SIDANGANYIKI2015
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,054
- 114
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 hairuhusu michepuko, masuala ya dini kuingia kwenye utendaji wa Serikali ni marufuku Ibara ya 20 (1) pia Katiba Inayopendekezwa Ibara ya 41 imeweka marufuku hiyohiyo, uking'ang'anizi wako sijui unatoka wapi?na inaelekea umelipwa fedha nyinginkutetea hii thread na kuna kila dalili ya suala hili,haiwezekani mtu wa dini kama wewe kuilazimisha serikali ikufadhirie mambo yako wakati taratibu zake haziruhusu,hivinwewe tukuite nani?Fisadi?kibaka wa katiba?Muhaini au mchochezi"???????
KIONGOZI Mwenzako hapa chini pichani amegundua makosa sehemu fulani na jana akaja na Mada isemayo TATIZO LA SIASA NDANI YA NYUMBA ZA IBADA!

Yeye kama mwanazuoni hapaswi kulalamika kuhusu suala la Siasa Katika nyumba za Ibada, tumpe kazi akawaulize viongozi wenzake kwa nini wanageuka kuwa wanasiasa, na kwa nini wanakaribisha watu wa siasa kwenye mimbali zao?wakati wakijua watu hao hawana Vision waliyonayo? Na matokeo yake ni kuanza kulalamika kuwa nyumba zao zinageuzwa kuwa kumbi za Siasa? viongozi wa namna hii tuwape adhabu gani kwa leta siasa ndani ya nyumba za Ibada badala ya mafundisho ya Mungu??
Kwa udhaifu huo wa viongozi wa dini unaona wanahaki ya kuwahamasisha waumini wao kupiga kura ya hapana kwa uharifu waliousababisha wenyewe?
Tanzania ni taifa la Mungu na kamwe halitagawanywa kwa misingi ya tofauti ya Imani za dini,na ikitokea hivyo basi viongozi wa dini watakuwa wa kwanza kulaumiwa kwa kushindwa kusimamia nafasi zao,SUALA LA MAHAKAMA YA KADHI KULIINGIZIA SIASA SIO MAHALI PAKE, NI SUALA LA WAUMINI WENYEWE NA SIO LA KUILAUMU SERIKALI KWA KUSHINDWA KULISIMAMIA KWA KUWA SIO JUKUMU LAKE!SERIKALI HAIHUSIKI NA HAILIJUI, NI SAWA NA KUMPA PUNDA SH.10,000/= ATAIKANYAGA TU, HAIJUI'!!!!!!!!!!