Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
tatizo ni watu wa igunga njaa na hiyo ni njia huwa anaitumia RA kuwa shika watu igunga wape menu tu..

Kama shtaka liko polisi na waliofanya hivyo wanajulikana (either kwa kumuhoji victim au through witnesses); then sioni kwanini hili swala liwe judged na chama chochote cha siasa. Regia mwenyewe hajatuambia kama anahusika na uchunguzi, au is part of independent investigation; so sioni sababu kumuuliza kiasi cha ushahidi kinachotakiwa. Yeye si polisi, polisi ndio watajua ni kiasi gani cha ushahidi wanahitaji. Regia amepost videos za sisi kuona (kila mtu ata-judge kivyake). Mwigulu na-yeye asiwe mwepesi ku-judge kama hili swala lipo polisi kama anataka tuamini kweli ameguswa na hili tukio. Tunaelewa vyama vya siasa vinaweza vikaamua kufanya "independent" investigation kwasababu yakukosa imani na vyombo vyetu vya dola. Lakini so far hatujaambiwa uchunguzi umekamilika (either uliofanyika independently/na vyama vya siasa au unaofanywa na polisi) sasa sijui Mwigulu hiyo statement aliyotoa hapo kaitoa wapi. Hivi ikijakugundulika huyu mtu alimwagiwa tindikali kwasababu nyingine mbali na siasa, mtasemaje? Tusiwe wepesi ku-judge hivi vitu just because kuna uchaguzi Igunga. Hatujui huyu mtu alikuwa anaishi vipi maisha yake, maadui zake, biashara zake, je kuna adui yake alijua amepata hiyo tender ya kutoa/kuweka mabango usiku aka-take that opportunity kumdhuru? etc. Tusipotoshe umma; jamii haihitaji chama chochote cha siasa ku-conclude kitu bila uchunguzi.

hapa bado hujaeleweka yaani TITLE na CONTENT ni irrelevant kabisa kama huna source basi mwaga data zako kwa kina mkuu

data gani tena mkuu? Mbona habari inaeleweka?
Au hujaelewa alipoandika kuwa kila chama kisijidanganye na umati wa wahudhuriaji, bali waongeze juhudi zaidi?
Data za nini hapo? Eeh. Kichwa chako kigumu kuelewa kama riz?

objectively speaking

Na wewe tuletee ushahidi wako. Nenda ukamhoji aliyemwagiwa utuletee ushahidi. Nadhani unakanyagwa wewe.

Uzuri uliopo ni kwamba CDM tunaongea kwa mifano na kuongoza kwa matendo mfano tu..pale ubungo,singida mashariki,arusha,ilemela,n.k huko kote matendo ndo yanayoongea ya nini CDM inawafanyia wapiga kura wake

Rweye
Umesahau Nyamaganj kwa Wenje ni balaaaa!
Cdm 2naenda na action ha2tak maneno 2pu!
Ppoz...!
Big up Dr Slaa uko juu unaupako

sawa, ila pia ni ujinga mkubwa kudhani kwamba
ccm inaungwa mkono kwa saana.

Ha ha ha ha ha ha .....source uhuru lol!! nimepoteza muda kusoma hii thread...

you sound exactly like one of those 'mtoto wa nyoka ni nyoka' slogans, and now am gaining points to prove that no matter how u educate a person if s/he is already in the system, you wont change her! ts like changing the color of the ocean.

(..." jamani binadamu!!!!! Eti nguvu ya umma..."???!!! Kijana wa CCM aliyemwagiwa tindikali jana Igunga)*

hayo ndo maneno ya Nape kwenye wall yake ndani ya facebook

magamba bwana

CCM inaungwa Mkono kwa 61 percent,Chadema 26 percent,CUF 11 percent na 2 percent vyama vingine! Soure Matokeo ya Uchaguzi wa mwaka 2010!

Hawa ni Watanzania wa mtandaoni.. 'Online voting' ambao hata last election walimpa Dr. Slaa Ushindi. Watanzania wapiga kura wako kule vijijini. Sasa hivi ndiyo ungekuwa wakati muafaka kwa SYNOVETE/REDET kwenda Igunga kufanya utafiti wao wa nani anatarajiwa kushinda, siyo kufanya tafiti za kienyeji baada ya uchaguzi wa Uraisi mwaka uliopita.

CCM inaungwa mkono na watu wenye akili za kushikiwa wakifuatiwa na majangili tu.

Mnatapa tapa kutengeneza video nyie Chadema kaeni macho mda wote CCM wanaandaa kujibu mapigo! Mnaleta siasa za kitoto yani mnamumwagia mtu tindikali halafu mnamtafuta mtu ajifanye ni CCM ampinge Mwigulu! Kaeni mkao wa kupokea tukio Igunga! "To every action there is equal and opposite reaction"

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…