AirTanzania
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 1,139
- 1,036
<br />watu waliofika katika mkutano wa CCM ni mara tatu ya CDM na picha walizotuletea katika magazeti ya bongo za chadema walichakachua, Waliweka picha za Arusha badala ya Igunga. igunga hakuna magorofa lakini picha za cdm zilikuwa na magorofa.
Kwakuwa waliozimia kwa ajili yake walitayarishwa na yeye mwenyewe wala hawataona ajabu, sana sana watamdai sahani ya wali kwa maharage na stori itaishia hapo.Itungwe Sheria kuwabana watu kama hawa,
Haiwezekani ukaliingiza taifa katika hasara kama hii ambayo haikupangwa then unakaa unakenua kenua meno tu pale,
Unafikiri wale waliozimia kwa aili yake (kama kweli) wakimuona anacheka cheka tu pale watajiskiaje?
Mkapa maana yake kapa, mwizi mkubwa huyo , sina hakika kama atavumilia kukaa huko igunga , asubiri aibu tena aibu kubwa badala ya kueleza wanainchi kilichosababisha uchumi kuporomoka na maisha duni kwa wantanzania waliowengi, analeta porojo kuwa ****** anaenda kutafuta soko la bidhaa, bidha zipi ambazo tanzania inazalisha, hata ingekuwa kweli ni hivyo haoni kuwa ****** bado ni ovyo ? kazi ya kutafuta masoko ya bidhaa ni ya rais au mawaziri wake ?
Bila kuwaona hao watoa mada husikii raha!Wapi ms,mwita 25,faiza foxy,ritz,achebe,john marwa,rejao.Tunataka mjadili mada mbona mmekimbia thread?
<br />Kaka haya maneno yako yana walakini mkubwa sana, kwa anayeelewa kusoma kwa maarifa hawezi kukuamini hata punje. Kwanza Intnal banks zipo nyingi sana; Kosa la kwanza hukusema hiyo bank kwa kuwa unaogopa hapa JF tuna wana benki hizo wengi sana, ; Pili hizo 3 billion ni utashi wa mtu kuzitoa ama kuziingiza na napenda kukuweka wazi wamba katapila la ujenzi linanunuliwa kwa zaidi ya milioni 800 ambapo kwa makandarasi wakubwa hiyo billion 3 ni pea nut tu, ; Tatu mkuu, umesema una ushahidi na kwa nini sasa huumwagi kwa kuwa hakuna anayekujua humu kwa kuwa wewe mwenyewe hujiamini, na mwisho; siku ingine usijaze JF kwa propoganda za kipuuzi mjinga wewe...
<br />Bila kuwaona hao watoa mada husikii raha!