Ukishaanza kuongea kikristu najua tayari umepanic. Vuta tumbaku za kusokota ni nzuri sana kwa kupunguza stress.The story is purely apocryphal although the booboisie might find it veracious and some of ninnyhammers will even dare to award it many thanks. The reality is CCM have landed Igunga by storm, the crowd was astonishing and jubilant populace waved the party's flags as a clear harbinger of, as usual, a landslide victory.
Wewe zuzu, haya ni matunda ya kodi zetu Watanzania, na hii sio hisani bali ni wajibu wa serikali yoyote ile.Na haya yote ni matunda ya CCM
Hatushindani kuongea au kuandika kingereza tunashindana hoja, umekuja kwenye jamii forum uongeee na wasio CCM kwa hiyo ni wajibu wako kuwaelimisha kwa busara ili wakuelewe na kukuunga mkono. Kama unawandikia CCM hapa si mahal;a pake nenda kwenye matawi yenu utawakuta. Wenzako wengine jana walihamia airtel bado wewe unang'ang'ania huko TIGO MPAKA UZAME

Kiingereza chenyewe unajua au umeishia kuona nyotanyota tu hapo? Mwambie Mbowe akulipie English course ili uelewe ninachoongelea hapo.
The story is purely apocryphal although the booboisie might find it veracious and some of ninnyhammers will even dare to award it many thanks. The reality is CCM have landed Igunga by storm, the crowd was astonishing and jubilant populace waved the party's flags as a clear harbinger of, as usual, a landslide victory.

Dear Comrade Nape Nnauye

You know what, you are doing a commendable job for your party...so please don't be discouraged by some of the negative messages against your party and yourself. Honestly, you are better off and of course you deserve it! So please keep it up!

I am in Igunga right now, I tell you what, Dr. Kafumu is at the PEAK! Mwl. Kashindye isn't that much composed and lacks both public political speaking skills and confidence. Truly CDM is up there....but their political contender is much much down......Unless miracles happen......and he is not that much strong despite the CDM's top leadership back-up!

Please, note that I am neither a CCM nor CDM or any other party.....just an indpendent consultant on a different assignment based in Igunga until October 4, 2011.

Cheers and keep well!

Mwita 25 kweli unapambana sana, lakini unabahati mbaya unapiga ngumi ukutani, unagusa thread nyingi bila mantiki na kwa hiyo hata sisi tusiekufahamu tumekuondoa kwenye orodha ya watu muhimu. Ebu kaa chini jipange namna bora ya kushambulia, you are on the defensive site and certainly not able to emerge from that corner and on this matter remain assured that no single person on the planet has ever warn a war or arguements if is all the time kept on the defensive by his enemy/opponent. Just be creative and walk out of that difficult corner and provide challenge that will make us think kidogo to face you. Mimi napata shida kusoma thread yeyote ambayo avatar yako naiona kwanza. Mungu akubaliki Jf ni forum yakushindana kufikiri kwa kichwa na si vinginvyo. Sitaki kutumia lugha ya Didas "masaburi'

Kitendo chako cha kunijibu ni dalili tosha kuwa nimefanikiwa kukuteka. Labda hujui kazi ya kitengo cha propaganda katika chama ndiyo maana huoni umuhimu wangu. Lakini hapo tutakapoanza kuingia kwa ID za ukweli ndiyo utaheshimu mchango wangu kwa Chama, Taifa na Dunia kwa ujumla.
The story is purely apocryphal although the booboisie might find it veracious and some of ninnyhammers will even dare to award it many thanks. The reality is CCM have landed Igunga by storm, the crowd was astonishing and jubilant populace waved the party's flags as a clear harbinger of, as usual, a landslide victory.
You probably have a point!!Wana JF
Napatwa na wasiwasi juu ya hawa CUF na rufaa zao dhidi ya mgombea wa cdm na ccm, Ikumbukwe ccm baada ya kuona wameishiwa nguvu jimbo la kawe 2010 waliamua kumuongezea Mbatia Milion 80 ili ashinde yeye na si Mdee wa chadema. Binafsi napata wasiwasi kuwa hawa Cuf walishaambiwa na ccm waweke pingamizi kwa wagombea wote halafu badae wakati kura zinakaribia kupigwa pingamizi lipite CCM na Cdm wawe wameanguka japo ccm itakuwa imeshinda kwa mgongo wa nyuma.
Nashauri uongozi wa juu wa cdm wajaribu kulitazama na hili coz ccm wapo tayari jimbo liende kwa mkewe CUF na si kwa wapambanaji CHADEMA.
Nawasilisha

Mkuu usipoteze muda wako kubishana na hawa Endelea na kazi mimi nawatosha tu mkuu.
Haya wanajamvi mi sipendi niseme sana jionee mwenyewe kupitia MAGOLANGA'S BLOGSPOT
KWANI UNAPATA NINI KUTOA TAARIFA ZA UONGO KAMA HIZII? shame on you
KWANI UNAPATA NINI KUTOA TAARIFA ZA UONGO KAMA HIZII? shame on you

Dear Comrade Nape Nnauye
You know what, you are doing a commendable job for your party...so please don't be discouraged by some of the negative messages against your party and yourself. Honestly, you are better off and of course you deserve it! So please keep it up!
I am in Igunga right now, I tell you what, Dr. Kafumu is at the PEAK! Mwl. Kashindye isn't that much composed and lacks both public political speaking skills and confidence. Truly CDM is up there....but their political contender is much much down......Unless miracles happen......and he is not that much strong despite the CDM's top leadership back-up!
Please, note that I am neither a CCM nor CDM or any other party.....just an indpendent consultant on a different assignment based in Igunga until October 4, 2011.
Cheers and keep well!
umtoshe nani wewe gamba hata hoja huwezi kujenga kazi kuandika misamiati ya kizungu tu hapa, nepi hana ishu yoyote amebaki majungu tu

Mkuu usipoteze muda wako kubishana na hawa Endelea na kazi mimi nawatosha tu mkuu.