AirTanzania
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 1,139
- 1,036
Pesa za kuhonga wanazo lakini za kuleta maendeleo wanazitafuna wenyewe, hii ni aibu kwetu sisi Wananchi tunadanganywa na mlo 1 kwa kuuza haki yako. Watanzania hatuna njaa ya hivyo ya kugombaniana Chakula Njaa yetu ipo kwenye Maendeleo na Ajira, Still Magamba dont get it