Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gazeti la Rai linalomilikiwa na Rostam Aziz limetoa matokeo ya kura ya maoni iliyofanywa na gazeti hilo huko Igunga.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo mgombea wa ccm peter kafumu anatarajiwa kushinda kwa asilimia 44, mgombea wa CHADEMA Joseph Kashindye atakuwa wa pili kwa asilimia 36, mgombea wa CUF Leopold mahona atakuwa wa 3 kwa asilimia 11 huku asilimia 9 kati ya waliohojiwa wakiwa hawajaamua.
Utafiti huo unadai matokeo ya mwisho hayatatofautiana sana na hayo.
Unaionaje Igunga ndogo wakati upo uarabuni na mzee??Kazi ipo mimi naona kama igunga ni ndogo sana.
Kama una amini kazi yao sawa, nakubaliana nawe kuwa kuna margin ya 9 ambayo inaweza kunyanyua 36 kuwa 45!
Wasiwasi wangu ni kuwa wanataka kuiba kura na hivyo wana weka mpango hewani ili baadae waseme hata kura za maoni zilionyesha hivyo hivyo!
Hivi yale madai ya Mwanahalisi kwamba CCM wametenga fungu la kuhonga vyombo vya habari, kuna chombo chochote kilichokanusha?Gazeti la Rai linalomilikiwa na Rostam Aziz limetoa matokeo ya kura ya maoni iliyofanywa na gazeti hilo huko Igunga.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo mgombea wa ccm peter kafumu anatarajiwa kushinda kwa asilimia 44, mgombea wa CHADEMA Joseph Kashindye atakuwa wa pili kwa asilimia 36, mgombea wa CUF Leopold mahona atakuwa wa 3 kwa asilimia 11 huku asilimia 9 kati ya waliohojiwa wakiwa hawajaamua.
Utafiti huo unadai matokeo ya mwisho hayatatofautiana sana na hayo.
Cufu unganisheni kura na CDM. Mtawashida hawa jamaa. Lakini kama mkiendelea hivyo, hakuna cha maana mtakachopata hapo.
Hivi yale madai ya Mwanahalisi kwamba CCM wametenga fungu la kuhonga vyombo vya habari, kuna chombo chochote kilichokanusha?
Gazeti la Rai linalomilikiwa na Rostam Aziz limetoa matokeo ya kura ya maoni iliyofanywa na gazeti hilo huko Igunga.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo mgombea wa ccm peter kafumu anatarajiwa kushinda kwa asilimia 44, mgombea wa CHADEMA Joseph Kashindye atakuwa wa pili kwa asilimia 36, mgombea wa CUF Leopold mahona atakuwa wa 3 kwa asilimia 11 huku asilimia 9 kati ya waliohojiwa wakiwa hawajaamua.
Utafiti huo unadai matokeo ya mwisho hayatatofautiana sana na hayo.
Kama gazeti la RAI lililotoa tathimini ya uchaguzi ni propaganda ya CDM nitakubaliana na wewe, otherwise ni mfamaji tu.chadema wameanza kutumia propaganda kupitia magazeti, Leo wanazindua kampeni zao na habari tulizozipata mambo ni magumu sana
yeah kule kumejaa wanaume wa kazi, ulitaka apokee nyani? nenda zako huko!Nimejaribu kupiga simu Makao Makuu ya CDM, imepokelewa na sauti ya kiume nimeuliza kuhusu hizo habari za kukorofishana, hakuna aliyekuwa tayari kuweka wazi hilo suala kwa kuhofia kuchukuliwa hatua na viongozi wa juu wa CDM, na Mwenyekiti Mbowe, au Katibu Mkuu, Dr Slaa
siku moja kabla ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi mdogo wa kiti cha ubunge jimbo la igunga mkoani tabora, viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) tayari wamekorofisha kwa kutuhumiana.
Habari za uhakika zilizopatikana kutoka katika chama hicho na kuthibitishwa na baadhi ya viongozi na maafisa wa ngazi ya juu kutoka makao makuu jijini dar es salaam na igunga, zinasema ugomvi huo umekuwa ukifukuta polepole na huenda ukalipuka zaidi hapo baadae huku viongozi wa kitaifa wakidaiwa wanafanya mchezo wa "kufunika kombe mwanaharamu apite"
kukorofishana kwa viongozi wake wa wilaya ya igunga, na makao makuu, kunatokana na kukataliwa kwa sehemu kubwa ya mapendekezo yaliyotolewa na wenyeji huku wageni wakijitawalia mamlaka makubwa ya kuongoza shughuli nzima.
Ugomvi umefika mbali zaidi baada ya cdm makao makuu kuendelea kutomuunga mkono mgombea ubunge wa cdm joseph kashindye, kwa vile wao walikuwa wakimtaka mkurugenzi wa habari na uenezi wa taifa, erasto tumbo, dakika za mwisho alilazimika kuliondoa jina lake.
wewe unaweza kuungani mtaji na mke wa mtu ambaye bwana wake ni hasimu wako?Cufu unganisheni kura na CDM. Mtawashida hawa jamaa. Lakini kama mkiendelea hivyo, hakuna cha maana mtakachopata hapo.
<br />Watu WOTE WENYENAKILI MBONA WALISHAACHANA NA UPUPU UNAOTOKA HUKO SIKU NYINGI????? Ukitaka ujue nenda kaulize ma sellll
Picha za mkutano wa leo zikiletwa hapa naomba usiondoe hii thread yako na ndo tutaanza mjadala, Great thinkers hawajadili utabiri. Tusubirie tukio kamili.Ndugu wana jamvi, huku Igunga hali ni tete kwa CDM, wamebaki kiutafuta watu vijiweni ili wajaze mkutano wao wa ufunguzi. Mgombea wao hana mvuto kwa wapiga kura, DR. Kafumu ushindani mdogo utatoka kwa mgombea wa CUF, lakini CDM mambo ni mazito, SERA zenu za kutamka POSHO hamtaki huku USIKU mkizichukua hazina tija kwa wapiga kura wa Igunga. Dr. Kafumu ni tunu kwa Igunga na kiashirio cha maendeleo ya IGUNGA.
Nipo hapa Igunga madukani muda huu, CDM kwisha kazi pamoja na matangazo ya magari juu ya ufunguzi wao leo, mwitikio ni mdogo sana! Poleni wana CDM Igunga na Arusha sehemu mbili tofauti, Huku Igunga hakuna vijana wa kuleta fujo ambao huwa wanajaza maandamano yenu na mikutano.