Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Alipata ajali, naona ana brain damage
 
Haya ni maoni tu. Hata gazeti la Rai nalo limetoa matokeo ya kura ya maoni yanayoipa ushindi CCM. Cha muhimu ni kile kinachofanyika uwanjani kuanzia sasa mpaka siku ya kupiga kura na kutangaza matokeo.


Wapinzani wote wanatakiwa kudhibiti wizi wa kura hasa wakati wa kuhesabu matokeo kwenye vituo vya kupigia kura, wakati wa kuhamisha maboksi ya kura toka kwenye vituo vya kupigia kwenda kwenye kituo cha kujumlisha na wakati wa kujumlisha matokeo.

Wawe makini na mchezo wa wabunge wa CCM wanaogoma kusaini matokeo na kulazimisha matokeo yahesabiwe upya kwani hapo ndio huwa wanapopigiwa bao.
 
Kwa hiyo wewe kwako watu wa Tandale wote ni wahuni?
 

Unadhani ni nani wa kulaumiwa kwa ushamba wa watanzania baada ya miaka 50 ya uhuru?
 
Mkuu, vipi zile Fuso za CDM zimeishafika kutoka Moshi zilikwenda kusomba watu?
kwa kweli mkuu Leo wamechemsha naona wachagga wengi hapa mkutanoni sijui ndio walioletwa kutoka Arusha?
 
Vipi mbona umesahau Magazeti ya Mtanzania, na lingine la Kingereza yote yanamilikiwa na Rostam, kisha changanya na maoni ya gazeti la Jamba leo utapata asilimia ya ushindi wa magamba.
 
Mkuu, kama una namba ya simu ya Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Taifa, Erasto Tumbo, muulize kwa nini alilazimika kuliondoa jina lake dakika za mwisho?

Kama uliyoyaandika yana ukweli na wala sio unafiki tafadhali weka namba ya Erasto Tumbo watu wampigie ili Ku-confirm habari yako. Wewe si umesema umempigia Erasto Tumbo, sasa mbona unawauliza watu namba ya bwana Tumbo
 
Ingekuwa ni OBAMA amevaa hivyo wala kusingekuwa na shida.... akili yako ni finyu!!!
 

Kila chama na style yao. Wengine wanavaa magwanda, wengine wanavaa magauni na fulana, wengine wanavaa mashela. Acha wavae mradi wasitembee uchi maana huko ni kuvunja sheria na hao wote ni wazima isipokuwa tofauti yao tu ni katika kufikiri....
 

Nilipoona identity tu nilipuuza,lakini nikaona nisikatishe njia nipite tu.umejitahidi.
 
Hii habari najua sio nzuri kwa Pro-CDM lakini huu ndio ukweli. Pande hizo mbili zimekorofisha, mvutano mwingine ni viongozi na wanachama Wilayani Igunga na mkoa wa Tabora, wanadai wamedharauriwa vya kutosha kwa kufanywa hawawezi kujisimamia wenyewe hata kwa mambo yanayowahusu
 
wewe ulitegemea sauti gani kama ya ff
 
Nilipoona identity tu nilipuuza,lakini nikaona nisikatishe njia nipite tu.umejitahidi.
Nakushauri tulizana nyumbani endelea na Maternity leave usiende Igunga mtaumbuka wote bora umuache Dr Slaa, peke yake apambane kama Gaddafi
 
Cufu unganisheni kura na CDM. Mtawashida hawa jamaa. Lakini kama mkiendelea hivyo, hakuna cha maana mtakachopata hapo.
Hivi kwa nini mtu anaweza akasema kitu ambacho yeye mwenyewe anaamini kabisa hakiwezekani kufanyika.
au ni maandalizi ya baadaye kusema "sinilisema"?
 
Kama uliyoyaandika yana ukweli na wala sio unafiki tafadhali weka namba ya Erasto Tumbo watu wampigie ili Ku-confirm habari yako. Wewe si umesema umempigia Erasto Tumbo, sasa mbona unawauliza watu namba ya bwana Tumbo
Mimi nimekuambia nimeongea na Makao Makuu ya CDM sio Erasto Tumbo, umenielewa kijana? Chukuwa hii namba upige na wewe.
+255-22-266-8866
 
wapinzani wawe makini sana kwenye vyumba vitakavyotunziwa masanduku ya kura inasemakana wanatumia masterkeys kufungua uku watu wakiwa wametawanyika na kuchakachua kura
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…