Pre GE2025 Uchaguzi Chadema waanza, hivi ndivyo uhakiki wapiga kura unavyofanyika

Pre GE2025 Uchaguzi Chadema waanza, hivi ndivyo uhakiki wapiga kura unavyofanyika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mchengerwa kapata ugum gani? Acha fananisha vitu vya msingi na ujinga ,

Hivi unaweza sema kwamba tulikua na uchaguzi wa serikali za mtaa kweli? Acheni utani
Kwani hapo Mlimani City kwenye tsh million 250 za Aziz Kuna Uchaguzi? 😂😂😂🐼
 
Isije ikawa wanafanya uchaguzi wa kukamilisha ratiba kumbe wamepanga mbowe awe mwenyekiti na lissu awe mgombea urais, na ipitishwe fasta hali ya mivutano na kambi zife warudi kuwa wamoja. Hapo chadema itabaki bila mabadiliko ni the same yesterday, today and tomorrow!
 
Kwani hapo Mlimani City kwenye tsh million 250 za Aziz Kuna Uchaguzi? 😂😂😂🐼
kamuulize mzee Mgaya, mkutano wa kuwapitisha wagombea Urais wa ccm juzi ,kwa nini Msajili wa vyama asikifute chama cha ccm, akikupa jibu njoo twendeleze mjadala
 
Kwani hapo Mlimani City kwenye tsh million 250 za Aziz Kuna Uchaguzi? 😂😂😂🐼
Sie kwa wabangaizaji ni nyingi sana ilihali zisiwe zimetoka kwenye mfomo wa Rushwa, sasa ccm si mnajichotea tu, ivi mkutano wa juzi mmetumia B ngapi
 
Back
Top Bottom