Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Nimekuwa na wasiwasi isijekuwa ule waraka wa kuhonga vyombo vya habari ndio umeanza kazi.
 
Nipo igunga,kapita hapa nilipo watu wengi tayari wako kwenye maandamano ya chadema.amevaa kapelo,kaosh na kaptula utadhani mhuni fulani pale tandale.ni wazi cuf inaonekana kulemewa.sasa sijui amekuwa baunsa wa cuf? Au ndo anajifanya kukusanya taarifa? Ni kama ana kiwewe hivi.au kachanganyikiwa? Mana haingii akilini kiongozi wa taifa kama yeye kuapear hivyo.aliyeongea naye karibuni atuambie kama huyu mtu mzima.
 
Gazeti la Rai linalomilikiwa na Rostam Aziz limetoa matokeo ya kura ya maoni iliyofanywa na gazeti hilo huko Igunga.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo mgombea wa ccm peter kafumu anatarajiwa kushinda kwa asilimia 44, mgombea wa CHADEMA Joseph Kashindye atakuwa wa pili kwa asilimia 36, mgombea wa CUF Leopold mahona atakuwa wa 3 kwa asilimia 11 huku asilimia 9 kati ya waliohojiwa wakiwa hawajaamua.

Utafiti huo unadai matokeo ya mwisho hayatatofautiana sana na hayo.

Pamoja na kuchakachua utafiti huo lakini hiyo 36% itachukua hiyo 9%, pia itamega kiasi kikubwa kutoka kwenye 44% na 11%.
 
Kama una amini kazi yao sawa, nakubaliana nawe kuwa kuna margin ya 9 ambayo inaweza kunyanyua 36 kuwa 45!

Wasiwasi wangu ni kuwa wanataka kuiba kura na hivyo wana weka mpango hewani ili baadae waseme hata kura za maoni zilionyesha hivyo hivyo!

Ilitumika hiyo na REDET na Synovet mwaka jana.
Wakati watu wakichekelea kuwa hadi kufikia uchaguzi cdm itaikaribia na kuipiku ccm, wenzao wakatumia mwanya huo kuchakachua. Badae wanakuja makuwadi wa redet na synovet....eti si unaona matokeo halisi yamefanana na matokeo ya utafiti wetu! Na hata wachakachuaji walijigamba eti "msilalamike, mbona hata tafiti zilishaonesha tangu awali".
 
Gazeti la Rai linalomilikiwa na Rostam Aziz limetoa matokeo ya kura ya maoni iliyofanywa na gazeti hilo huko Igunga.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo mgombea wa ccm peter kafumu anatarajiwa kushinda kwa asilimia 44, mgombea wa CHADEMA Joseph Kashindye atakuwa wa pili kwa asilimia 36, mgombea wa CUF Leopold mahona atakuwa wa 3 kwa asilimia 11 huku asilimia 9 kati ya waliohojiwa wakiwa hawajaamua.

Utafiti huo unadai matokeo ya mwisho hayatatofautiana sana na hayo.
Hivi yale madai ya Mwanahalisi kwamba CCM wametenga fungu la kuhonga vyombo vya habari, kuna chombo chochote kilichokanusha?
 
Cufu unganisheni kura na CDM. Mtawashida hawa jamaa. Lakini kama mkiendelea hivyo, hakuna cha maana mtakachopata hapo.

Waunganishe tena!
wakati wao kila siku ni propaganda chafu dhidi ya chadema......cuf na ccm ni wanandoa waaminifu.
 
Hivi yale madai ya Mwanahalisi kwamba CCM wametenga fungu la kuhonga vyombo vya habari, kuna chombo chochote kilichokanusha?

Hakuna kilichokanusha ila sasa tunaanza kuona vile ambavyo vinakubali kwa vitendo.
 
Gazeti la Rai linalomilikiwa na Rostam Aziz limetoa matokeo ya kura ya maoni iliyofanywa na gazeti hilo huko Igunga.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo mgombea wa ccm peter kafumu anatarajiwa kushinda kwa asilimia 44, mgombea wa CHADEMA Joseph Kashindye atakuwa wa pili kwa asilimia 36, mgombea wa CUF Leopold mahona atakuwa wa 3 kwa asilimia 11 huku asilimia 9 kati ya waliohojiwa wakiwa hawajaamua.

Utafiti huo unadai matokeo ya mwisho hayatatofautiana sana na hayo.

Hawawezi kuona magamba yamewafunika uso na macho!!!!!!!!!!!!!!!
 
chadema wameanza kutumia propaganda kupitia magazeti, Leo wanazindua kampeni zao na habari tulizozipata mambo ni magumu sana
Kama gazeti la RAI lililotoa tathimini ya uchaguzi ni propaganda ya CDM nitakubaliana na wewe, otherwise ni mfamaji tu.
 
Kana kwamba haitoshi, hatua ya Makao Makuu ya CDM Jijini Dar es Salaam kumteua Mkurugenzi wa Sera na Utafiti wa Taifa wa CDM, Mwita Mwikwabe Waitara kwenda Igunga kusimamia hatua zote za kumpata mgombea ubunge wa chama hicho, nalo ni jambo jingine lililoelezwa kuwa limesababisha pande hizo mbili kukorofisha sana
 
rai gazeti la fisadi aliyesababisha hasara kwa kurudia uchaguzi wa igunga.
mwaka jana lilikabidhiwa chini ya kitengo cha familia ya mgombea wa magamba kwa ajili ya propaganda na sasa wameanza kazi.
ila walichochemsha ni lujisahau na kuwapa chadema ushindi bila wao kujua.nitatoa ufafanuzi.
kama jimbo lilikuwa la ccm na chadema hawakusimamisha mgombea uchaguzi uliopita ni dhahiri kwamba miezi miwili chadema ilikuwa haijulikani igunga.sasa kama kampeni hazijaanza na chadema wako asilimia nane na chama tawala hapo unatabiri nini kama sio kaburi la magamba?
chadema wakipiga kampeni mwezi mzima wanaondoka na asilimia 60.
kumbuka wasukuma sio sio wa kuhongwa kanga na na vitenge mf nyamagana,ilemela,maswa, nk.
jizatitini kwenye wizi wenu wa mwaka 47 wa kupindua matokeo ila nawapa tahadhari hii chadema ya wakati huu sio mchezo.
 
  • Thanks
Reactions: BBJ
Nimejaribu kupiga simu Makao Makuu ya CDM, imepokelewa na sauti ya kiume nimeuliza kuhusu hizo habari za kukorofishana, hakuna aliyekuwa tayari kuweka wazi hilo suala kwa kuhofia kuchukuliwa hatua na viongozi wa juu wa CDM, na Mwenyekiti Mbowe, au Katibu Mkuu, Dr Slaa
yeah kule kumejaa wanaume wa kazi, ulitaka apokee nyani? nenda zako huko!
 
siku moja kabla ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi mdogo wa kiti cha ubunge jimbo la igunga mkoani tabora, viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) tayari wamekorofisha kwa kutuhumiana.

Habari za uhakika zilizopatikana kutoka katika chama hicho na kuthibitishwa na baadhi ya viongozi na maafisa wa ngazi ya juu kutoka makao makuu jijini dar es salaam na igunga, zinasema ugomvi huo umekuwa ukifukuta polepole na huenda ukalipuka zaidi hapo baadae huku viongozi wa kitaifa wakidaiwa wanafanya mchezo wa "kufunika kombe mwanaharamu apite"

kukorofishana kwa viongozi wake wa wilaya ya igunga, na makao makuu, kunatokana na kukataliwa kwa sehemu kubwa ya mapendekezo yaliyotolewa na wenyeji huku wageni wakijitawalia mamlaka makubwa ya kuongoza shughuli nzima.

Ugomvi umefika mbali zaidi baada ya cdm makao makuu kuendelea kutomuunga mkono mgombea ubunge wa cdm joseph kashindye, kwa vile wao walikuwa wakimtaka mkurugenzi wa habari na uenezi wa taifa, erasto tumbo, dakika za mwisho alilazimika kuliondoa jina lake.

conflict is a social necessity. Kama ni kweli, naweza kusema wamechelewa kureveal conflict hyo. Bt kama wangeaanza mapema, naamini wangefanikiwa kwani hakuna maaendeleo pasipo na migongano-conflicts.

Hata hivyo, nimpongeze huyo unayemsema aliamua kutoa jina lake, nadhani alitumia busara ya hali ya juu sana.
 
Cufu unganisheni kura na CDM. Mtawashida hawa jamaa. Lakini kama mkiendelea hivyo, hakuna cha maana mtakachopata hapo.
wewe unaweza kuungani mtaji na mke wa mtu ambaye bwana wake ni hasimu wako?
usitutakie fumanizi wakati wa kazi huu kaka.
 
CUF hawako Igunga kwa ajili ya kinyang'anyilo cha ubunge, bali maalum kwa kuwadhoofisha CDM na kuwafagilia Ccm. Wapo katika
harakati za kuzigawa kura, pingamizi waliloweka Cuf lilikuwa limewalenga moja kwa moja CDM, kuingizwa kwa Ccm katika pingamizi ilikuwa ni kiini macho aiwezekani fomu ya pingamizi ichukuliwe na Ccm na muwekaji pingamizi awe Cuf na hapo hapo Ccm naye iwekewe pingamizi
huo ni mchezo wa kidali. Hapo ni mashaka makubwa juu ya Cuf hao si wapinzani wapo katika itikadi za rushwa na kuwakandamiza wananchi
wa Igunga na kujiweka kama wao ni chama tawala kwa upande wa Zanzibar. Ugumu wa uchaguzi wa mwaka 2015 unaanza kujitokeza
uanze kufanyiwa kazi haraka iwezekanavyo kwani amna muda wa kusubiri, Kuhusiana na jeshi la polisi hiyo inajulikana wazi kama wanasaidia
utawala wa mabavu wa serikali ya Ccm kupindisha demokrasia na kudhoofisha upinzani. Ni kutokujua ni nini maana ya kuwa askari zaidi ya
kulinda sheria na sio kuvunja sheria wakati umeapa kwa kazi yako. Binafsi Mzee wangu alikuwa ni askari na alifikia cheo cha SSP katika jeshi la polisi na mpaka alipostaafu mwaka 1975. akuwahi kuchukua rushwa wala kuwakandamiza wananchi na wala kupindisha demokrasia.
na hicho ndio kiapo cha kuwa askari na kufuata maadili ya kazi yako. sasa hawa askari wa leo wanatoka wapi kwa sababu awaelewi walifanyalo
wanafikiri kuwa askari ni kualarishwa kuchukuwa rushwa na kuwakandamiza wananchi, wanatakiwa wajifunze, waone na wasikie dunia kule
inapoelekea.
 
Kwani huyo Rostam ambaye ni mmiliki wa RAI si ndiye alikwenda kununu azile karatasi za kupiga kura za magumashi zilizokamatwa kule Tunduma?
 
Watu WOTE WENYENAKILI MBONA WALISHAACHANA NA UPUPU UNAOTOKA HUKO SIKU NYINGI????? Ukitaka ujue nenda kaulize ma sellll
<br />
<br />
nakuunga mkono asilimia mia.Kwa sasa hivi magazeti yanayoongoza kwa kupendwa na kuingiza mamilioni ktk mauzo ni uhuru,mzalendo,jambo leo na habari leo.Huu ndio ukweli ulio uchi.
 
Ritz, Marwa25 Rejeo Mafilili watoto Wa Nape hao tunawajua sishangai hii post.
 
Ndugu wana jamvi, huku Igunga hali ni tete kwa CDM, wamebaki kiutafuta watu vijiweni ili wajaze mkutano wao wa ufunguzi. Mgombea wao hana mvuto kwa wapiga kura, DR. Kafumu ushindani mdogo utatoka kwa mgombea wa CUF, lakini CDM mambo ni mazito, SERA zenu za kutamka POSHO hamtaki huku USIKU mkizichukua hazina tija kwa wapiga kura wa Igunga. Dr. Kafumu ni tunu kwa Igunga na kiashirio cha maendeleo ya IGUNGA.

Nipo hapa Igunga madukani muda huu, CDM kwisha kazi pamoja na matangazo ya magari juu ya ufunguzi wao leo, mwitikio ni mdogo sana! Poleni wana CDM Igunga na Arusha sehemu mbili tofauti, Huku Igunga hakuna vijana wa kuleta fujo ambao huwa wanajaza maandamano yenu na mikutano.
Picha za mkutano wa leo zikiletwa hapa naomba usiondoe hii thread yako na ndo tutaanza mjadala, Great thinkers hawajadili utabiri. Tusubirie tukio kamili.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom