Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
kwa hiyo umechangia chama kupoteza mvuto na Taifa kukosa muelekeo.kweli magamba kazi mnayo!

wewe n i muongo! Jitu kubwa ongo sana,kampeni inajulikana ccm walitangaza kuzindua tarehe 10 siyo tarehe 9 kama huna taarifa kaa kimya.umekaa kutuma taarifa za uongo uongo tu jitu zima!

Ratiba ilitangazwa wazi sasa hii yako imetangazwa lini?

Mimi Chadema ikishinda Igunga wallahi natembea uchi kutoka Ubungo mpaka Posta kwa miguu.

sifa za mtu mwizi, kahaba, mnafiki
Kukosa 1 aibu
2 hatosheki uroho umimi
3 hana huruma
4 anapo kosa
-hakubali kukosolewa
mtu akikosa aibu ogopa hatofautiani na mnyama aibu humfanya mtu asifanye mabaya kwakuogopa akijulikana heshima utuu wake huzalauliwa kuhofu mngu nk ili uwe fisadi unatakiwa ufuzu hizo sifa au kuwatetea mafisadi unatakiwa uwenahizo sifa unaweza ongeza unazo zifaham

Mwenyekiti mstaafu wa CCM Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa akisalimia wananchi baada ya kuwasili kijiji cha Makomero nje kidogo ya mji wa Igunga.

Wana CCM igunga wakiwa kwenye mapokezi ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa.Picha na Bashir Nkromo-igunga

Hii rangi ya Koti la Mkapa hii, mhmm! Sawa.

Hilo nalo neno,magamba wanaweza kufanya chochote mradi wapambanaji wakose

kuna member anajua habari zako hapa kuanzia ulikotoka,atatujuza,tunasikia familia yako ni mambo ya ajabu,utakimbia mwenyewe

usipate tabu toa tu, hapa jamvini mambo yako wazi wala hamna kificho kama baba riz kapewa suti ikajulikana ije kuwa mm na familia yangu?

mkuu igunga vumbi si unajua lazima uandane na hali ya hewa!

Wewe ndie mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya kanda ya kati uliyekwenda Igunga kwa KAZI MAALUMA?!

Kwahiyo ina maana CCM ikishinda na wewe utatembea uchi?

Ni wewe pekee yako unayeweza kuwaza kutembea uchi, pole sana. CDM itashinda na wewe huna haja ya kutembea uchi, kwa sababu hujatuambia nani atasimamia zoezi lako la kutembea uchi; ni kama vile mnatumbia maisha bora kwa kila mtanzania wakati ni afadhali ya jana kuliko leo

old english! siku nyingine ukiishiwa vocabularies utachanganya na kikwenu!

mkuu igunga vumbi si unajua lazima uandane na hali ya hewa!

Igunga vumbu, Lazima uvae rangi kama ya CDM! Kijani haiendani na hali ya hewa? Nashukuru kwa taarifa Mkuu.

Je kuna umuhimu wa mdahalo kwa wagombea ubunge Igunga?

Katika hili, kama ilivyo kwenye mambo yote ya haki MASABURI HAYASIDII KAMWE. HOJA, HOJA WANANGU! Tutachaniana Jezi bure!

hahaha hata mie meipenda iyo, kweli vipaji watu wanavyo dahhhh imetulia ki k mtu wangu

Dah,
Watu kweli wabunifu,
Hiyo kitu imetulia sana.
Watu wana vipaji sana,
sema basi tu serikali yenyewe ndio hii isiyojali raia wake kwa kuweka mazingira mazuri kwa watunzi kama hao.

KWANI UNAPATA NINI KUTOA TAARIFA ZA UONGO KAMA HIZII? shame on you

Mkuu NAPE tuwekee picture za Mkutano wa Chama chetu.,ili na sisi tuwalingishie hawa jamaa maana wanatunyanyasa kweli..!tuwekee bwana tuone tulivyofunika na watoto tuliowabeba kwenye mafuso..!Maana kama hakuna picha daah..itakuwa ngumu kweli kujitetea..!

Shidhani kama CCM wanaweza kuwa na huo utayari unaoufikiria wewe!

Papa d nnachofaham hususan siasa kwa mimi ni kwamba, hawa cuf wamepagawa na ushindi wa chadema ambao mpaka sasa uko wazi. Badala ya wao kutekeleza azma ya upinzani kwa kumchambua ccm ambaye ndo chama kilichoko madarakani anafikia hatua ya kumpinga mpinzani mwenzake Chadema, hii hali inaonesha wazi kwamba hayuko kikazi bali kupumbaza wapiga kura.
"We need people's power 2go in in z parliament for the benefit of Tanzanians" Cuf kaeni mjipage ila kwa staili hiyo MMECHEMSHA.

Igunga vumbu, Lazima uvae rangi kama ya CDM! Kijani haiendani na hali ya hewa? Nashukuru kwa taarifa Mkuu.
Mbona watu wenyewe wa kuhesabika..na itakuwa wamebebwa kwa mafuso tuu..!

KWANI UNAPATA NINI KUTOA TAARIFA ZA UONGO KAMA HIZII? shame on you

Ni dalili tosha CCM imefilisika hadi kuweka kiongozi Nape hadhi ya chama Katibu Mwenyezi Kitaifa mwenye mtazamo kama huu, lugha za vibaka kama hizi na kukosa adabu kwa watu anaojiona anawatumikia. Sijui hata ukuu wa wilaya alipewaje?

Kiongozi unatakiwa kuwa mvumilivu, busara na hekima. Fikiri kabla hujahamasika kujibu kitu nini madhara yake. Nasema bora mzee Yusuf Makamba pamoja na kuropoka lakini alichagua nini aseme kuliko Nape.

Kwa wanaojua elimu ya tabia na saikolojia ya watu Nape ana tabia ya kitoto ya kufananishwa na Teeage, maana kiongozi mkubwa kitaifa mwenye dhamana kubwa anawezaji kujibu kama alivyoandika hapo juu? Thats really shame to the CCM Party, kwani Katibu Mkuu Mkama anaonyesha busara lakini huyu utafikiri anavuta kwanza zile sigareti maarufu za kubinyua mabega na fizi.

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…