Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
hizo ndizo za Mkapa na Kikwete labda umesahau tukukumbushe...Uchaguzi wa Igunga, CCM, Ajali, Mwanafunzi na Misiba!!!
Siku mgombea wa CCM anaingia Igunga na kwenda kurejesha fomu, Ajali, MWANAFUNZI kagongwa na lori kafariki dunia, msiba Igunga nzima;
Leo Mh. Mkapa na CCM yote kwa ujumla wake wanajiandaa kuzindua kampeni kwa nguvu zote, Ajali, MSIBA nchi nzima, mamia ya watanzania wengi wao WANAFUNZI wamekufa maji!
Kama sielewi elewi hivi!!!!!!!