ni takrima sio rushwa
Takrima ni neno zuri badala ya rushwa lililohalalishwa na CCMRushwa na Takrima ni kitu kimoja, tofauti ni majina. ni sawa na kusema zamani ilikuwa inaitwa Zain, ikabadilishwa jina ikawa inaitwa Airtel, wafanyakazi wale wale huduma zile zile.
lakini kampeni zikiisha hiyo takrima itageuka msiba...
Ana kauli za Kiburi sana huyu mzee. Asisahau kuwa mabadiliko ya kiuongozi hapo mbeleni yanaweza kukumbusha uhalifu mwingi alioufanya mwisho akaishia kubaya.Kwani mmesahau enzi za Mkapa Takukuru haikuweza kukamata hata mtuhumiwa mmoja wa rushwa? Alikuwa akiwapa kiuzibe....Mkapa is corrupt. Period!
Wajameni: Alisikika Mkapa akisema 'Na nyie Takukuru tunaomba mtuache tugawe mahindi kwa kuwa ccm ni chama sikivu, na hii sio rushwa mmesikia'? Hii ilitokea kwenye ufunguzi wa malumbano yao Igunga, na utafiti tumefanya na kugundua mahindi yanagawiwa mchana kweupe. Hayo ndio maendeleo anayosema Ben yanampa faraja kabisa. Lami toka Dar hadi Mwanza, chakula kaputii... Nchi hii bwana.
Sasa hapo napenda kusema Takukuru walijibu 'Sawa mkuu, na sasa mtagawa viroba vingapi?. Yaani hii ni sawa na Mkweree alipoambiwa na Marekani, 'Hey hebu ruka juu' Yeye alijibu 'Sawa mkuu, sasa niruke hadi wapi - nipimie wewe'.
Wisdom: Tulipitisha sheria ya uchaguzi ambayo sina hakika kama huyu Ben aliipitia kwa ukamilifu. Tunamuomba Tendwa atoe tamko vinginevyo ccm inagawa rushwa njenje. Yaani hii inakera sana. Wana JF, nawasilisha.
Wana-Igunga, chukueni kila kitu; mahindi kwa CCM, Ubwabwa kwa CCM na fedha nazo toka CCM ila kura zote kwa CDM kuuchinja rasmi ufisadi nchini kwa kuanzia hapo Igunga.
Hizo zote ni kodi zetu walizokwapua huko serikali hivyo ni halali zetu toka kwa wanamagamba hao. Hakuna kulala mpaka kieleweke.
Hatutaki watu wanaofuata upepo eti utavaa ikihinda mbona unkuwa mtu wa kufuuta upepo we ni mtu mzima CHADEMA hatuhitaji vigeugeu kama ninyi SHIBUDA tuliye naye anatutosha.
mfa maji haishi kutapatapa!
<br />Mpaka sasa ni dakika ya 20 kipindi cha kwanza. CCM wanaongoza Magwanda 3-0. Mpaka halftime nadhani itakuwa 7. Ila nasikia wanataka kumwingiza yule fowadi wao wa kutumainiwa Zitto Kabwe aongeze nguvu manake hali ni mbaya kwakweli.
Mpumbavu hata umtwange kwenye kinu cku saba na badae umpete hatabaki vilevile upumbav wake hauta mtoka
<br />Hao CUF inaelekea hawawajui wazee wa tindikali