Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 576
- 876
Nimekwazika sana baada ya kufuatilia Mdahalo wa Wagombea wa BAVICHA kuona wanashambulia Maridhiano kwamba hawakubaliani nayo na mambo mengine ya kijinga waliyoongea kuonyesha upeo mdogo sana wa kuona mambo kwa upana.
Kwa wanaoelewa hali ya kisiasa ilipofikia hata Vikao vya ndani vya Chama vilikuwa havifanyiki Polisi wanavuruga, ni as if CCM walikuwa wameamua kuwa completely Dictactors.
Kipindi hicho wote wakina Heche walikuwa wanalialia tu Maisha yao yako hatarini, wengine wamekimbia nchi, hao wakina Mwaipaya na Pambalu wanafanyia siasa Mitandaoni hawaonekani, nchi nzima ilikuwa imejaa hofu.Vyombo vya habari vinafungiwa hata kuonyesha habari za CHADEMA vinaogopa.
Hayo Maridhiano ndiyo yametufikisha hapa leo tunawaangalia kwenye TV,wanafanya Vikao vyao vya Uchaguzi n.k,
Ieleweke Maridhiano hayo lilikuwa Azimio la Kamati Kuu akiwemo hao akina Lissu,Heche,Pambalu nk ambao leo wanatumia kama Karata yao ya Kampeni dhidi ya Mbowe as if lilikuwa suala la Mbowe binafsi.
BAVICHA kuweni na adabu na Mbowe, msimkosee heshima kiasi hicho kwasababu ya Madaraka, hamuendi kufanya Siasa za Umwagaji Damu mnaenda kufanya Siasa za akili, hamna Mwanasiasa anayefanya Siasa za akili akatweza mbinu yoyote ya kisiasa.
Ni kipi kipya Mbowe hajafanya ambacho mtaenda kufanya nyie wehu?Alishaandamana,Alishagoma,Alishasusia nk.Kuweni na heshima msidanganywe na hao akina Mwaipaya,Pambalu na Heche ambao siku ya Maandamano ya kifo cha Mzee Kibao walimuacha Mwenyekiti akaandamana mwenyewe pale Magomeni.