Watu wakweliWakuu ,kwa wale vijana wetu ambao hawakuwahi kusikia sauti tofauti ya Mwenyekiti wa chama cha Chadema ,mwezi huu Mungu atatenda,ukumbuke ya kwamba hawa vijana wakati wa uhai wa maisha hawakuwahi kushuhudia Mwenyekiti tofauti na Mzee Mbowe .Kwa jinsi hali ilivyo ni dhahiri ya kuwa Mzee Mbowe ndio basi tena.
Lissu shukilia hapo hapo.
Lisuu atawaamsha hadi vyuoni walikopatikana akina mnyika, mdee na zitto maana kwa sasa vyuoni chadema inaelekea kufa kabisa hakuna anayewasapoti wamekuwa waoga kupitiliza maana mzee wa maridhiano hataki tena amshaamsha,vyuoni ni uchawa tu wa saa100 mitano tena hadi keroWakuu ,kwa wale vijana wetu ambao hawakuwahi kusikia sauti tofauti ya Mwenyekiti wa chama cha Chadema ,mwezi huu Mungu atatenda,ukumbuke ya kwamba hawa vijana wakati wa uhai wa maisha hawakuwahi kushuhudia Mwenyekiti tofauti na Mzee Mbowe .Kwa jinsi hali ilivyo ni dhahiri ya kuwa Mzee Mbowe ndio basi tena.
Lissu shukilia hapo hapo.
Yule aliyeenda gerezani miezi 8 na aliyetoka ni watu wawili tofauti. Kukimbilia ikulu usiku usiku na kuandaa maridhiano bila kutanguliza akili kuta mgharimu sana Mbowe!Mbowe kazeeka vibaya ana akili kama za Kagame, m7 na Mugabe
Uongo huuLisuu atawaamsha hadi vyuoni walikopatikana akina mnyika, mdee na zitto maana kwa sasa vyuoni chadema inaelekea kufa kabisa hakuna anayewasapoti wamekuwa waoga kupitiliza maana mzee wa maridhiano hataki tena amshaamsha,vyuoni ni uchawa mtu wa saa100 mitano tena hadi kero
Labda utuambie imepigwa marufuku kwa wapinzani tu cyo ccm huko vyuoniUongo huu
Siasa zilishapigwa marufuku vyuoni tofauti na zamani
Timu Lisu acheni uongo na utapeli mitandaoni kwa ahadi hewa kama hii ya uongo
Mbowe amechagua njia mbaya sana ya kumaliza mwendo.Wakuu ,kwa wale vijana wetu ambao hawakuwahi kusikia sauti tofauti ya Mwenyekiti wa chama cha Chadema, mwezi huu Mungu atatenda, ukumbuke ya kwamba hawa vijana wakati wa uhai wa maisha hawakuwahi kushuhudia Mwenyekiti tofauti na Mzee Mbowe. Kwa jinsi hali ilivyo ni dhahiri ya kuwa Mzee Mbowe ndio basi tena.
Lissu shukilia hapo hapo.
Jamani tujuzeni na sisi kwani mzee Mbowe kasema nini leo?Lissu shukilia hapo hapo.
atasema keshoJamani tujuzeni na sisi kwani mzee Mbowe kasema nini leo?
Ohoo! Tunasubiri mzee wetu. Hakika amefanya makubwa sana ktk chama, lkn kwa sasa yatosha na yeye hatoshi.atasema kesho