Uchaguzi CHADEMA kanda ya Kusini; Mganga wa Jadi Mpiga Ramli na Herbalist waibuka kidedea

Hakuna kupita bila kupingwa 2024 na 2025..
Ni kweli haipo, ila great opponent akiwa nje ya ground, CCM itashinda kirahisi kwenye kampeni.

Ndo maana Kuna hatari kubwa sana ya waliojipanga kuuza majimbo na kutorudisha fomu baada ya kuthibitishwa na tume baada ya chama kuwapitisha.
 
Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.
 
Aliyeelewa atufafanulie kwa sentensi 5 zinazoanza na herufi q
Anamaanisha kwamba huyo mbunge wa ccm kutoka jimbo moja katika kanda hiyo, aliwapa rushwa wapiga kura wote wa kanda ya kusini ya chadema. Kila mpiga kura alipewa TZS 150,000. Ukizingatia kuwa idadi ya wapiga kura kwenye uchaguzi wa kanda haipungui watu 10,000, mbunge huyo wa ccm aligawa jumla ya sh. 150,000 Γ— 10,000 = 1,500,000,000.

Sasa huyu mleta mada atuambie 1,500,000,000 ni mabilioni mangapi ya pesa? Nina uhakika hatakuwa na jibu sahihi kwani hata kuandika kiswahili sanifu kinachoeleweka ameshindwa. Kiingereza nacho ameshindwa kukiandika kiusahihi. Anataka tuamini kuwa mtu mmoja anaweza kugawa sh 1,500,000,000 kwa watu 10,000 ndani kipindi kifupi, bila kuonekana kwa wanajamii, vyombo vya habari, TAKUKURU etc na akabaki salama? Anataka tuamini kwamba huyo mbunge wa ccm anaweza kuwa na kiasi hicho cha pesa sh. 1,500,000,000 cash (magunia kama 10 ya noti za elfu kumi kumi) za kuwasambazia wapiga kura 10,000 wa chadema? Kama ni kitu rahisi namna hiyo kwa nini hakikufanyika kwa Boni Yai hata baada ya kumsweka gerezani for 19 days?

Ila mleta mada ametuthibitishia kwamba hicho chama chake ni chama cha watu wasio na uelewa mpana wa kielimu. Kimejaa waganga wapiga ramuli chonganishi, waganga wa mitishamba, waganga njaa, matapeli, wahuni, majambazi, vibaka, panya roads, wabakaji, walawiti, mashoga,wasagaji, wavuta bangi, wazinzi, maDJ na kadhalika. Hivyo kushinda chaguzi zao lazima mara nyingi uwe mwenzao. Ndiyo maana haingewezekana msoni kama mchungaji Msigwa kumshinda huyo DJ wa Mbeya kwenye hiyo kanda. Ikabidi Msigwa arudi kwenye chama kilichobobea wasomi kama yeye.

Acha CCM iitwe chama cha mapinduzi na CHADEMA iitwe chama cha demokrasia na mauzauza. Kitaeleweka 2025.
 
Kwa hiyo ID yako na takataka uliyoandika, inatuthibitishia kuwa kweli Tanzania tofauti ya mpumbavu aliyeona milango ya shule/vyuo na yule asiyeona milango ya shule/vyuo ni vifupisho kabla ya jina lao.
 
Yaani wewe mleta uzi unashangaa ni kwa jinsi gani kigagula FF anakuchukulia serious na ujuha wako!!???

CCM mmeshapotezana na Upinzani hautaki kuungana!!
We mwanamke jielekekeze kwenye maudhui ya ya uzi!!
Usilete stress za ndoa Yako hapa jukwaani
 
Hujaelewa hata kidogo, uchaguzi wa kanda ya Kusini wajumbe wake hawafiki 100. Kura hawapigi wanachama wote, ni wajumbe wa wawakilishi kutoka kanda ya Kusini.
 
Wewe kweli ni pimbi hata typing errors hujui.

Je wewe hiki ni Nini??? Kiswahili??
 
Hii ni Nini?? nimekuandikia mimi?!
 

Attachments

  • Screenshot_20241010-011532.jpg
    86.9 KB · Views: 2
Kwamba "Literature has written for!" Itakuwa Wole Soyinka naye alichapia Kiingereza!
 
Kumbe yote hayo ya viwango vya pesa za hongo uliyajua na muhusika pia ulimjua kabla kwanini hukusanua kabla ukaliwacha likaharibika ukamuacha kigaila anavuta mpunga leo unakuja kulialia huoni kuwa wewe ni mtu hatari kwa mageuzi kuliko huyo mbunge,kigaila na hao waliopokea rushwa!
 
Unakataa ukweli kwa ujinga wako lakini hali halisi ya ccm ndio hiyo bila ya figisu hizo haitoboi hata mjumbe wa nyumba kumi.
 
Muhimu ni kufanyika kwa uchaguzi na wapigakura kuamua Kiongozi wao ni yupi kati ya wagombea. Mbona kwenye teuzi tunaona watu wa ajabuajabu wanateuliwa? Wengine ni vibinti vidogo na wengine watoto au Ndugu wa Viongozi? Viti maalum ndio kabisa mkorogo tupu. KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI ni suluhisho la changamoto zote. Itapunguza nafasi za UTEUZI na kuruhusu Mgombea Binafsi.
 
Nimekusoma kipara Kipya, angalau kutoa la moyoni ni sawasawa kuliko kukaa kimyaa jabisa!!
 
Kutokubali matokeo ya uchaguzi ni tatizo sugu kwa chadema, yaani iwe uchaguzi wa ndani au uchaguzi mkuu hamkubaligi matokeo, hamuaminiani.

Aisee mna safari ndefu kama chama.
 
Kwamba "Literature has written for!" Itakuwa Wole Soyinka naye alichapia Kiingereza!
Bado upo na mzigo wa ujinga, jielekekeze kwenye mada husika,angalia maudhui /mawanda ya uzi .

Achana na grammatical error, grammar sarufi hata English speakers ambao English ni lugha Mama Kwao hawajafaulu sana kwenye issue ya grammar,nenda East London, watu wanaongea gutter substandard english.

Njoo TZ watu hawajui tofauti ya maana baina ya neno HABARI,na HABALI.

Tofauti ya KURA na KULA..
Pia KURA na. KURARA , badala ya kula na kulala.

hiyo ni mifano michache.Katika paragraph zote umetafuta Kaneno kamoja tu badala ya kuangalia maudhui.

Kweli WEWE ni BUMUNDA,POPOMA wa kiwango Cha juu.

Naamini kweli UJINGA NI MZIGO ambao umeamua KUJITWIKA πŸ€”πŸ€”
 
Unamkumbuka mbunge PRO MAJI MAREFU?? Hakuwa mganga?
 
kwa hiyo Wole Soyinka aliongea kingereza kibovu namna hi yo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…