Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Regia,

Asante kwa video. CHADEMA kama chama kinachopenda amani, mpelekeni huyo kijana polisi ili alisaidie jeshi la polisi.

Hizi kanda za propaganda mtu yeyote anaweza kutengeneza kuanzia hao CCM mpaka nyie CHADEMA. Muhimu kwa wananchi ni kuhakikisha usalama wa raia.

Huyu kijana kama ameweza kujua hayo yote na mpaka pesa zilizotolewa basi na yeye ni mhusika na mahali pa kutoa ushahidi huo ni polisi.

Ni aibu kwa chama chochote cha siasa kufumbia kosa hilo. Vyama vyote vishirikiane kuhakikisha waliohusika wanakamatwa maana tukianza kumwagiana tindikali wala hayatishia hapo.
 
Regia bana,

"M. Mchemba" anasema waliofanya kitendo hicho ni CDM 'people's power'

Anayesema ni CCM ni huyo kijana mwingine anajiita mwana CCM. Je tutaamini vipi ni mwana CCM kweli na nyie CDM hamjampa pesa aseme hivo?
Hiyo video nyie wenyewe ndo mmeiandaa.

Utata unabaki pale pale.

Wabongo bana, yaani unaamini mtu anaweza kupewa hela arekodiwe video yake kuelezea tukio hilo ambalo limesharipotiwa polisi?????? Who else has ever done this before? Huyo jamaa kama anachoongea ni uongo ina maana haiogopi mikono ya sheria pale atakapotakiwa kuthibitisha habari yake?

Hii ni era ya information age, sasa tunapokuwa tunataka ushahidi kwa habari zinazotolewa humu inabidi iwe ni kopi na paste ya magazeti tu?
 
Regia bana,

"M. Mchemba" anasema waliofanya kitendo hicho ni CDM 'people's power'

Anayesema ni CCM ni huyo kijana mwingine anajiita mwana CCM. Je tutaamini vipi ni mwana CCM kweli na nyie CDM hamjampa pesa aseme hivo?
Hiyo video nyie wenyewe ndo mmeiandaa.

Utata unabaki pale pale.
kuna mambo mengine haya hitaji elimu ya juu kuweza kuya tambua, huu mchezo hata mtoto wa darasa la pili ukimweleza atakwambia ni CCM wenyewe....
 
Nape umekwisha ulitoa pesa ili kucha picha za CHADEMA vijana wako wazidiana kete wakamwangiana tindikali ukaenda kwenye mitandao ya kijamii kusema kuwa nai CHADEMA ndiyo wamefanya kazi hiyo sasa njoo na jingine....tunajua njia ya kubandua picha za chama pinzani huwa mnaitumia sana...

Crashwise,
Nape amezuiwa kwenda Igunga kufanya kampeni- Rostam aliyeitwa gamba ameombwa, Nape amepewa idara nyeti sana maalum ya kutoa mabongo ya chadema. Mimi ningekuwa Nape ningejiuzulu ili niachane na udhalilishaji huu.
 
Watu huwa wanamlaumu sana Kiranga akikwambia ukweli Regia lakini nimegundua kuwa Kiranga yuko Sahihi. Yaani wewe Regia umeridhika kuwa huu ni ushahidi tosha wa kujua nani amefanya tenda la kinyama la kummwagia mtu tindikali?

Hufai kuwa kiongozi wa jamii iliyoamua kuendelea.

Kiongozi anayejali maslahi ya watu anapaswa kutaka uchunguzi huru ufanyike ili yeyote aliyehusika achukuliwe hatua.
Narudia tena, kwa kitendo chako hiki cha kufanyia masihala swala la mtu kumwagiwa tindikali, Regia, hufai kuwa kiongozi wa Tanzania bora.
You are just politics as usual.
 
Hawa CCM si waliwahi hata kumwaga "unga unga" bungeni! Pamoja na kuonekana na kamera za ukumbi wa bunge bado wakabisha. Kwa hiyo hawa watu kudhuriana ni kawaida yao.

Wapi Papaa Kolimba? Wapi Mamaa Mbatia? Wapi
wasiwasi wangu ni maisha ya huyu kijana, CCM na UwT wana weza kumuua eti, CHADEMA mlindeni huyu kijana.....kama waliweza kukodisha kikundicha AL-SHABAAB ilikumuua mwakyembe na wengine atakuwa huyu anaeonekana kutoa ushahidi utakao waumbua..........
 
kama zilivyoshindwa TARIME,siasa chafu hazinaga nafasi kwa wabongo.
wanatafuta sympathy kwa wananchi.....let's wait the october 02nd.
 
Hahahahah,gazeti lenyewe la chama hichohicho,unategemea mwandishi aandike tofauti na matakwa ya chama???atakula wapi?,the news is biased.
 
Watu huwa wanamlaumu sana Kiranga akikwambia ukweli Regia lakini nimegundua kuwa Kiranga yuko Sahihi. Yaani wewe Regia umeridhika kuwa huu ni ushahidi tosha wa kujua nani amefanya tenda la kinyama la kummwagia mtu tindikali?

Hufai kuwa kiongozi wa jamii iliyoamua kuendelea.

Kiongozi anayejali maslahi ya watu anapaswa kutaka uchunguzi huru ufanyike ili yeyote aliyehusika achukuliwe hatua.
Narudia tena, kwa kitendo chako hiki cha kufanyia masihala swala la mtu kumwagiwa tindikali, Regia, hufai kuwa kiongozi wa Tanzania bora.
You are just politics as usual.
wewe uliwaaminije CCM kuwa CHADEMA ndiyo imemmwangia tindikali tena walitoa siku hiyoyo uchunguzi gani ulifanyika....na je kama unakumbukumbu tuambie wapi tena CHADEMA walishafanya unyama huu kama siyo CCM kwa kubenea na kumuua Kolimba, Sokoine, Salome Mbati na Juzi mlitaka kumuua Mwakyembe akashitukia....
 
Crashwise, wakati mwingine mnadhani mnaisaidia CDM yenu lakini mnaidhalilisha mbele ya watanzania. Wapi mimi nmesema nakubaliana na CCM kuwa CDM ndio wamehusika.
Tangu tulio hili limetokea mpaka leo kila mahali nimekuwa nikisisitiza kuwa kutupiana lawama kuwekwe pembeni na uchunguzi ufanyike ili wahusika washughulikiwe.
Hili tukio ni serious kuliko mnavyolifanyia mchezo. Kama Regia Mtema anawakilisha jinsi CDM wanavyolihandle hili swala then hamna viongozi, mmepotea.
 
Watu huwa wanamlaumu sana Kiranga akikwambia ukweli Regia lakini nimegundua kuwa Kiranga yuko Sahihi. Yaani wewe Regia umeridhika kuwa huu ni ushahidi tosha wa kujua nani amefanya tenda la kinyama la kummwagia mtu tindikali?

Hufai kuwa kiongozi wa jamii iliyoamua kuendelea.

Kiongozi anayejali maslahi ya watu anapaswa kutaka uchunguzi huru ufanyike ili yeyote aliyehusika achukuliwe hatua.
Narudia tena, kwa kitendo chako hiki cha kufanyia masihala swala la mtu kumwagiwa tindikali, Regia, hufai kuwa kiongozi wa Tanzania bora.
You are just politics as usual.

Hah! hah! hah! Yaani kwako wewe Regia hafai kuwa kiongozi ile yule aliyewahukumu watoto wa shule kupewa mimba ni kutokana na kiherehere chao anafaa.

After all alichofanya Regia ni kufikisha taarifa tu, ni juu yako msomaji kuamua ama kuamini au laa!
 
Kwa masikitiko makubwa natoa pole kwa wote waliopatwa na maafa ya kuzama kwa meli Z'bar.

CCM imesitisha kampeni zake kwa muda katika kipindi hiki cha maombolezo.

CHADEMA, mmh, wao ni kanyaga twende! Machozi yetu na vilio vyetu, pamoja na ndugu zetu jamani.... IGUNGA kaeni macho...tarehe 2 October, mpige kura kwa amani.

Kila la heri, tutajionea wenyewe baada ya kura kuhesabiwa!
 
CCM wakati wote wamekuwa ni watu wa kuendesha siasa chafu, kama walifanya kwa Saed Kubenea wanashindwa nini kwa kijana huyu?? Lazima Nguvu ya Umma itumike kuwaondoa hawa Mafisadi na Wauaji madarakani. The time will tell, kijana atasema ukweli na mhusika atawajibishwa. Lakini je, mahakama zetu ni safi?? Watu huibwa kwenye selo na kupelekwa nje ya nchi na kuishi kama wafalme kwa kuficha udhaifu wa serikali.
 
wewe uliwaaminije CCM kuwa CHADEMA ndiyo imemmwangia tindikali tena walitoa siku hiyoyo uchunguzi gani ulifanyika....na je kama unakumbukumbu tuambie wapi tena CHADEMA walishafanya unyama huu kama siyo CCM kwa kubenea na kumuua Kolimba, Sokoine, Salome Mbati na Juzi mlitaka kumuua Mwakyembe akashitukia....
Mkuu usipoteze energy yako kulijibu jitu zuzu na mbumbumbu wa kutupwa, watu kama hawa hawakupaswa kuwa na ubomgo kwani uti wa mgongo tu ungaliwatosha, maana kazi ya ubongo ni kufikiri vizuri
 
Regia,

Asante kwa video. CHADEMA kama chama kinachopenda amani, mpelekeni huyo kijana polisi ili alisaidie jeshi la polisi.

Hizi kanda za propaganda mtu yeyote anaweza kutengeneza kuanzia hao CCM mpaka nyie CHADEMA. Muhimu kwa wananchi ni kuhakikisha usalama wa raia.

Huyu kijana kama ameweza kujua hayo yote na mpaka pesa zilizotolewa basi na yeye ni mhusika na mahali pa kutoa ushahidi huo ni polisi.

Ni aibu kwa chama chochote cha siasa kufumbia kosa hilo. Vyama vyote vishirikiane kuhakikisha waliohusika wanakamatwa maana tukianza kumwagiana tindikali wala hayatishia hapo.
Muheza

Huyo kijana si mhusika ni shahidi wahusika wapo wanajulikana kina nepi na mwigulu waliotoa pesa.

Wewe unaona kitendo cha kijana huyu kujitokeza tena kwa sura yake kuwa ni propaganda, la hasha, kwa akili ya kawaida tu kama huna uhakika hata wewe huwezi kujitokeza kwa kesi mbaya kama hii, ni Al kaida na Shabaab tu ndio wana guts za kusema wanahusika na vitendo kama hivi.
 
Hah! hah! hah! Yaani kwako wewe Regia hafai kuwa kiongozi ile yule aliyewahukumu watoto wa shule kupewa mimba ni kutokana na kiherehere chao anafaa.

After all alichofanya Regia ni kufikisha taarifa tu, ni juu yako msomaji kuamua ama kuamini au laa!

Hustahili kujibiwa, ila unastahili kujua kuwa hustahili kujibiwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom