Mwita25
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 3,831
- 1,169

Nakumbuka chama cha nccr mageuzi kilitoa msimamo wa kutoshiriki uchaguzi Igunga na kilisema kitakiunga mkono chama cha upinzani kitakachoonyesha kukubalika.

Sasa kampeni zimezinduliwa na msimamo wa wanaIgunga umeanza kuonekana sasa je NCCR wanaegemea wapi..?

mwita25 vp na ccm ni chama cha upinzani? soma vizuri hapo nilipobold

Ndiyo hivyo tena wameamua kutuunga mkono sisi nyie mlie tu.