maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Wanajamii,
Tuendelee kudai uchaguzi huru navhaki kupitia katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Hii itasaidia kupata viongozi tunaowachagua wenyewe ambao watafuata matakwa yetu.
Ona Afrika kusini uchaguzi unavyoenda, ANC inaenda kupoteza wingi wake bungeni na hivyo itabidi kama kinataka kusalia madarakani kiwe na makubaliano na vyama vingine.
Tanzania nasi tutafika hapo. Mungu wetu watanzania atasimamia hili.