Uchaguzi CHADEMA kanda ya Kusini; Mganga wa Jadi Mpiga Ramli na Herbalist waibuka kidedea

Uchaguzi CHADEMA kanda ya Kusini; Mganga wa Jadi Mpiga Ramli na Herbalist waibuka kidedea

Nandagala One

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2020
Posts
1,913
Reaction score
2,286
Heshima kwenu wanaJF .
Uzi huu tachukiza wengi, ambao hawajawahi naleta thread za namna hii.

Jumapili iliyopita kabla ya Jumapili ya jana, ulifanyika uchaguzi wa CHADEMA kanda ya Kusini mjini Masasi.

Ni uchaguzi ambao uligubikwa na rushwa kutoka nje ya CHADEMA.

Wapiga kura waliuuza kura zao kwa bei ya shilingi 150,000/ zilizotolewa na mbunge wa CCM wa kike ,mtalamu wa kutoa taarifa bungeni na anayevuma kwa style ya kugagaa mavumbini anaposhukuru kwa miradi iliyotekelezwa jimboni mwake ,amabaye yupo katika Jimbo ambalo Lina Taasisi kubwa ya watawa wa kanisa Katoliki mkoani Ruvuma na anayehusika na wizara bya SIHA za watu.

Mbunge huyo amefadhili na kufanya malipo ya pesa kwenye mnada huo ulioitwa UCHAGUZI wa Kanda ya kusini.

Mbunge huyo alifanya hivyo kwa lengo la kuhakikisha CHADEMA haipati Viongozi bwa kusimamia vision yake, kufanya mobilization ya shughuli za chama kusini ya Tanzania Lindi, Mtwara na Ruvuma.

Kitu kilichokuwa kinaangaliwa ni kuhakikisha Viongozi wasio na vision mamluki wanapita,na Viongozi wenye vision na wenye influence wanashindwa.

Kwahiyo baada ya matokeo hayo walioshinda wote kutoka Songea, ambako harakati/movement za CHADEMA haziko hai kama ilivyo Lindi , Mtwara hasa NACHINGWEA,MTAMA,Tandahimba, na Masasi mjini ambalo chama kina nguvu ila kimekosa kutoa Viongozi wa kanda.

Katika uchaguzi huo ambao ulisimamiwa na Benson Singo Kigaila ambaye ni mwenza wa Mbunge mmoja wa Covid 19.

Jitu lenye ushawishi na vision Daktari mahadhi Mmoto, Daktari wa binadamu alianguka kwa kwa hila na kupata kura 19, kutoka kwa wajumbe wanaojielewa ambao hawakutaka kuuza utu wao kwa shilingi 150,000/.

Daktari Mahadhi Mmoto ni mbunge wa mioyo ya watu ambaye aliporwa ushindi wa Ubunge 2020 Jimbo la Nachingwea na kubambikiwa kesi magumashi na utawala wa Kambale.

Mahadhi Mmoto was real a right person kwa nafasi ya UENYEKITI wa kanda.

Katika uchaguzi huo Walioibuka na ushindi nafasi uenyekiti ,yaan Chairperson na Makamu wake, Mmoja ni Mganga wa kienyeji mpiga Ramli na mmoja Herbalist ndio taaluma zao au shughuli zao.

Hao wote wawili ni kutoka Songea Ruvuma, Lindi Mtwara hamna top leader zaidi ya mweka hazina wa Kanda.

Kitendo cha Viongozi wote wa juu kutoka Ruvuma kwa MBELEKO ya rushwa za mbunge wa ccm, ni dalili tosha kuwa CHADEMA ni CCM hawachekani sana kwenye rushwa.

Viongozi walioshinda hawana muda ,hawatakuwa na muda wa kufanya chochote Cha maana kwa vile wako pale kutimiza matakwa ya kuhujumu CHADEMA.

Kichekesho , nafasi ya Mwenyekiti walifungana kwa kura sawa, ikarudiwa kura iliyobadili matokeo ilinunuliwa kwa shilingi 550,000/ ililipiwa na mbunge huyohuyo wa CCM.

CHADEMA MAKAO MAKUU, imekuwa na tabia ya kuachia chaguzi za Kanda zijieendee tu, hakuna focus au msistitizo wa CHADEMA kuwatamani kuwa na mtu flani mwenye potentialities awe kiongozi case study ni kanda ya Kusini, badala yake yeyote atakayeshinda hakuna tatizo Kwao.

Kwa matokeo ya uchaguzi wa 2020, CHADEMA Ina mtaji mkubwa wa kura na uungwaji mkono hasa majimbo manne, likiwemo Jimbo mama kwa uungwaji mkono Nachingwea na Mtama. Kuelekea 2025.

Uchaguzi wa Kanda uliopita ni KABURI rasmi la CHADEMA kanda ya kusini ikiwa makao makuu ya CHADEMA hayataingilia uchaguzi huo.

Kwa kuonesha kuwa Kuna kitu sio Cha kawaida kati ya CCM Ruvuma na CHADEMA kanda, hakuna mbunge yoyote wa CCM toka NDANDA Mwambe C, na Mwambe G wa Masasi, aliyeonesha interest ya kusaidia kuhujumu Uchaguzi huo, ila mbunge wa ccm kutoka umbali wa kilometa zaidi ya 450 ndio kaingia Infront na kusimika Viongozi mamluki kutoka nyumbani kwake Ruvuma.

Mheshimiwa Mwenyekiti Mbowe na Kamati kuu, na Viongozi headquarters, ni wakati sasa wa kusafisha nyumba.

Tengua msisibitishe huo uchaguzi, urudiwe tena.

Katibu wa Kanda Kaduma ni kirusi kikubwa kwa afya ya CHADEMA kanda ya kusini, ondoa badili aje katibu mwingine.

MKAKATI WA KUUZA MAJIMBO YA KUSINI.

Kuna baadhi ya wanachama watakaopitishwa kwa baadhi
ya majimbo hasa ya mkoa wa Ruvuma,na mengineyo
pia, wamejipanga kuuza majimbo kwa kati ya milioni 300 na 500 kutegemea ugumu wa jimbo,ili wasirudishe fomu, au wajipoteze kwa kutopatikana kwenye cm siku chache kabla ya kurudisha fomu ili CCM ishinde kwa urahisi this time.

Singo KIGAILA BENSON aangaliwe kwa jicho pekenyevu.

Kwa uchaguzi wa Kanda ya Kusini uliofanyika Masasi hajaonesha qualities zozote za uongozi na kusimamia vema uchaguzi ule, alikuwa yupo yupo tu, bila shaka hata yeye labda alikuwa na HESABU YAKE kutoka kwenye huo mnada uliofadhiliwa na huyo mbunge wa CCM.

Nilipaswa niandike Uzi huu mapema soon after election, nilikosa nafasi kutokana shughuli za kilimo Korosho zimeanza kudondoka.

Nimewiwa kuandika kama mtanzania hasa mpenda mageuzi.

Nipende kuwatakia siku njema.

Karibuni sana Kijijini Chinongwe Ruangwa.
 
Aliyeelewa atufafanulie kwa sentensi 5 zinazoanza na herufi q

Wolle Soyinka alijibu hivi kwa wanazuoni UDSM walipouliza maswali kuhusu ugumu wa literature zake hasa Engilish yake.

" THERE SOME LITERATURE HAS WRITTEN TO A CERTAIN CLASS OF PEOPLE, IF DON'T UNDERSTAND, YOU ARE NOT AMONG THOSE MEMBER WHOSE LITERATURE HAS WRITTEN FOR.."

Kamanhuelewi hupaswi kuwa hapa unapoteza muda Kujiona great thinker ,huna tofauti na mtoto wa darasa la pili!!

Shame on you!!😃😃
 
Ujinga tu ndio unakusumbua .umeshindwa huko kwenye sanduku la kura unakuja kuropoka ropoka Hovyo hovyo hapa utafikiri kichaa au mwendawazimu. Ninyi machadema mkishindwa mambo yenu mnaanza kutupia lawama CCM.ona mtu kama Mnyika jana na utu uzima wake eti anailaumu serikali kwamba haijafanya hamasa ya kuwaambia watu wakajiandikishe kwenye orodha ya daftari la mpiga kura.

Hivi hiyo ni akili au Matope? Hivi mnajitambua kweli? Mmekuwa watu wa hovyo sana na wenye kufanya vitu vya hovyo sana na wenye fikira za hovyo sana na imani za hovyo sana na mitizamo ya hovyo sana
 
Mimi ni mpenda mageuzi, wala sikuwa nagombea huo uchaguzi.

Kifupi umeelewa namna CCM wanavyoingilia kuhujumu Uchaguzi, na CHADEMA wanavyoingia kwenye rushwa.
 
Wolle Soyinka alijibu hivi kwa wanazuoni UDSM walipouliza maswali kuhusu ugumu wa literature zake hasa Engilish yake.

" THERE ARE SOME LITERATURE HAS WRITTEN TO A CERTAIN CLASS OF PEOPLE, IF DON'T UNDERSTAND, YOU ARE NOT AMONG THOSE MEMBER WHOSE LITERATURE HAS WRITTEN FOR.."

Kamanhuelewi hapaswi kuwa hapa unapoteza muda Kujiona great thinker ,huna tofauti na mtoto wa darasa la pili!!

Shame on you!!😃😃
Ningekushauri kakipitie tena hicho kiingereza uone km kweli ndo kimeandilea hivyo.....hakuna Soyinka anayeweza kusema 'there are some literature HAS.........among those MEMBER.' Labda Soyinka wa chadema lkn si huyu tumjuae.

Kwenye mada;
Kwahiyo mwenyewe unajihisi ni great thinker ee?!!!🤣🤣🤣🤣
 
Peleka huko ujinga wako.kama ulienda na matokeo yako mfukoni basi fahamu kuwa watu siyo wajinga.
Sina muda wa kukujibu sana wewe mramba miguu na MNAFIKI WA KINDALI unayevizia teuzi, unayejitoa ufahamu, naona siku hizi AKILI ZINAKURUDIA TARATIBU huweki Tena Number ya cm,ama kweli UJINGA NI MZIGO 🤣🤣🤣
 
Ningekushauri kakipitie tena hicho kiingereza uone km kweli ndo kimeandilea hivyo.....hakuna Soyinka anayeweza kusema 'there are some literature HAS.........among those MEMBER.' Labda Soyinka wa chadema lkn si huyu tumjuae.

Kwenye mada;
Kwahiyo mwenyewe unajihisi ni great thinker ee?!!!🤣🤣🤣🤣
Bado rudi kwenye mada bya misingi.
Kiingereza ni lugha but kama zingine, and language purpose always to fulfill communication.

Sarufi grammar ya lugha yoyote Lina changamoto, hakuna aliyefaulu 💯 percentage,hata wazungu English speakers wanaweza ku commit grammatical errors, na kwenye kiswahili ni balaa kabisa sarufi grammar ni Tatizo hata kwa Swahili speakers ambao Kiswahili ni lugha bya kwanza.

Sioni kama Kuna Cha maana ulichokosoa zaidi ya MZIGO WA ujinga uliobeba kichwani, hebu jielekekeze kwenye themes MAUDHUI ya uzi.

Natumaini umeelewa wewe BUMUNDA unayejiita Daktari 🤣😀🤣😀
 
Kwa nini iwe ni aibu mganga wa jadi kuibuka kidedea?
Hakuna tatizo hapo nilikuwa natoa sifa au quality za wagombea,sikuwa nabeza kazi zao.

Nilikuwa nalaani, kukosoa namna walivyopatikana, rushwa na mizengwe na malengo ya aliyewa promote kwa fedha
 
Kuwa mganga wa jadi siyo kosa ni taaluma na inatambulika kisheria tena kwa hizi sheria mbovu za CCM na wana chama chao, CCM inaongozwa na washirikina, majambazi, mafisadi, watekaji na wauaji.
 
Kuwa mganga wa jadi siyo kosa ni taaluma na inatambulika kisheria tena kwa hizi sheria mbovu za CCM na wana chama chao, CCM inaongozwa na washirikina, majambazi, mafisadi, watekaji na wauaji.
Mkuu Prime minister wa Israel, nilikuwa natoa qualities zao kwenye heading, lakini issue yangu kubwa ni hila,hujuma na magumashi ya external influence ya CCM.

Kuhusu kazi zao kwangu sioni tatizo!!
 
Mkuu Prime minister wa Israel, nilikuwa natoa qualities zao kwenye heading, lakini issue yangu kubwa ni hila,hujuma na magumashi ya external influence ya CCM.

Kuhusu kazi zao kwangu sioni tatizo!!
Sikusoma yote nimesoma heading nikadhani ni haya mashetani ya CCM yameleta ndiyo maana nikarusha bomu moja kwa moja
 
Sikusoma yote nimesoma heading nikadhani ni haya mashetani ya CCM yameleta ndiyo maana nikarusha bomu moja kwa moja
No kwenye Uzi nimeweka clear na kuonesha Nia yangu njema for the betterment of CHADEMA.

Head quarters ilikaa kimyaa katika ule Uchaguzi kuliko kanda nyingine yoyote.

Na ndio maana hata haijapata coverage ya kutosha. kabla na baada kama ilivyokuwa kanda Zingine.
 
Hakuna tatizo hapo nilikuwa natoa sifa au quality za wagombea,sikuwa nabeza kazi zao.

Nilikuwa nalaani, kukosoa namna walivyopatikana, rushwa na mizengwe na malengo ya aliyewa promote kwa fedha
Gongo ya mabibo haijawahi kumuacha mtu salama. Pole sana kunywa kwa kiasi!
 
Back
Top Bottom