Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Nadhani hii haitusaidii tukubali mkutano wa leo ulikua mkubwa kama mikutano ya jangwani? Kazi ipo pale imeonesha CCM wameuandaa mkutano wao na umekuwa mkubwa. Ni mara mbili ya ule wa cdm ndg zangu

Nadhani hii haitusaidii tukubali mkutano wa leo ulikua mkubwa kama mikutano ya jangwani? Kazi ipo pale imeonesha CCM wameuandaa mkutano wao na umekuwa mkubwa. Ni mara mbili ya ule wa cdm ndg zangu
Evidence, haya maneno hata kwenye khanga yapo

MUNGU ATAWATANDIKA KWENYE KURA MANA TAIFA LINAOMBOLEZA MSIBA MKUBWA WA WAPENDWA WETU WAO WANAZINDUA MIKAMPENI YA KUCHUMIA MITUMBO YAO, ht MUNGU KESHAWACHOKA.

Zitto hawezi kuhudhuria kwasababu ya tofauti zao na Mbowe. Unajua Zitto huwa hapendi kupelekwa pelekwa kama Mkokoteni. Sasa bila yeye sijui mtashinda vipi uchaguzi?

mbona zitto aliweka wazi mapema sana kwenye tweeter yake kwamba angeelekea znz kufuatia janga la kitaifa lililo tokea znz, au kuna lakwako unatafuta kulipenyeza kupitia dirishani?umewasilisha umejibiwa, wahusika kunusuru server, naomba hii thread ipelekwe kunako

Tunaomba uongozi unaoratibu shughuli za kampeni chadema Igunga kutujuza kwanini mwanasiasa mahiri na naibu katibu mkuu bara zitto kabwe hakuhudhuria kwenye uzinduzi wa kampeni.Hii inatutia mashaka vijana na wananchi kwa ujumla kwa sababu viongozi wote wakuu walihudhuria.Naomba kuwasilisha.

Naamini Zitto kama binadamu hawezi kuwa kila kona wanakokuwa viongozi wakuu wa CHADEMA. Kuzindua kampeni mpaka viongozi wote wawepo? Jamani nadhani wana CDM mfike mahali muwe realistic!

Burdani kwa tunaotoka kwenye mkutano mzito wenye hadhi ya kuhutubiwa na BIG BEN MKAPA. Pigeni porojo tu hapa JF soon nawarushia picha za kutano muone CCM inavyokualika Igunda hakuna cha CDM wala CUF hapa.

Zitto hawezi kuhudhuria kwasababu ya tofauti zao na Mbowe. Unajua Zitto huwa hapendi kupelekwa pelekwa kama Mkokoteni. Sasa bila yeye sijui mtashinda vipi uchaguzi?
Mbona unaelekea kuwa kweli unafikiri kwa kutumia masaburi yako, Zitto ndiye anayepiga kura?

mbona zitto aliweka wazi mapema sana kwenye tweeter yake kwamba angeelekea znz kufuatia janga la kitaifa lililo tokea znz, au kuna lakwako unatafuta kulipenyeza kupitia dirishani?umewasilisha umejibiwa, wahusika kunusuru server, naomba hii thread ipelekwe kunako

ZittoTwitter_normal.jpg

zittokabwe Zitto Zuberi Kabwe

Nimeahirisha safari ya Igunga. Naenda Zanzibar kufuatia msiba huu mkubwa kwa Taifa #ZanzibarBoatAccident

9 hours ago FavoriteRetweetReply

mbona janga la zanzibar limetokea leo na uzinduzi ulikuwa juzi? Ina maana hakualikwa kwenye uzinduzi? Mbona naibu katibu mkuu zanzibar alikuwepo?

Tunaomba uongozi unaoratibu shughuli za kampeni chadema Igunga kutujuza kwanini mwanasiasa mahiri na naibu katibu mkuu bara zitto kabwe hakuhudhuria kwenye uzinduzi wa kampeni.Hii inatutia mashaka vijana na wananchi kwa ujumla kwa sababu viongozi wote wakuu walihudhuria.Naomba kuwasilisha.
Tunaomba uongozi unaoratibu shughuli za kampeni CCM igunga kutujuza kwanini mwanasiasa mahiri na mjumbe wa NEC Edward Lowasa hakuhudhuria kwenye uzinduzi wa kampeni.Hii inatutia mashaka wazee na wananchi kwa ujumla kwa sababu viongozi wengi wakuu na wabunge wa CCM walihudhuria.Naomba kuwasilisha

Nikiwa kama mdau wa siasa za hapa nchini Tanzania napenda kutoa funzo kwa jamii ya wana Igunga ili wanapokwenda kuchagua kiongozi basi wazingatie sana maslahiya taifa na hususani ya jimbo lao la Igunga na si ushabiki wa vyama vya siasa.

Hili nimeamua kulisemea kwa kuwa wengi wetu ni washabiki sana wa vyama vya siasa hadi inapelekea tunakuwa vipofu wa kutambu nani ni kiongozi bora na nani ni bora kiongozi.

Naomba nitoe funzo hili kwa kutumia mfano huuu.

Kulikuwa na kijiji fulani ambacho wanakijiji wake waliteseka sana kwa njaa hadi ikafikia watu kupoteza uhai wao. Wazee wa kijiji kwa kushirikiana na wanakijiji wakaamua kumtuma kijana wao mpendwa mwenye nguvu ili aende kuwatafutia chakula ili awaletee wanusurike na njaa. Lakini yule kijana alipofika kwenye nchi yenye neema akajisahau na akaanza kufuata raha za ulimwengu huku akiwabeza wanakijiji kuwa wasimsumbue wamuache ale raha zake.

Aliwaita watu wenye wivu kwa kuwa wanamuonea gere na hayo mafanikio aliyopata. Kumbuka huyu bwana hayo mafanikio anayojigamba nayo ni kwa kuwa kijiji kilimpa dhamana ya kwenda huko.

Basi hapo kijijini ikabibi wachange chakula choote walichobakiza ili wampatie kijana mwingine aliyesema yeye ni mzalendo wa kweli hatowaangusha kama mwenzake. Alipopewa hicho chakula akaenda kutafuta chakula kingi ili waje kula wanakijiji woote. Cha kushangaza naye hakurudi kabisa akaanza kuponda raha za dunia.

Fundisho
Hapa wana wa Igunga uamuzi ni wenu ninyi, kama mlishafanyiawa dhuluma ya kumtuma mtu halafu akawaangusha sasa ni wakati wenu wa kumtuma mtu ambaye mna hakika atarudi na kile mlichomtuma.

Mtu wa mwenye dhamira ya kweli ndio hasa anafaa kwa kazi hii. Lakini yule anayetaka kuwacheza shere mkataeni kwa sauti kuu kwa kumwambia katu hatudanganyikiiiiii

zittokabwe Zitto Zuberi Kabwe

Nimeahirisha safari ya Igunga. Naenda Zanzibar kufuatia msiba huu mkubwa kwa Taifa #ZanzibarBoatAccident

9 hours ago FavoriteRetweetReply

Ha ha ha! Hicho kilikuwa ni kisingizio tu. Sasa ameenda Zanzibar kwani yeye ndiyo askari wa uokoaji? Au wale waliopo Igunga hawana uchungu na msiba? Huyu jamaa mbona aliweka wazi toka mwanzo kwamba hawezi kwenda Igunga.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom