Sasa wewe hapa umechangia kipi cha maana!Kwa upupu huu we kafanye kazi nyingine siasa huwezi. Labda nyumbu ndio hawataichagua, ila wananchi ambao ni binadamu watachagua kwa kishindo.
Sasa wewe hapa umechangia kipi cha maana!Kwa upupu huu we kafanye kazi nyingine siasa huwezi. Labda nyumbu ndio hawataichagua, ila wananchi ambao ni binadamu watachagua kwa kishindo.
Unamwangusha sana 'hero' wako kwa mawazo ya aina hii.Bosi mfumo wetu ni dhaifu sana. Yaani sheria tunazo ila ukisema leo huyo fisadi umfunge au kumfukuza kama alivyofanya Dkt Magufuli ujue watu wataenda kwa Mwaposa kuomba eti mungu akushushie kiama wewe uliyemuwajibisha etc. kwa ufupi sisi ni kielelezo cha taifa la wezi. Ni ngumu sana hiki kizazi kukifanya kione rushwa ni adui wa haki, labda tupate Dkt Magufuli mwingine tena ingawa ni ngumu sana maana kile
Mwenye uelekeo wa Dkt Magufuli anauliwa. Hivyo ushauri wangu tuzoee huu wizi labda kitakuja kizazi chenye kuona rushwa ni adui wa haki
Kalamu ni ukweli. Fikiria hebu mtumbue mla rushwa uone pole zitakavyotolewa na ndugu jamaa na marafiki. Kwa ufupi Tanzania ni kizazi cha wala rushwa ndiyo maana mi nampenda sana Dkt Samia, yaani yeye anawaangalia tu na mifumo yenu ya kiwizi mfanye mtakalo maana governance yetu juu ya uwajibikaji ni broken, labda wakitofautiana migao ujue hapo utasikia mtu kakamatwa na DPP atafanya kazi yake etcUnamwangusha sana 'hero' wako kwa mawazo ya aina hii.
Mungu Mwenye Enzi Yuko upande wa umma.Ukitazama hali halisi ilivyo sasa ni wazi kabisa matajiri, watu wenye uchumi mzuri, biashara kubwa, na watu wa serikali ndo wanaridhika na mwenendo wa serikali kwa sasa. Sasahivi wanasukuma magari ya mill 300 na 400 kama wanaigiza ila ndo kweli hivo.
Kula kwa urefu wa kamba ndo slogan ya Tanzania. Pesa zinazotoka na Kodi za wananchi imekuwa ni halali kuliwa na Wanasiasa bila aibu. Kila wizara, kila sekta, na kila eneo pesa zinaliwa, huduma ni hafifu, viongozi wamejaa kiburi kwa kuwa wanatumia pesa zetu na hakuna wa kukemea.
Sasahivi kupata haki mahakamani kwa maskini ni ndoto, nidhamu katika utumishi wa umma ni msamiati, kuzulimiwa kiwanja au nyumba na mtu mwenye pesa ni jambo la kawaida.
Sasa ule wakati wa kuanza kuona viongozi wakija kwenye vijiwe vya kahawa ndo huu, tutawaona sana wakati huu huku vijijini, kujifanya kutembelea wananchi huku wakipiga mapicha ya show off, ila wakati huu ndo wakati wa kutambuana vizuri.
Nyakati za unafiki zimeisha, ni wakati wa kila mbunge sasa kuja kutuambia umefanya nini toka tumekuchagua. Wengi baada ya kuchaguliwa wamesahau majimbo yao, wanaishi dar es salaam wanaona majimboni ni mahali pa kuja kuchukua tu kura na kuondoka kwakua wananchi ni kama mbuzi au ng'ombe au wapuuzi wasojua Wala kustahili chochote. Maji, umeme, barabara na shule kwa baadhi ya maeneo ni kama hadithi ya kufikirika na kote Kuna wabunge na madiwani.
Uchaguzi huu unapaswa kutoa majibu sasahihi kwa wananchi. Wabunge ambao hawakufanya vizuri kwenye majimbo yao, kwasasa no chance.
Ni wakati wa wananchi sasa kufanya yetu. Mbunge ukija tutakusimamisha ujieleze, ukizingua tunaenda na Chadema wakati huu, CCM tumekuwa nanyi miaka 60 tangu uhuru sasa inatosha.
Uchaguzi huu ikawe kipimo cha nguvu ya umma na nguvu ya matajiri wa CCM.
Uchaguzi huu ukaje na majibu juu ya shida na mahitaji halisi ya watanzania
Uchaguzi huu ukawe nyenzo ya kurudisha uwajibikaji katika utumishi wa umma.
Uchaguzi huu ukawe suluhusho na mwisho wa ulaji kwa urefu wa kamba.
Uchaguzi huu ukarudishe nguvu ya umma kwa wananchi iliyopokwa na CCM na matajiri wote wanaoingia mkono kwakua CCM inalinda na kuheshimu maslahi ya matajiri.
ndio. baada ya reforms, maana kabla ya reforms hakuna uchaguzi.Kwani chadema watashiriki uchaguzi?
reforms kwanza zianze kwanza within CDM, charity begins at homendio. baada ya reforms, maana kabla ya reforms hakuna uchaguzi.

Niseme tu kuwa ninakuelewa unacholenga hapa.; lakini kusema "unampenda sana" kiongozi asiyeona uchungu juu ya mambo mabaya inayofanyiwa nchi hii, sielewi kabisa kiongozi huyo unampendea kitu gani hasa!Kalamu ni ukweli. Fikiria hebu mtumbue mla rushwa uone pole zitakavyotolewa na ndugu jamaa na marafiki. Kwa ufupi Tanzania ni kizazi cha wala rushwa ndiyo maana mi nampenda sana Dkt Samia, yaani yeye anawaangalia tu na mifumo yenu ya kiwizi mfanye mtakalo maana governance yetu juu ya uwajibikaji ni broken, labda wakitofautiana migao ujue hapo utasikia mtu kakamatwa na DPP atafanya kazi yake etc
Sasa wananchi kama ndiyo walikuweka madarakani na sasa wameamua kumuweka mwingine,shida iko wapi si awashukuru kwa kukuamini?No reform, NO election". Ni kauli mbiu nzuri yenye maslahi mapana ya taifa letu. Changamoto ni kwamba inamlenga mtawala mkuu moja kwa moja.
Kama akikubali reform basi amekubali kuachia nchi.
Hapo hapo ndio shida ilipo kukubali kuachia madaraka kwa viongozi wetu wa africa bado ni tabu sana, kuangusha chama cha ccm na dola kwenda upinzani ni kitu asichotaka kuona. Ila vyote vinawezekana na nguvu ya wananchi tukiamua kwa dhati kabsa bila unafki.Sasa wananchi kama ndiyo walikuweka madarakani na sasa wameamua kumuweka mwingine,shida iko wapi si awashukuru kwa kukuamini?
We unaingilixa kinyume na maumbile na CCM wenzio sio bureKwa upupu huu we kafanye kazi nyingine siasa huwezi. Labda nyumbu ndio hawataichagua, ila wananchi ambao ni binadamu watachagua kwa kishindo.
Hapo dawa ni ugaidi tu wananchi Hawa wa tanzania wasio na silaha hawezi kuitoa ccm dawa yake kitokee kikundi chenye itikadi Kali kiwe kinaua viongozi uone kama hawatoachia nchi yaani ifike mda mtu anakataa uongozi lakini useme raia hapana hawawezi Kwa nchi zetu za kiafrica serikali ukipimbana nayo bila silaha unaumia sababu Kuna mazombi yanayotumwa kuua raia bila hurumaHapo hapo ndio shida ilipo kukubali kuachia madaraka kwa viongozi wetu wa africa bado ni tabu sana, kuangusha chama cha ccm na dola kwenda upinzani ni kitu asichotaka kuona. Ila vyote vinawezekana na nguvu ya wananchi tukiamua kwa dhati kabsa bila unafki.
..HATA UNGEKUWA WEWE UNGEKUBALI KIRAHISI HIVYOHapo hapo ndio shida ilipo kukubali kuachia madaraka kwa viongozi wetu wa africa bado ni tabu sana, kuangusha chama cha ccm na dola kwenda upinzani ni kitu asichotaka kuona. Ila vyote vinawezekana na nguvu ya wananchi tukiamua kwa dhati kabsa bila unafki.
?Ila kumbuka hawa watanzania wa sasa ni vegeu geu, hawajui wanachosimamia. Can you imagine Dkt Salim Ahmed Salim alipokuwa anasemwa ni mhizbu? Unakumbuka Lowasa alisemwa fisadi ila mwisho wa siku watanzania walimpa kura za ushindi?Niseme tu kuwa ninakuelewa unacholenga hapa.; lakini kusema "unampenda sana" kiongozi asiyeona uchungu juu ya mambo mabaya inayofanyiwa nchi hii, sielewi kabisa kiongozi huyo unampendea kitu gani hasa!
Niliposema unamwangusha 'hero', maana yangu ilikuwa kwamba kundi lote kubwa lilolokuwa likipenda aliyokuwa akifanya kiongozi huyo; wakati huu, kundi hilo ndilo lingekuwa mstari wa mbele kabisa kuhakikisha kuwa hali hii mbovu ni lazima tuiondoe kwa njia zote.
Hivi wale" wanyonge" wote waliishia wapi, mbona wakati huu hawasikiki?
Kila mara ninapo andika juu ya maswala haya ya siasa za Tanzania, inanikumbusha watu wa aina ya akina Kalamaganda Kibudu; akina Kitila Mkumbo na wengineo wa aina hiyo; na sasa kuna wapya akina Kafulila!
Hapana. Sikubaliani na wewe juu ya dhana ya kuwahukumu waTanzania wa kizazi chochote. WaTanzania wapo tayari kabisa kuleta mabadiliko; kinacho kosekana tu ni uongozi wa kuwaelekeza njia hawa wananchi.
Mmeanza kuingiza baridi...🫣🫣 Eti kwapani😁😁Mikiendelea ongea sana katiba inatenguliwa Mama anapewa kumi... Uchaguzi unawekwa kwapani. Africa hakuna lisilowezekana
Hakuna reform itafanyika na uchaguzi utafanyika.ndio. baada ya reforms, maana kabla ya reforms hakuna uchaguzi.