Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
mama post zako ziko makini kama misemo ya dr. mabunduki. Mungu wa mbinguni akuzidishie hekima na uendelee kutujuza kabisa. naichukua kama taarifa, ipo siku yatajulikana yote.

pa1
 
Crashwise,
Nape amezuiwa kwenda Igunga kufanya kampeni- Rostam aliyeitwa gamba ameombwa, Nape amepewa idara nyeti sana maalum ya kutoa mabongo ya chadema. Mimi ningekuwa Nape ningejiuzulu ili niachane na udhalilishaji huu.
Nape ni mroho wa madaraka, yuko tayari kufanya chochote ilikupalilia cha kula chake hata kama ni kuu...kipindi yuko UVCCM nilikuwa na mkubali sana kumbe alikuwa anatafuta upenyo wa kupata msosi.....
 
Kwa hiyo unataka kutuambia Nape na Mwigulu waliotoa pesa kumwagiwa mtu tindikali wewe na CCM ndio mnawaona viongozi bora kuliko Regia? Give me a break.
 
Mkuu usipoteze energy yako kulijibu jitu zuzu na mbumbumbu wa kutupwa, watu kama hawa hawakupaswa kuwa na ubomgo kwani uti wa mgongo tu ungaliwatosha, maana kazi ya ubongo ni kufikiri vizuri

kuwajibu na kuwapa ushahidi wa kihistoria kunaweza kuboost thinking capability yao, kuwaacha walivyo, tutaendekeza taifa la watu wasiojua. bora wajinga kama hawa wajibiwe, ipo siku watajifunza, watabadilika
 
Kwa nini wasimwagie na Nape hiyo tindi kali?maana ndie mlipaji mkuu wa posho za hawa vijana wenye akili za kubusti ndipo zifanye kazi,SHAME ON YOU CCM MEMBERS.
 
Kamanda Regia,vipi wabunge wapambanaji mtaenda lini Igunga? Lema,Mdee,Lissu,Wenje,Msigwa na wewe mwenyewe?
 
Kwa hiyo unataka kutuambia Nape na Mwigulu waliotoa pesa kumwagiwa mtu tindikali wewe na CCM ndio mnawaona viongozi bora kuliko Regia? Give me a break.

hakika maandishi yako yanatia kinyaa, anyway ipo siku utabadilika na sura yako kama ......
 
Nape ni mroho wa madaraka, yuko tayari kufanya chochote ilikupalilia cha kula chake hata kama ni kuu...kipindi yuko UVCCM nilikuwa na mkubali sana kumbe alikuwa anatafuta upenyo wa kupata msosi.....

alitishia kuwataja waliohusika kuhujumu jengo la umoja wa vijana wa ccm, kumziba mdomo akapewa ukuu wa wilaya huko mtwara, nimesahau wilaya ipi.... nikumbusheni wana JF
 
nikweli ni serious sana lakini kwakuwa limeikaia vibaya CCM litapotezewa huwezi amini...wapi salome Mbatia, Kolimba na wengine wengi CCM ni wauaji wako tayari kukodisha kikundi cha Al shabaab ilikuwasaidia kuua wakikushindwa kukukolimba....
 
Sikubalian na híi hoja kwan kuna sababu za tofauti tofauti..zinazosababisha kufanyika uchaguz mdogo.unategemea sababu kama hii ya ufisad wa ccm tuwaachie jimbo kienyeji?
 

Hayo mawazo umeshayafikisha kwa Nape na Mchemba? mbona wao wanaendelea kueneza propaganda chafu dhidi ya chadema wakati wao ndio walimsababishia janga kijana wa watu. Kama unadhani kwa kufanya hivyo hatuisaidii chadema, sasa wewe shida yako nini ukiwa mwanamagamba?

Kwa kuwa we mjuzi wa mambo, je umewauliza polisi wamefikia wapi katika uchunguzi wao? ama uko kazini kutetea sh.55,000.00?
 
Namkubali sana Halima Mdee bt kwa hili simkubali, watu wanastahili kumchagua wampendae sio kuchaguliwa na chama!
<br />
<br />
 

alitishia kuwataja waliohusika kuhujumu jengo la umoja wa vijana wa ccm, kumziba mdomo akapewa ukuu wa wilaya huko mtwara, nimesahau wilaya ipi.... nikumbusheni wana JF
Ni wilaya ya masasi, maana CCM wao style yao sehemu ambazo ziko nyuma kimaendeleo ndio huwa wanapelekwa watu wajinga ili kudumaza maendeleo.
 
Kwa hiyo according to CHADEMA standards zinazoongozwa na Regia, mmeridhika kuwa huu ni ushahidi tosha wa kumjua aliyefanya unyama wa kumwagia mtu tindikali?

Kuna dalili za dhahiri kuwa ushabiki wa kisiasa unalipeleka hili taifa mahali pabaya. Mungu atunusuru!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…