gcmmedia
Member
- Jul 19, 2024
- 34
- 75
Bila kujali nani atashinda ama kushindwa na nini kitatokea baada ya uchaguzi, nimeona ukubwa wa CDM katika siasa za Tz. Uchaguzi wa Mwenyekiti CDM Taifa umetawala siasa za Tanzania kwa wiki kadhaa. Hakuna Chama tawala wala vyama vingine vya upinzani ambavyo vina-trend kwa sasa.
Hili ni jambo zuri kwa siasa za upinzani kuwa masikioni mwa watu. Wanatakiwa waitumie hii fursa vizuri.
Hili ni jambo zuri kwa siasa za upinzani kuwa masikioni mwa watu. Wanatakiwa waitumie hii fursa vizuri.