Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo according to CHADEMA standards zinazoongozwa na Regia, mmeridhika kuwa huu ni ushahidi tosha wa kumjua aliyefanya unyama wa kumwagia mtu tindikali?
Kuna dalili za dhahiri kuwa ushabiki wa kisiasa unalipeleka hili taifa mahali pabaya. Mungu atunusuru!

hapa bado hujaeleweka yaani TITLE na CONTENT ni irrelevant kabisa kama huna source basi mwaga data zako kwa kina mkuu

Wana JF, nitatoa mawazo yangu kulingana na hali halisi inavyoongelewa na vyombo vya habari na uzoefu wangu na siasa za Tanzania.

Hakuna uthibitisho wa moja kwa moja kwamba chama fulani kimeiteka, kimeishika, ama kitashinda uchaguzi Igunga na ndio maana wote sasa hawalali ni kampeni hadi kieleweke. Kama kipo kile ambacho kina uhakika kitashinda basi hakuna haja ya kuendelea kuhangaika hovyo majukwaani kukenua meno bila sababu, ilhali ushindi upo basi ni muda muafaka wa kutafuta suti, viatu safi, na kuandaa sherehe baada ya kuapa.

Hali Igunga ni tete mno na wananchi wote huko wanatafakari na sio rahisi kutoa msimamo wa matokeo kwa kuwa wao ndio wapiga kura. Narudia tena, kujaza watu ama kutoa wali haku garantii ushindi, inatakiwa kampeni tu na kuachana na propaganda za kipuuzi.

Sasa Nisimange Kidogo ndugu zangu mtaniwia radhi: Hivi hawa CCM nani huwa anaongea hata kwa mvuto kwa wananchi, mbona Mkapa zero, mwigulu lugha tabu jazba juu - hivi huyu alipataje kura kule jimboni kwake? Mukama zero, yaani sijui huwa wanajipanga ama ni kukurupuka tu! Kama siasa ndio hivi walah bora ya yule gamba RA aliyeamua kwa hali ya kukata tamaa kabisa kuishia kusema mimi wajameni ni mwanaigunga na mwanachama wa ccm huku moyoni akilia na nadhani ataona furaha kama ccm ikiangukia pua Igunga.

Wana JF, natoa mawazo tata.
Watu huwa wanamlaumu sana Kiranga akikwambia ukweli Regia lakini nimegundua kuwa Kiranga yuko Sahihi. Yaani wewe Regia umeridhika kuwa huu ni ushahidi tosha wa kujua nani amefanya tenda la kinyama la kummwagia mtu tindikali?
Hufai kuwa kiongozi wa jamii iliyoamua kuendelea.
Kiongozi anayejali maslahi ya watu anapaswa kutaka uchunguzi huru ufanyike ili yeyote aliyehusika achukuliwe hatua.
Narudia tena, kwa kitendo chako hiki cha kufanyia masihala swala la mtu kumwagiwa tindikali, Regia, hufai kuwa kiongozi wa Tanzania bora.
You are just politics as usual.

Uzuri uliopo ni kwamba CDM tunaongea kwa mifano na kuongoza kwa matendo mfano tu..pale ubungo,singida mashariki,arusha,ilemela,n.k huko kote matendo ndo yanayoongea ya nini CDM inawafanyia wapiga kura wake
Hivyo ndivyo itakavyo kuwa!

Vichochezi ni vingi sana,wapo pia orijino comedy kuwavutia watu waje ktk ufunguzi wa kampeni za chama cha mapinduzi a.k.a magamba.Binafsi nnakubali hakuna binaadamu anaechukiwa na watu wote,lkn je wanaoipenda ccm na kuiunga mkono ni asilimia ngapi ya watanzania masikini?????