Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
<br />
<br />
toa ujinga wako hapa
Scope,
Huo si ubunifu hata kidogo!!! Ni udhalilishaji wa wanyama.Wanyama kazi wote si kwa ajili ya kubeba watu ni kwa ajili ya kubeba mizigo,kulima na wengine kwa usalama wa nyumba zetu. kubeba watu ni kukiuka haki za wanyama.Kwani hilo ni gari la abiria? Ndio maana hata serikali yetu inakataza malori kubeba abiria.
 

Pole Regia. Huyo Mzee wa Posho hakustahili kuandika alichoandika. Watu wengine akili zao ni finyu sana kiasi kwamba unashindwa hata kumwelewesha jambo!
 

Mkuu kwahilo me wala sishangai
CCM huwa wanamakubwa hilo ni dogo wala msishangae hapo ilipo ina majibishano sana na majungu kwa fitna nyingi tuu
 
binafsi sikuhitaji CHADEMA maana we ni nani mpaka uweke masharti haya ,utatusaidia nini kama mpaka sasa ujaona mazuri yetu.
 
Maneno ya hekima sana haya mdogo wangu Regia, Msamehe bure huyo maamuma wa akili. Mie nakupongeza sana kwa ujasiri ulionao na MUNGU atakuongezea na kukupandisha juu katika siasa za nchi hii na hata nje hapo baadae.
Usife moyo.
 
Mlivyozoea kujipa matumaini mpaka kurudi kwa yesu mnadhani ni hadith na nganongwa....
 
Juzi Wamemuonyesha akiwa ana hutubia watu wachache mno katika mkutano wa kampeni kata ya simbo wilayani igunga pembeni akiwepo punda kihongwe akila majani, Jana wamemuonyesha lakini ITV wakachakachua picha wakaweka umati wa cuf badala wa cdm, Leo tena wamemuonyesha akiwa juu ya fuso la cdm akihutubia na watu wachache sana wakimsikiliza wengine wakiwa wamesimama mbali sana karibu mita 50, Nashindwa kuelewa Dk Slaa huyu aliyepo Igunga ndiye yule tuliye mzoea akihutubia umati wa maelfu ya watu? au kujitokeza watu wacheche ktk mikutano yake ndio umaarufu wake umepungua? wanajf tulijadili hili na majibu tumpekee DK. slaa.
 
mkuu wanapata order kutoka kwa boss wao Mengi,,yule mzee ni mnafiki kinoma,,mwenyekiti wa ccm kilimanjaro anaitwa mama nsilo na ni rafiki mkubwa wa huyo mmiliki wa itv
 
Je,alihutubia watu wachache?...kama ndiyo sasa unalalamika nini?....na huyo punda alikuwepo?...au unadhani alibandikwa?
 
akihutubia wakazi hao wa igurubi waliojitokeza kwa wingi kuja kumsikiliza mtaalam huyo wa uchumi duniani Prof Lipumba amesihi sana wakazi hao kutoichezea nafasi hiyo ya kupiga kura kwani ndio itakayo toa mwanga kwa uchaguzc ujao wa 2015, pia ameomba kutomchagua mgombea wa ccm Dalali kafumu kwani kufanya nl kumpa udalali wa kuuza madini yenu, huyu ndiye aliyeingiza nchi ktk mikataba mibovu msimchague aliasa Prof Lipumba.
 
mkuu wanapata order kutoka kwa boss wao Mengi,,yule mzee ni mnafiki kinoma,,mwenyekiti wa ccm kilimanjaro anaitwa mama nsilo na ni rafiki mkubwa wa huyo mmiliki wa itv

Licha ya kuwa marafiki pia ni majirani kule machame, pia mumewe na Mama vick marehemu Asanterabi Nsilo Swai alikuwa mfadhili mkubwa wa Mengi kipindi cha nyuma hapo....


Ila hayo yote hayafanyi ITV kuchakachua picha... Bali haya ni majungu ya mleta bada tu hamna ukweli wowote wa uchakachuaji wa picha, na Dr.Slaa amekuwa akijaza sana kwenye mikutano wanayofanya kwenye kata za jimbo la Igunga.
 
ka ni kweli watu wachache wacha waoneshe hvo hvo coz ndivo ilivokua ka wengi wataonesha ni wengi FULL STOP
 
ondoa shaka mkuu, kwani wapiga kura ndio last say hata kama ITV watamwosha akiwa na watu wawili, na zote hizo nik fitina za kisiasa
 
Waambie wana Igunga, bila kutokomeza ufisadi ndoto ya maendeleo itakuwa ni ndoto ya kudumu kwao na kwa Watanzania wote.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…