Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nape ni mroho wa madaraka, yuko tayari kufanya chochote ilikupalilia cha kula chake hata kama ni kuu...kipindi yuko UVCCM nilikuwa na mkubali sana kumbe alikuwa anatafuta upenyo wa kupata msosi.....Crashwise,
Nape amezuiwa kwenda Igunga kufanya kampeni- Rostam aliyeitwa gamba ameombwa, Nape amepewa idara nyeti sana maalum ya kutoa mabongo ya chadema. Mimi ningekuwa Nape ningejiuzulu ili niachane na udhalilishaji huu.
Kwa hiyo unataka kutuambia Nape na Mwigulu waliotoa pesa kumwagiwa mtu tindikali wewe na CCM ndio mnawaona viongozi bora kuliko Regia? Give me a break.Watu huwa wanamlaumu sana Kiranga akikwambia ukweli Regia lakini nimegundua kuwa Kiranga yuko Sahihi. Yaani wewe Regia umeridhika kuwa huu ni ushahidi tosha wa kujua nani amefanya tenda la kinyama la kummwagia mtu tindikali?
Hufai kuwa kiongozi wa jamii iliyoamua kuendelea.
Kiongozi anayejali maslahi ya watu anapaswa kutaka uchunguzi huru ufanyike ili yeyote aliyehusika achukuliwe hatua.
Narudia tena, kwa kitendo chako hiki cha kufanyia masihala swala la mtu kumwagiwa tindikali, Regia, hufai kuwa kiongozi wa Tanzania bora.
You are just politics as usual.
Mkuu usipoteze energy yako kulijibu jitu zuzu na mbumbumbu wa kutupwa, watu kama hawa hawakupaswa kuwa na ubomgo kwani uti wa mgongo tu ungaliwatosha, maana kazi ya ubongo ni kufikiri vizuri
Kwa hiyo unataka kutuambia Nape na Mwigulu waliotoa pesa kumwagiwa mtu tindikali wewe na CCM ndio mnawaona viongozi bora kuliko Regia? Give me a break.
Nape ni mroho wa madaraka, yuko tayari kufanya chochote ilikupalilia cha kula chake hata kama ni kuu...kipindi yuko UVCCM nilikuwa na mkubali sana kumbe alikuwa anatafuta upenyo wa kupata msosi.....
nikweli ni serious sana lakini kwakuwa limeikaia vibaya CCM litapotezewa huwezi amini...wapi salome Mbatia, Kolimba na wengine wengi CCM ni wauaji wako tayari kukodisha kikundi cha Al shabaab ilikuwasaidia kuua wakikushindwa kukukolimba....Crashwise, wakati mwingine mnadhani mnaisaidia CDM yenu lakini mnaidhalilisha mbele ya watanzania. Wapi mimi nmesema nakubaliana na CCM kuwa CDM ndio wamehusika.
Tangu tulio hili limetokea mpaka leo kila mahali nimekuwa nikisisitiza kuwa kutupiana lawama kuwekwe pembeni na uchunguzi ufanyike ili wahusika washughulikiwe.
Hili tukio ni serious kuliko mnavyolifanyia mchezo. Kama Regia Mtema anawakilisha jinsi CDM wanavyolihandle hili swala then hamna viongozi, mmepotea.
Crashwise, wakati mwingine mnadhani mnaisaidia CDM yenu lakini mnaidhalilisha mbele ya watanzania. Wapi mimi nmesema nakubaliana na CCM kuwa CDM ndio wamehusika.
Tangu tulio hili limetokea mpaka leo kila mahali nimekuwa nikisisitiza kuwa kutupiana lawama kuwekwe pembeni na uchunguzi ufanyike ili wahusika washughulikiwe.
Hili tukio ni serious kuliko mnavyolifanyia mchezo. Kama Regia Mtema anawakilisha jinsi CDM wanavyolihandle hili swala then hamna viongozi, mmepotea.

kila unapotokea uchaguzi mdogo najikuta namkumbuka Halima Mdee

yeye peke yake alizungumza kitu cha maana kuhusu hizi chaguzi ndogo...

alisema chaguzi ndogo zinapoteza muda na pesa nyingi

ni bora ukawekwa utaratibu wa chama kinachoshikilia jimbo hilo

kuchagua ni nani arithi jimbo......

hakuna anaesikiliza haya,but huu ndo ukweli mtupu....

hizi chaguzi ndogo its a waste of time and money.....

zipigwe marufuku......
Ni wilaya ya masasi, maana CCM wao style yao sehemu ambazo ziko nyuma kimaendeleo ndio huwa wanapelekwa watu wajinga ili kudumaza maendeleo.
alitishia kuwataja waliohusika kuhujumu jengo la umoja wa vijana wa ccm, kumziba mdomo akapewa ukuu wa wilaya huko mtwara, nimesahau wilaya ipi.... nikumbusheni wana JF