Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Nakumbuka chama cha nccr mageuzi kilitoa msimamo wa kutoshiriki uchaguzi Igunga na kilisema kitakiunga mkono chama cha upinzani kitakachoonyesha kukubalika.

Sasa kampeni zimezinduliwa na msimamo wa wanaIgunga umeanza kuonekana sasa je NCCR wanaegemea wapi..?

mwita25 vp na ccm ni chama cha upinzani? soma vizuri hapo nilipobold

Ndiyo hivyo tena wameamua kutuunga mkono sisi nyie mlie tu.

kuna usemi wa mashabiki wa mpira pesa unasema ukiona chupi ujue kapigwa kokote...ukiona kimya mpaka sasa ujue sunami la jana limeteketeza..

Baada ya jana CHADEMA kuuteka mji wa Igunga na CCM kujikuta kwenye wakati mgumu leo wameshindwa kuzindua kampeni kama walivyotangaza na kufanya maandalizi hapo awali na hii ni dalili kuwa wamejua moto uliowashwa jana ni mkubwa mno.

Sasa wameamua kuwa wataenda kuzindulia kampeni zao kijiji kinaitwa Choma na hiki kipo mpakani na Nzega , inawezekana wanataka wabebe watu kwa malori siku hiyo na uzinduzi sio kesho wala kesho kutwa .

Nawapa taarifa hiyo , hadi baadae.

Nimesema kwenye thread moja hapa JF wakati nachangia mawazo yangu...kuwa wakati Nape akitangaza kuwa Mkapa ni jembe na kamanda mimi nasema Mkapa ni jembe la kichina ambalo ukilimia ardhi ya Igunga linapinda.....Na kuwa Dr wa ukweli Slaa ni jembe la ki-jerumani,chuma cha reli ambacho hata kutu tu akishiki....nadhani sasa Nape na wafuasi wako uchwara mmeanza kuona upepop ulivyo huko Igunga............Nadhani huu ni mwanzo,mengi yanakuja toka CHADEMA......

mwache kalilia wembe wa CDM umchane vizuri,akirud dsm asisahau kumfikishia salamu na moto wa CDM unavyosambaa

kuna riport kutoka watu walioko kwenye kamati inayoratibu kampeni za uchaguzi ccm igunga kuwa kumetokea kutokuelewana kati ya nape na mwigulu kuhusu mbinu sahihi ziwafaazo kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi wa ubunge jimbo la igunga, nape anashutumiwa kuvuruga mambo kiaina!

Id yako mwenyewe haijaanza kwa herufi kubwa.

hahahahahahahaha duh

Tupe taarifa za kweli mkuu.

ETM
Huyo Nape angekuwa na maelezo kinyume na mtoa mada angetoa ila
sema kashindwa kuvumilia kajikuta kaandika huo utumbo badala ya kukaa kimya,
kiongozi wa level ya Nape hakutakiwa kuja hapa jamvini kumshutumu huyu mtoa mada/mwananchi ila angekuja na ukweli
wa mambo na kui quote thread yenyewe.

kwa wenye upeo wanaweza kumsoma Nape kwamba amekanuka ukweli kwa sababu umemuuma na hana material fact
ana endesha chama kama duka lake binafsi,
ya kwamba anaweza kujibu watu anavyotaka bila kuwa na staa sasa nini maana ya kiongozi?

JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 15th April 2011
Posts : 783
Rep Power : 22

icon1.png

quote_icon.png
By Nnauye Jr
KWANI UNAPATA NINI KUTOA TAARIFA ZA UONGO KAMA HIZII? shame on you
Mkuu usipoteze muda wako kubishana na hawa MENDE na PANZI. Endelea na kazi mimi nawatosha tu mkuu.​
Huyu ni kati ya vijana watiifu wa nape waliotumwa ku'polute' jukwaa.

Pamoja na Tambo nyingi kwa Viongozi wa Chadema kwa kurusha makombora kwa CCM hakuna alie thubutu kugusa suala la Kagodaa kwenye uzinduzi wa kampeni Igunga. Hakugusia hata kidogo kashfa ya Kagoda!
Watalamu wa mambo ya siasa wanasema Chadema hawana ushahidi juu ya Kagoda kama Ushahidi wa Msema kweli! Imekua vigumu kwa CDM kuongelea Kagoda tofauti na hapo nyuma kwani suala la Kagoda kwa sasa halitakiwi porojo za kisiasa kinachotakiwa ni Ushidi uwe kama ule wa Msemakweli au Zaidi! Suala la Kagoda linaipunguzia Chadema kuaminiwa kwani hawana ukweli wake.
Suala la Kagoda halimgusi Dk. Slaa peke yake,
Kwan impact ya wizi kama ule mpaka kwako inafika,
Napata mashaka na Mwanaume mzima kama wewe na ndevu zako, eti unakaa kusubiri mwanaume mwenzio ndio akuongelee shida zako,
Watu kama nyie mnahitajika sana Mombasa,
Huyo Msemakweli unaemsifia sana kama kweli amekukuna "kampe"

The story is purely apocryphal although the booboisie might find it veracious and some of ninnyhammers will even dare to award it many thanks. The reality is CCM have landed Igunga by storm, the crowd was astonishing and jubilant populace waved the party's flags as a clear harbinger of, as usual, a landslide victory.
Aroo MraOle wako usipojibu maana mkono hautakwenda kinywani.Kujiunga 15 April 2011Post 787 katika siku 148 mpaka leo 09/09/2011 sawa na wasitani wa post 5 kwa siku.

Pamoja na Tambo nyingi kwa Viongozi wa Chadema kwa kurusha makombora kwa CCM hakuna alie thubutu kugusa suala la Kagodaa kwenye uzinduzi wa kampeni Igunga. Hakugusia hata kidogo kashfa ya Kagoda!

Watalamu wa mambo ya siasa wanasema Chadema hawana ushahidi juu ya Kagoda kama Ushahidi wa Msema kweli! Imekua vigumu kwa CDM kuongelea Kagoda tofauti na hapo nyuma kwani suala la Kagoda kwa sasa halitakiwi porojo za kisiasa kinachotakiwa ni Ushidi uwe kama ule wa Msemakweli au Zaidi!

Suala la Kagoda linaipunguzia Chadema kuaminiwa kwani hawana ukweli wake.

Sumu ya magamba walionyeshwa wana igunga ndio inawafanya CM kutafuta tiba sahihi ba kukurupuka . Wananchi wa igunga wengi wanahani bila ufisadi wa mtu mmoja basi hawawezi kuishi ndio maana CDM inaenda taratibu.

Wanaiguga wakiambiwa mapema tatizo la ugonjwa wao kuwa masikini ni CCM na ufisaidi wanaweza kukimbia kwa wanazani CDM au upinzani ni adui kumbe ndio mmkombozi . CCM imewaaminisha wana igunga kuwa UFISADI ndio uti wa mgongo wa Igunga..

Kuwapa wana igunga ukweli wa kagoda ni sawa na dakatari kumpa majibu mgonjwa kuwa ana ukimwi bila kumpa counceling.

Aroo MraOle wako usipojibu maana mkono hautakwenda kinywani.Kujiunga 15 April 2011Post 787 katika siku 148 mpaka leo 09/09/2011 sawa na wasitani wa post 5 kwa siku.

Umetoa miezi miwili niliyopigwa ban kwa kumtukana Slaa?

KWANI UNAPATA NINI KUTOA TAARIFA ZA UONGO KAMA HIZII? shame on you

Dear Comrade Nape Nnauye

You know what, you are doing a commendable job for your party...so please don't be discouraged by some of the negative messages against your party and yourself. Honestly, you are better off and of course you deserve it! So please keep it up!

I am in Igunga right now, I tell you what, Dr. Kafumu is at the PEAK! Mwl. Kashindye isn't that much composed and lacks both public political speaking skills and confidence. Truly CDM is up there....but their political contender is much much down......Unless miracles happen......and he is not that much strong despite the CDM's top leadership back-up!

Please, note that I am neither a CCM nor CDM or any other party.....just an indpendent consultant on a different assignment based in Igunga until October 4, 2011.

Cheers and keep well!

Mkapa's supporters, I admire your guts, inspite of kujipaka matope mkiwa ktk kampeni, sijui.
Siasa za CCM ni za 'uchwara' kasema RA.
Ila, Mkapa lini kakanusha kwamba si fisadi?

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom