Uchaguzi huu October 2015, Ni Mahakama ya Kadhi V/S CCM. (Tutaona nani Mshindi).

Naangalia TBC sasa hivi, Namuona Rais wa Nchi yetu akiongolea suala la kura kwa katiba Pendekezwa. Inaonekana Rais amelishwa maneno mengi ya Uongo kuhusu ukusunywaji wa Maoni ya Katiba hiyo.

Waislamu wote na Taasisi zake walitoa Maoni kuhusu Mahakama ya Kadhi, lakini Sio Jaji Joseph Warioba wala Kundi la Kina Endrew Chenge waliothamini maoni ya Waislamu hao.

Leo Rais ametuthibitishia kua Serekali haita anzisha Mahakama ya Kadhi wala haita igaramia. Jukumu hilo ni la Waislamu wenyewe.

Mimi nimemuelewa sana Muheshimiwa Rais kua, Nyie Waislamu tumewachezea vya kutosha, tumewatumia vya kutosha, tumetumia majina yakiislamu kwa maslahi yetu. Tumewazuga vya kutosha. Imekula kwenu mtajua wenyewe.

Huo ndio uliokua msimamo wa Serekali ya CCM tangu zamani, ila wanapo ona wamebanwa hukimbilia kwa Waislamu na Misikitini kama ilivyokua Uchaguzi wa 2010. Waislamu walikua wanaswali Msikiti Kichangani ni Mashuhuda ya hili ni nalo lisema. Pale Yule Sheikh Kijana Mweupe alipokua akisimama na ijumaa takribani tatu za Mwisho kabla ya Uchaguzi na kuwabadilsha Waislamu muelekeo. Kua tumchague mwenzetu. Je Sheikh Umemuona mwenzetu huyo na kundi lake?

Sheikh Jongo hili tulikwambia. Sasa umeyaona. Sasa tunasubiri yale uliyoyasema pale Msikiti wa Gadafi Dodoma.

Sasa Jukumu la Mahakama ya Kadhi lipo Mikononi mwa Waislamu wenyewe. Haya sasa Waislamu ni Mpambano kati ya Dunia na Akhera.

Kila nafsi itauonja Umati.

Husomeki ndo wale wale tuu!
 
Acha ukenge wewe huoni hata aibu kufanya upotoshaji kwani mahakama ya kadhi ni chama cha siasa mpaka kishirki uchaguzi
 
[h=2]Mahakama ya Kadhi Haipo kwenye Quran[/h]
Ndugu wasomaji.

Leo ningependa kusema kuwa, dai la Waislam wa Tanzania la Mahakama ya Kadhi halina msingi wala usaidizi wa Quran.

Kwa wanao ifahamu Quran, watakubaliana na mimi kuwa HAKUNA AYA HATA MOJA ambayo Allah alisema na au Waamrisha Waislam waende kwenye Mahakama ya Kadhi. Narudia tena hakuna aya.

SASA NDUGU WAISLAM:

1. Who appoints Chief Kadhi and Kadhis?

2. What are the qualification for appointment to the office of a Kadhi (including a Chief Kadhi)?

3. Since the Kadhis are not trained lawyers who understand the Evidence Act and the Civil Procedure Act, how and/or what will they use to administer their Courts?

4. Muslims are mainly of two sects in Tanzania - the Sunni and Shia. Majority of the Muslims in Tanzania are Sunni Muslims but there is a significant population of Shia Muslims too and consideration ought to be given to the appointment of Kadhis of the Shia Sect to cater the interest of the Shia Muslims. Will they have two different Courts? For Sunni and Shia?

5. How will Muslim Women be protected since: Muslim law regards women as less than men in matters of both marriage and divorce, as well as devolution of property: Holy Quran Surah 2:228-232, and Surah 65:1-7 (only a man may divorce his wife even if he is required to provide for her); a man may beat his wife, even if lightly, the evidence of two women, is equal to evidence of one man (Surah 2:282). The application of such beliefs of faith are contrary to the Constitution.

Islamic "Kadhi" courtsis illegal and discriminatory.

Kwanini mnamsaidia Allah kwa kuanzisha Mahakama ya Kadhi?
 
Haha haha hah! May you can translate in common language. Una hoja ya msingi lakini iweke kwa kiswahili wengi tukuelewe!
 
Wewe ni mzimu kweli na hoja zako za Kitaleban hapa usifikiri wana JF tunakufagilia, hakuna hapa umepotea uchaguzi utafanyika na Rais ataapishwa na watanzania wa dini zote usituzingue!
 
Mzimu haeleweki, Rais wangu niliyemchagua nimemwelewa vizuri kwenye segment yake ila utata umekuja pale wewe ulipoanza kuingiza maneno yako mwenyewe sijui ni kwa kujua au kutokujua au unafanya makusudi ili kuchafua hali ya hewa JF, kwa nini unakua mnoko na mchonganishi kiasi hiki, masuala ya dini katika nchi nyenye watu wa madhehebu tofauti lazima yaangaliwe kwa jicho tofauti, lazima uelewe hii nchi sio ya Kikristo wala ya kiislaam wala ya wapagani, lazima tuheshimu misingi tuliyojiwekea wenyewe ili tuendeshe nchi mtu anapofikia hatua kama yako kuanza kucampaign masuala ya udini kwenye uchaguzi ni wa kuogopwa kama ukoma!kwa kifupi I hate wadinism!
 
wakati nyaraka zinasambazwa makanisani katika uchaguzi wa 2010, ccm walikimbilia misikitini na kujinusuru. Na kweli hiyo karata imekua ikiwasaidia tangu zamani. Not any more. You will see. Mark my words. Bakwata, haiwakilishi waisalamu kabisa zaidi ya wale masheikh bora liende nipate tonge mdomoni.
ccm na chadema wote sawa ktk dhulma dhid ya waislam
 
Wakati Nyaraka zinasambazwa Makanisani katika uchaguzi wa 2010, CCM walikimbilia Misikitini na kujinusuru. Na kweli hiyo karata imekua ikiwasaidia tangu zamani. Not any More. You will see. Mark My words. BAKWATA, haiwakilishi Waisalamu kabisa zaidi ya wale Masheikh bora liende nipate tonge Mdomoni.

Puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
Huyu Mzimu ana boa sana.Nadhani wachunguzi wamfuatilie inawezekana siyo mtanzania huyu.Waislam wenyewe wenye akili nzuri hii mahakama ya sharia hawaitaki sasa wewe ni Nani mpaka ujifanye una uchungu sana?una boa mno.

Kweli kabisa wala haeleweki nahc anaweza kuleta chuki baina ya watu.

Mzimu anajitahidi kupotosha kweli. Labda anataka kuonekana mwema lakini ni sawa na kung’ata na kupuliza ambayo ni hatari kwa mustakabali wa Taifa letu. Hongera KgHM kwa kuliona hilo.

Ni shidaaa! Kwa akili hizi sio jambo la ajabu kusherehekea ndoa za jinsia moja Makanisani!
 
Huyu Mzimu ana boa sana.Nadhani wachunguzi wamfuatilie inawezekana siyo mtanzania huyu.Waislam wenyewe wenye akili nzuri hii mahakama ya sharia hawaitaki sasa wewe ni Nani mpaka ujifanye una uchungu sana?una boa mno.

Kweli kabisa wala haeleweki nahc anaweza kuleta chuki baina ya watu.

Husomeki ndo wale wale tuu!

Acha ukenge wewe huoni hata aibu kufanya upotoshaji kwani mahakama ya kadhi ni chama cha siasa mpaka kishirki uchaguzi

Wewe ni mzimu kweli na hoja zako za Kitaleban hapa usifikiri wana JF tunakufagilia, hakuna hapa umepotea uchaguzi utafanyika na Rais ataapishwa na watanzania wa dini zote usituzingue!

Mzimu haeleweki, Rais wangu niliyemchagua nimemwelewa vizuri kwenye segment yake ila utata umekuja pale wewe ulipoanza kuingiza maneno yako mwenyewe sijui ni kwa kujua au kutokujua au unafanya makusudi ili kuchafua hali ya hewa JF, kwa nini unakua mnoko na mchonganishi kiasi hiki, masuala ya dini katika nchi nyenye watu wa madhehebu tofauti lazima yaangaliwe kwa jicho tofauti, lazima uelewe hii nchi sio ya Kikristo wala ya kiislaam wala ya wapagani, lazima tuheshimu misingi tuliyojiwekea wenyewe ili tuendeshe nchi mtu anapofikia hatua kama yako kuanza kucampaign masuala ya udini kwenye uchaguzi ni wa kuogopwa kama ukoma!kwa kifupi I hate wadinism!

Kwa staili ya Wachangiaji kama hawa, JF linakua jukwaa la watoto wasio jua nini wanajadili.
 
Mahakama ya Kadhi Haipo kwenye Quran

Ndugu wasomaji.

Leo ningependa kusema kuwa, dai la Waislam wa Tanzania la Mahakama ya Kadhi halina msingi wala usaidizi wa Quran.

Kwa wanao ifahamu Quran, watakubaliana na mimi kuwa HAKUNA AYA HATA MOJA ambayo Allah alisema na au Waamrisha Waislam waende kwenye Mahakama ya Kadhi. Narudia tena hakuna aya.

SASA NDUGU WAISLAM:

1. Who appoints Chief Kadhi and Kadhis?

2. What are the qualification for appointment to the office of a Kadhi (including a Chief Kadhi)?

3. Since the Kadhis are not trained lawyers who understand the Evidence Act and the Civil Procedure Act, how and/or what will they use to administer their Courts?

4. Muslims are mainly of two sects in Tanzania - the Sunni and Shia. Majority of the Muslims in Tanzania are Sunni Muslims but there is a significant population of Shia Muslims too and consideration ought to be given to the appointment of Kadhis of the Shia Sect to cater the interest of the Shia Muslims. Will they have two different Courts? For Sunni and Shia?

5. How will Muslim Women be protected since: Muslim law regards women as less than men in matters of both marriage and divorce, as well as devolution of property: Holy Quran Surah 2:228-232, and Surah 65:1-7 (only a man may divorce his wife even if he is required to provide for her); a man may beat his wife, even if lightly, the evidence of two women, is equal to evidence of one man (Surah 2:282). The application of such beliefs of faith are contrary to the Constitution.

Islamic "Kadhi" courtsis illegal and discriminatory.

Kwanini mnamsaidia Allah kwa kuanzisha Mahakama ya Kadhi?

Mhhh! Ni sawa na kutaka kuendesha ndege wakati hata kuendesha baiskeli hujui!
 
Acha kujificha kwenye kivuli chako Juha wewe. Soma uwelewe nini kimeandikwa.

Mi mwenyewe nimesoma vizuri nimeielewa segment ya Mhe.Rais Jakaya Kikwete lakini ya kwako sijaielewa umepIga bonge la mchanyato na kutangaza jihad!!
 
[h=2]Mahakama ya Kadhi Haipo kwenye Quran[/h]
Ndugu wasomaji.

Leo ningependa kusema kuwa, dai la Waislam wa Tanzania la Mahakama ya Kadhi halina msingi wala usaidizi wa Quran.

Kwa wanao ifahamu Quran, watakubaliana na mimi kuwa HAKUNA AYA HATA MOJA ambayo Allah alisema na au Waamrisha Waislam waende kwenye Mahakama ya Kadhi. Narudia tena hakuna aya.

SASA NDUGU WAISLAM:

1. Who appoints Chief Kadhi and Kadhis?

2. What are the qualification for appointment to the office of a Kadhi (including a Chief Kadhi)?

3. Since the Kadhis are not trained lawyers who understand the Evidence Act and the Civil Procedure Act, how and/or what will they use to administer their Courts?

4. Muslims are mainly of two sects in Tanzania - the Sunni and Shia. Majority of the Muslims in Tanzania are Sunni Muslims but there is a significant population of Shia Muslims too and consideration ought to be given to the appointment of Kadhis of the Shia Sect to cater the interest of the Shia Muslims. Will they have two different Courts? For Sunni and Shia?

5. How will Muslim Women be protected since: Muslim law regards women as less than men in matters of both marriage and divorce, as well as devolution of property: Holy Quran Surah 2:228-232, and Surah 65:1-7 (only a man may divorce his wife even if he is required to provide for her); a man may beat his wife, even if lightly, the evidence of two women, is equal to evidence of one man (Surah 2:282). The application of such beliefs of faith are contrary to the Constitution.

Islamic "Kadhi" courtsis illegal and discriminatory.

Kwanini mnamsaidia Allah kwa kuanzisha Mahakama ya Kadhi?

Laatuaniquu jawahiril ulumi fii unuqil-khinzir
Swadaqa Aalim al Allamaa
 
Wakati Nyaraka zinasambazwa Makanisani katika uchaguzi wa 2010, CCM walikimbilia Misikitini na kujinusuru. Na kweli hiyo karata imekua ikiwasaidia tangu zamani. Not any More. You will see. Mark My words. BAKWATA, haiwakilishi Waisalamu kabisa zaidi ya wale Masheikh bora liende nipate tonge Mdomoni.
Bwana hayo ya Kadhi, Buzz, Canon Law, Sharia Law, Decagon na Mengine mengi tunawaachie ninyi watu wa dini. Hapa wazalendo soma Katiba Inayopendekezwa ili ikishapita waanze mambo ya ammendments. Pokea hicho.
 
Back
Top Bottom