maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Naomba sana ANC ipate chini ya asilimia 30 ya kura ili vyama vingine vingi viungsne kuunda serikali. Kana ANC Itabakia na ushindi wa asilimia 41 wa sasa anaweza kuungana na Malema nwenye asilimia 9 wakaunda serikali, Malema hafaii kabisa kuwemo katika serikali.Wanajamii,
Tuendelee kudai uchaguzi huru navhaki kupitia katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Hii itasaidia kupata viongozi tunaowachagua wenyewe ambao watafuata matakwa yetu.
Ona Afrika kusini uchaguzi unavyoenda, ANC inaenda kupoteza wingi wake bungeni na hivyo itabidi kama kinataka kusalia madarakani kiwe na makubaliano na vyama vingine.
Tanzania nasi tutafika hapo. Mungu wetu watanzania atasimamia hili
Hata Uchaguzi wa Chadema ni bora kuliko huu wa Tume uetuWanajamii,
Tuendelee kudai uchaguzi huru navhaki kupitia katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Hii itasaidia kupata viongozi tunaowachagua wenyewe ambao watafuata matakwa yetu.
Ona Afrika kusini uchaguzi unavyoenda, ANC inaenda kupoteza wingi wake bungeni na hivyo itabidi kama kinataka kusalia madarakani kiwe na makubaliano na vyama vingine.
Tanzania nasi tutafika hapo. Mungu wetu watanzania atasimamia hili
anae faa ni nani sasa 🐒Naomba sana ANC ipate chini ya asilimia 30 ya kura ili vyama vingine vingi viungsne kuunda serikali. Kana ANC Itabakia na ushindi wa asilimia 41 wa sasa anaweza kuungana na Malema nwenye asilimia 9 wakaunda serikali, Malema hafaii kabisa kuwemo katika serikali.
Mimi napendelea iundwe serikali ya mseto ikihusisha DP MK ya Zuma na IFP ya Buthelezi( marehemu). Hii ingewezrkana kana ANC angepata kura zisizozidi asilimia 30. Ili ANC ikae pembenianae faa ni nani sasa 🐒
Hakuna mamlaka itakayodumu milele, asema bwana, bdo CCM, zao zinahesabika...Wanajamii,
Tuendelee kudai uchaguzi huru navhaki kupitia katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Hii itasaidia kupata viongozi tunaowachagua wenyewe ambao watafuata matakwa yetu.
Ona Afrika kusini uchaguzi unavyoenda, ANC inaenda kupoteza wingi wake bungeni na hivyo itabidi kama kinataka kusalia madarakani kiwe na makubaliano na vyama vingine.
Tanzania nasi tutafika hapo. Mungu wetu watanzania atasimamia hili
Ndicho kinachoenda kutokea 2025!serikali mseto!!Wanajamii,
Tuendelee kudai uchaguzi huru navhaki kupitia katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Hii itasaidia kupata viongozi tunaowachagua wenyewe ambao watafuata matakwa yetu.
Ona Afrika kusini uchaguzi unavyoenda, ANC inaenda kupoteza wingi wake bungeni na hivyo itabidi kama kinataka kusalia madarakani kiwe na makubaliano na vyama vingine.
Tanzania nasi tutafika hapo. Mungu wetu watanzania atasimamia hili
DA could be the best bet, john steenhuisen ni aina ya mtu asiye na "uswahili" na ndicho kinachomponza, weusi wanaogopa kurudisha mpira kwa kipa, walipambana kumtoa mzungu, saaa wanamtamani mzungu, ila wanaona aibu.Mimi napendelea iundwe serikali ya mseto ikihusisha DP MK ya Zuma na IFP ya Buthelezi( marehemu). Hii ingewezrkana kana ANC angepata kura zisizozidi asilimia 30. Ili ANC ikae pembeni