<br />Mkuu huyo jamaa na Mwita wapo pamoja, hiyo ni team ya Nape. Kazi yao humu nikupinga kila kitu chema.
<br />Hata humu JF wamo wanaonunuliwa. Tena wengi tu. Si unawaona akina Mwita25, FF, MS. Binafsi wala sishangai wala kuogopa. Wamulize Joji Maratu wa ITV baada ya kuripoti uongo kuhusu cdm kwenye mazishi ya Chacha Wangwe!?
Propaganda za CCM at its optimal operating points. Ngoja tusubiri, ila ndo njia za CCM kuhalalisha mbinu chafu.
<br />Lete nyingine hii haina mashiko.
Ndugu wana jamvi, huku Igunga hali ni tete kwa CDM, wamebaki kiutafuta watu vijiweni ili wajaze mkutano wao wa ufunguzi. Mgombea wao hana mvuto kwa wapiga kura, DR. Kafumu ushindani mdogo utatoka kwa mgombea wa CUF, lakini CDM mambo ni mazito, SERA zenu za kutamka POSHO hamtaki huku USIKU mkizichukua hazina tija kwa wapiga kura wa Igunga. Dr. Kafumu ni tunu kwa Igunga na kiashirio cha maendeleo ya IGUNGA.
Nipo hapa Igunga madukani muda huu, CDM kwisha kazi pamoja na matangazo ya magari juu ya ufunguzi wao leo, mwitikio ni mdogo sana! Poleni wana CDM Igunga na Arusha sehemu mbili tofauti, Huku Igunga hakuna vijana wa kuleta fujo ambao huwa wanajaza maandamano yenu na mikutano.
chadema wameanza kutumia propaganda kupitia magazeti, Leo wanazindua kampeni zao na habari tulizozipata mambo ni magumu sana
nikiangalia naona kama ngoma ni sare 36/44 huku kuna 9 hawajaamua na makamanda ndiyo kwanza wana jiandaa kwenda huko kupiga kambi ya mwezi mzima...kitaeleweka tu