Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Gazeti la Rai linalomilikiwa na Rostam Aziz limetoa matokeo ya kura ya maoni iliyofanywa na gazeti hilo huko Igunga.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo mgombea wa ccm peter kafumu anatarajiwa kushinda kwa asilimia 44, mgombea wa CHADEMA Joseph Kashindye atakuwa wa pili kwa asilimia 36, mgombea wa CUF Leopold mahona atakuwa wa 3 kwa asilimia 11 huku asilimia 9 kati ya waliohojiwa wakiwa hawajaamua.

Utafiti huo unadai matokeo ya mwisho hayatatofautiana sana na hayo.
Kama shehe Yahaya.......... WOte watabiri tuuuuuuuu................ Tena mwenzao alikwenda mbali zaidi kwa kusema raisi atakuwa mwanamke
 
Nipo igunga,kapita hapa nilipo watu wengi tayari wako kwenye maandamano ya chadema.amevaa kapelo,kaosh na kaptula utadhani mhuni fulani pale tandale.ni wazi cuf inaonekana kulemewa.sasa sijui amekuwa baunsa wa cuf? Au ndo anajifanya kukusanya taarifa? Ni kama ana kiwewe hivi.au kachanganyikiwa? Mana haingii akilini kiongozi wa taifa kama yeye kuapear hivyo.aliyeongea naye karibuni atuambie kama huyu mtu mzima.
Natamani ungekua umefanikiwa kupata picha ili tukajionea na sisi.... hiyo ni "trela" tu, movie kamili 2015
 
Labda picha za harusi watu hamna kabisa unadhani na yeye ataki kuleta picha? Anataka sana labda ukuletee picha za Mafuso ya CDM
tupatie picha ya mkulu ndani ya zile suti
 
Kumbe Malaria Sugu anatafuna kale ka mtandao hapa chini kwenye matangazo (Yaani T...........go). Du! wabongo mna mambo nyie.!
Hawa ndio vijana wa BAVICHA utawajua tu kwa maneno yao
 
Hapa kuna fuso zimetoka Moshi na vijana ambao ni washiriki wa mkutano wa uzinduzli wa kampeni, wapiga kura za Igunga wamekaa nje ya mkutano. CDM aibu imewapata; wanaona aibu kupiga picha, wansubiri WACHAKACHUE HALAFU BAADAYE WAWATUMIE mlio nje ya Igunga:msela:
 
Who cares nani kaachia ushuzi ndani ya NEC au CC?
CCM wameoza, wananuka and Tanzania as a country doesn't need those MINUKO.
 
Kwa hiyo wewe kwako watu wa Tandale wote ni wahuni?

Muulize makamba kama watu wote wa kariakoo ni wahuni.
Maana alishawahi kudai eti, "Huwezi kuleta wahuni wa kariakoo kwenye mdahalo na njaa zao halafu wanakuja kudai ccm imewanyima chakula".
 
Nipo mkutanoni watu ni wengi sana haijawahi kutokea,muda si mrefu picha zitawekwa
 
Sasa CUF si wamempeleka Makamu Wa Rais Wa Zanzibar.....nawapambe..,na vimuli muli kama vya Pinda na protocal zote..wapo kwenye serikali atiiii......wao na CCM ni partners....maana watu wa jinsia moja wakiungana wanakuwa partners ati.....au ni wenzaa...
 
Pamoja na mapenzi yangu kwa CDM nadhani nayohaki ya kuvaa hivyo! Kwani anaweza kutinga suti kumbe keshauza chama kwa suti, tunawona waliouza nchi yetu kwa suti 5 tu
 
HATA WASIOMJUA Ritz lazma watajua imekaa karibu na Rizi1
Riz1 na uzaifu wake wote lakini hawezi kuwa Bogus kama huyu mtoa mada, by the way Riz1 atafute nini kwenye mitandao wakati mihela kedekede wanahongwa hadi suti.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom