Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.

<br /kwanini uteseke namna hii andika kiswahili

Angel umenichekesha sana, nina hakika baada ya kuandika post hiyo ambayo imemchukua takriban dakika kumi, amekula tembe ya panadol iliyo kwenye paketi ya blister ili kupunguza maumivu ya kichwa.

Igunga leo.

Msafara wa Mkapa ukiwasili mjini Igunga

4.JPG

Mashabiki wa CCM wakiwa kwenye msafara wa mapokezi ya Mkapa

05.jpg

Mwenyekiti mstaafu wa CCM Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa akisalimia wananchi baada ya kuwasili kijiji cha Makomero nje kidogo ya mji wa Igunga.

Picha na HakiNgowi

kwa mashangingi na watoto wa shule kwenye mikutano CCM awajambo
wakifa wanakwenda kushinda msibani kwao huku habari zikiwa covered na magazeti na TV
ZOTE nchini
kwa nini?

Mkuu Nape,
Hii shida umeichangia kwa kiasi kikubwa baada ya kusema umetuma watu wengi mitandaoni kujibu mapigo, watu ambao ninaamini unawalipa fedha za chama, tangu hilo tangazo lako tukaanza kuona vituko hapa jamvini na mabingwa wa kusoma kila bandiko na kujibu kulingana na mapenzi yako. U should be ashamed first kabla hujashugulika na huyu. kwa hilo ulilolifanya na kulitangaza hadharani
msamee bure sio nape huyooo

sawa, mimi ni boya nipo kwenye keyboard. leo ujue Bosi wako Nepi alivyo na hasira sidhani kama mtalipwa overtime

wewe kwangu ni kama mdudu tu, tena mdudu mwenyewe sisimizi

The story is purely apocryphal although the booboisie might find it veracious and some of ninnyhammers will even dare to award it many thanks. The reality is CCM have landed Igunga by storm, the crowd was astonishing and jubilant populace waved the party's flags as a clear harbinger of, as usual, a landslide victory.
kaka tunaongelea uzinduzi wa kampeni na sio ujio wa ccm igunga

Wana JF
Napatwa na wasiwasi juu ya hawa CUF na rufaa zao dhidi ya mgombea wa cdm na ccm, Ikumbukwe ccm baada ya kuona wameishiwa nguvu jimbo la kawe 2010 waliamua kumuongezea Mbatia Milion 80 ili ashinde yeye na si Mdee wa chadema. Binafsi napata wasiwasi kuwa hawa Cuf walishaambiwa na ccm waweke pingamizi kwa wagombea wote halafu badae wakati kura zinakaribia kupigwa pingamizi lipite CCM na Cdm wawe wameanguka japo ccm itakuwa imeshinda kwa mgongo wa nyuma.
Nashauri uongozi wa juu wa cdm wajaribu kulitazama na hili coz ccm wapo tayari jimbo liende kwa mkewe CUF na si kwa wapambanaji CHADEMA.

Nawasilisha

kaka tunaongelea uzinduzi wa kampeni na sio ujio wa ccm igunga

Kiingereza chenyewe unajua au umeishia kuona nyotanyota tu hapo? Mwambie Mbowe akulipie English course ili uelewe ninachoongelea hapo.

05.jpg

kwa mashangingi na watoto wa shule kwenye mikutano CCM awajambo wakifa wanakwenda kushinda msibani kwao huku habari zikiwa covered na magazeti na TV ZOTE nchinikwa nini?

Mkuu kuna tatizo hapa. Kwa nini watoto wadogo kama hawa wanaingizwa kwenye siasa? Halafu walipokaa kwenye hiyo gari ni hatari. Hope Nape anayaona haya. Tuachane na beef za kisiasa, sio fair kuwatendea watoto wadogo kama hawa hivyo. This is not right.

"Kashindye ashindwa kumfumua Kafumu" hio nayo poa sana

Mkuu kuna tatizo hapa. Kwa nini watoto wadogo kama hawa wanaingizwa kwenye siasa? Halafu walipokaa kwenye hiyo gari ni hatari. Hope Nape anayaona haya. Tuachane na beef za kisiasa, sio fair kuwatendea watoto wadogo kama hawa hivyo. This is not right.

CCM inapendwa na watu wa rika lote kuanzia watoto hadi wazee. Hao watoto wanakuzwa ili wakiwa wakubwa wajue misingi ya uongozi. Chadema mnavuna msipopanda pale mnapowadanganya vijana kwa kete za ndumu ili wajaze mikutano yenu.

Unabii unatimia anguko la ccm yaani magamba kushindwa kuzindua kampeni zao . Watavuna walichopanda

Kiingereza chenyewe unajua au umeishia kuona nyotanyota tu hapo? Mwambie Mbowe akulipie English course ili uelewe ninachoongelea hapo.
kingereza changu cha shule ya kata heri wewe mwenye kingereza ch darasa la nne ya zamani ,ndio maana manatuingiza kwenye mikataba mibovu kwa kujidai mwajua kumbe hovyo tu

KWANI UNAPATA NINI KUTOA TAARIFA ZA UONGO KAMA HIZII? shame on you

unavuna ulichokipanda anza na uliowatuma hapa jf ndio ukemee wengine.

Mwita 25 kweli unapambana sana, lakini unabahati mbaya unapiga ngumi ukutani, unagusa thread nyingi bila mantiki na kwa hiyo hata sisi tusiekufahamu tumekuondoa kwenye orodha ya watu muhimu. Ebu kaa chini jipange namna bora ya kushambulia, you are on the defensive site and certainly not able to emerge from that corner and on this matter remain assured that no single person on the planet has ever warn a war or arguements if is all the time kept on the defensive by his enemy/opponent. Just be creative and walk out of that difficult corner and provide challenge that will make us think kidogo to face you. Mimi napata shida kusoma thread yeyote ambayo avatar yako naiona kwanza. Mungu akubaliki Jf ni forum yakushindana kufikiri kwa kichwa na si vinginvyo. Sitaki kutumia lugha ya Didas "masaburi'

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom