muheza2007
JF-Expert Member
- Mar 19, 2010
- 483
- 771
Regia,
Asante kwa video. CHADEMA kama chama kinachopenda amani, mpelekeni huyo kijana polisi ili alisaidie jeshi la polisi.
Hizi kanda za propaganda mtu yeyote anaweza kutengeneza kuanzia hao CCM mpaka nyie CHADEMA. Muhimu kwa wananchi ni kuhakikisha usalama wa raia.
Huyu kijana kama ameweza kujua hayo yote na mpaka pesa zilizotolewa basi na yeye ni mhusika na mahali pa kutoa ushahidi huo ni polisi.
Ni aibu kwa chama chochote cha siasa kufumbia kosa hilo. Vyama vyote vishirikiane kuhakikisha waliohusika wanakamatwa maana tukianza kumwagiana tindikali wala hayatishia hapo.