Wakuu ,kwa wale vijana wetu ambao hawakuwahi kusikia sauti tofauti ya Mwenyekiti wa chama cha Chadema, mwezi huu Mungu atatenda, ukumbuke ya kwamba hawa vijana wakati wa uhai wa maisha hawakuwahi kushuhudia Mwenyekiti tofauti na Mzee Mbowe. Kwa jinsi hali ilivyo ni dhahiri ya kuwa Mzee Mbowe ndio basi tena.
Lissu shukilia hapo hapo.
Lissu shukilia hapo hapo.