Isije ikawa wanafanya uchaguzi wa kukamilisha ratiba kumbe wamepanga mbowe awe mwenyekiti na lissu awe mgombea urais, na ipitishwe fasta hali ya mivutano na kambi zife warudi kuwa wamoja. Hapo chadema itabaki bila mabadiliko ni the same yesterday, today and tomorrow!