muheza2007
JF-Expert Member
- Mar 19, 2010
- 483
- 771
Regia bana,
"M. Mchemba" anasema waliofanya kitendo hicho ni CDM 'people's power'
Anayesema ni CCM ni huyo kijana mwingine anajiita mwana CCM. Je tutaamini vipi ni mwana CCM kweli na nyie CDM hamjampa pesa aseme hivo?
Hiyo video nyie wenyewe ndo mmeiandaa.
Utata unabaki pale pale.
kuna mambo mengine haya hitaji elimu ya juu kuweza kuya tambua, huu mchezo hata mtoto wa darasa la pili ukimweleza atakwambia ni CCM wenyewe....Regia bana,
"M. Mchemba" anasema waliofanya kitendo hicho ni CDM 'people's power'
Anayesema ni CCM ni huyo kijana mwingine anajiita mwana CCM. Je tutaamini vipi ni mwana CCM kweli na nyie CDM hamjampa pesa aseme hivo?
Hiyo video nyie wenyewe ndo mmeiandaa.
Utata unabaki pale pale.
Nape umekwisha ulitoa pesa ili kucha picha za CHADEMA vijana wako wazidiana kete wakamwangiana tindikali ukaenda kwenye mitandao ya kijamii kusema kuwa nai CHADEMA ndiyo wamefanya kazi hiyo sasa njoo na jingine....tunajua njia ya kubandua picha za chama pinzani huwa mnaitumia sana...
wasiwasi wangu ni maisha ya huyu kijana, CCM na UwT wana weza kumuua eti, CHADEMA mlindeni huyu kijana.....kama waliweza kukodisha kikundicha AL-SHABAAB ilikumuua mwakyembe na wengine atakuwa huyu anaeonekana kutoa ushahidi utakao waumbua..........Hawa CCM si waliwahi hata kumwaga "unga unga" bungeni! Pamoja na kuonekana na kamera za ukumbi wa bunge bado wakabisha. Kwa hiyo hawa watu kudhuriana ni kawaida yao.
Wapi Papaa Kolimba? Wapi Mamaa Mbatia? Wapi
wewe uliwaaminije CCM kuwa CHADEMA ndiyo imemmwangia tindikali tena walitoa siku hiyoyo uchunguzi gani ulifanyika....na je kama unakumbukumbu tuambie wapi tena CHADEMA walishafanya unyama huu kama siyo CCM kwa kubenea na kumuua Kolimba, Sokoine, Salome Mbati na Juzi mlitaka kumuua Mwakyembe akashitukia....Watu huwa wanamlaumu sana Kiranga akikwambia ukweli Regia lakini nimegundua kuwa Kiranga yuko Sahihi. Yaani wewe Regia umeridhika kuwa huu ni ushahidi tosha wa kujua nani amefanya tenda la kinyama la kummwagia mtu tindikali?
Hufai kuwa kiongozi wa jamii iliyoamua kuendelea.
Kiongozi anayejali maslahi ya watu anapaswa kutaka uchunguzi huru ufanyike ili yeyote aliyehusika achukuliwe hatua.
Narudia tena, kwa kitendo chako hiki cha kufanyia masihala swala la mtu kumwagiwa tindikali, Regia, hufai kuwa kiongozi wa Tanzania bora.
You are just politics as usual.
wewe uliwaaminije CCM kuwa CHADEMA ndiyo imemmwangia tindikali tena walitoa siku hiyoyo uchunguzi gani ulifanyika....na je kama unakumbukumbu tuambie wapi tena CHADEMA walishafanya unyama huu kama siyo CCM kwa kubenea na kumuua Kolimba, Sokoine, Salome Mbati na Juzi mlitaka kumuua Mwakyembe akashitukia....
Watu huwa wanamlaumu sana Kiranga akikwambia ukweli Regia lakini nimegundua kuwa Kiranga yuko Sahihi. Yaani wewe Regia umeridhika kuwa huu ni ushahidi tosha wa kujua nani amefanya tenda la kinyama la kummwagia mtu tindikali?
Hufai kuwa kiongozi wa jamii iliyoamua kuendelea.
Kiongozi anayejali maslahi ya watu anapaswa kutaka uchunguzi huru ufanyike ili yeyote aliyehusika achukuliwe hatua.
Narudia tena, kwa kitendo chako hiki cha kufanyia masihala swala la mtu kumwagiwa tindikali, Regia, hufai kuwa kiongozi wa Tanzania bora.
You are just politics as usual.
Mkuu usipoteze energy yako kulijibu jitu zuzu na mbumbumbu wa kutupwa, watu kama hawa hawakupaswa kuwa na ubomgo kwani uti wa mgongo tu ungaliwatosha, maana kazi ya ubongo ni kufikiri vizuriwewe uliwaaminije CCM kuwa CHADEMA ndiyo imemmwangia tindikali tena walitoa siku hiyoyo uchunguzi gani ulifanyika....na je kama unakumbukumbu tuambie wapi tena CHADEMA walishafanya unyama huu kama siyo CCM kwa kubenea na kumuua Kolimba, Sokoine, Salome Mbati na Juzi mlitaka kumuua Mwakyembe akashitukia....
MuhezaRegia,
Asante kwa video. CHADEMA kama chama kinachopenda amani, mpelekeni huyo kijana polisi ili alisaidie jeshi la polisi.
Hizi kanda za propaganda mtu yeyote anaweza kutengeneza kuanzia hao CCM mpaka nyie CHADEMA. Muhimu kwa wananchi ni kuhakikisha usalama wa raia.
Huyu kijana kama ameweza kujua hayo yote na mpaka pesa zilizotolewa basi na yeye ni mhusika na mahali pa kutoa ushahidi huo ni polisi.
Ni aibu kwa chama chochote cha siasa kufumbia kosa hilo. Vyama vyote vishirikiane kuhakikisha waliohusika wanakamatwa maana tukianza kumwagiana tindikali wala hayatishia hapo.
Hah! hah! hah! Yaani kwako wewe Regia hafai kuwa kiongozi ile yule aliyewahukumu watoto wa shule kupewa mimba ni kutokana na kiherehere chao anafaa.
After all alichofanya Regia ni kufikisha taarifa tu, ni juu yako msomaji kuamua ama kuamini au laa!