwani sehemu kubwa ya jimbo la Busanda haifikiwi kwa magari

Mkuu hii habari inasikitisha sana; ina maana siku zote hawakuona kwamba pikipiki hazina usajili?? Ukipita wilaya zote za mwanza utaona uregistered motorcycles na zionabeba abiria... leo yamekuwa hayo!!!???

Anyway, maadam watanzania si mabwege tena, maamuzi watafanya wanayotaka na si kwa kulazimisha

Lakini pia tujifunze kwamba tukijiandaa vizuri kufuata sheria tutakuwa hatuna vikwazo
 
Janjaweed ni wauwaji na wameua wengi Darfur, Usifananishe CCM na wauwaji wale...hizi ni campaign za kisiasa, tukianza kutia chumvi mambo haya yanaweza kulipuka
 
je kama pikipiki hazijasajiriwa wasikamatwe tu utawala wa sheria uko hivyo.kuna mengi tu sikubaliani na polisi lakini kama kuna kosa kwa nini wasikamatwe.

Huu utawala wa sheria unauona kwenye mapikipiki tu, kwenye Ufisadi uko kimyaaaa......
 
Janjaweed ni wauwaji na wameua wengi Darfur, Usifananishe CCM na wauwaji wale...hizi ni campaign za kisiasa, tukianza kutia chumvi mambo haya yanaweza kulipuka

Muaji ni mwuaji tu awe Darfur, Tarime au Busanda, Mbagala all the same. CCM na Janjaweed ni walewale. Mbaya zaidi ni uuwaji indirectly wa maskini wasio na hatia unaofanywa na CCM. Need say more?
 
CCM wakipigwa kwa manati - halali tu wala hakuna anaye leta post yake hapa, ila wao wakidhaniwa tu hata bila kufanya lolote, kosa. Mbona tunalalia upande mmoja??


Kama vibaka wanauawa kariakoo,je hii mijizi iliyotuibia mabilioni? Ni ya kuchoma moto kabisa....tufuate falsafa ya waziri mkuu,ya sheria mkononi.Nina hasira sana na CCM!
 
CCM wakipigwa kwa manati - halali tu wala hakuna anaye leta post yake hapa

JESHI la polisi Mkoani Mwanza,limekanusha kuwa nguo iliyochomwa moto na wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kampeni za uchaguzi mdogo unaoendelea Busanda wilayani Geita haikuwa Bendera ya CCM bali kilikuwa ni kitambaa kinachofanana na Bendera ya Chama hicho.

Mbali na hivyo jeshi hilo limesema kuwa hakuna mtu aliyekamatwa na polisi kuhusiana na tukio hilo pamoja na waliokuwa wakitembea na manati na mawe kwa lengo la kuvuruga amani katika uchaguzi huo.


Akizungumzia tukio hilo kwa waandishi wa habari jana ofisini kwake jijini hapa,Kaimu Kamanda wa polisi,Elias Kalinga alisema kuwa hakuna Bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyochomwa moto na wafuasi wa CHADEMA isipokuwa walichofanya wafuasi hao ni kutafuta kitambaa kinachofanana rangi na Bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kukifunika katika sanduku la jeneza hilo kisha baadaye kukichoma moto.

Unalo???
 
Back
Top Bottom