Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Ameachana na siasa lakini hajaachana na CCM

Mwaita25,

Mwezi wa kumi mwaka jana Rais Kikwete alimnadi yeye (Rostam Azizi) kuwa ni mtu safi, miezi miwili baadae Rais huyo huyo anasema wanajivua gamba. Then Rostam anajiuzulu kwa kudai kuna siasa uchwara, mwezi mmoja baadae anarudia kufanya siasa zile zile alizodai ni uchwara. Ni kitu gani kimebadilika tangu aliposema hivyo na leo wakati anauza sera? Bado anaona siasa ni uchwara au la? Hii inadhihirisha ni jinsi gani ccm ni waongo.Kama sio kufilisika ni nini?
 
Sikio la kufa halisikii dawa na kwa yanayoendelea Igunga si haba maana hata mtoto mdogo anaweza kupata maswali mengi juu ya yanayojilia ndani ya CCM na kauli mbio zao za kuvuana magwanda. Kuna dalili Rostam ametishwa hadi kufikia hatua ya kukubali mwaliko wa kufungua kampeni. Hata idara ya umoja wa mataifa walishaanza kumfuatilia toka Nairobi hadi jana anaingia kanda ya ziwa kwa siri.

Lakini hili la CCM kumkumbatia tena Rostam ambaye walimshinikiza kuachia ngazi ni kitengawili.
 
Mwaita25, <br />
<br />
Mwezi wa kumi mwaka jana Rais Kikwete alimnadi yeye (Rostam Azizi) kuwa ni mtu safi, miezi miwili baadae Rais huyo huyo anasema wanajivua gamba. Then Rostam anajiuzulu kwa kudai kuna siasa uchwara, mwezi mmoja baadae anarudia kufanya siasa zile zile alizodai ni uchwara. Ni kitu gani kimebadilika tangu aliposema hivyo na leo wakati anauza sera? Bado anaona siasa ni uchwara au la? Hii inadhihirisha ni jinsi gani ccm ni waongo.Kama sio kufilisika ni nini?
<br />
<br />
Kwa mfano mwanaume na mwanamke wamefunga ndoa then wanapata watoto. Baada ya muda mwanamke anachoshwa na tabia za mumewe na hivyo analazimika kuachana naye. Swali: Je mwanamke hana haki ya kuwaona na kuwatembelea watoto wake na au hata kutoa msaada kwao? Ukijibu hapo utakuwa umeshapata jibu la kwanini Rostam yuko kwenye kampeni.
 
hana jipya nae unafiki 2 unamsumbua.....................ka bdo anaipenda Igunga si angeeendelea 2 kua mbunge,hz forced 2 stand dere
 
huyo Rostam anafanya nini hapo si alisema ameachana na gutter politics za magamba
cho
Mimi ndiyo kinachonishangaza, yaani siasa ya bongo kuna kipindi ni kama hadithi za mahoka, yaani ni ngumu kuelewa anachukia kwa kumananisha!
 
Uwingi wa watu ni ishara kuwa ccm watashinda kwa ushindi wa kimbunga ccm oyeeeee
 
maybe hatukumuelewa. alisema ccm inafanya gutter politics,what if yeye ndo gutter yenyewe?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
huo ndo uchaguz wa jimbo tu ni hiv...itakuwaje 2015?....
2015 itakuwa bomba kwa sababu hapo kila mtu atakuwa anatetea nafsi, kila mtu anaogelea kivyake. Uchaguzi huu wa Igunga ni mgumu kuliko watu wanavyodhani kwani CCM ni kama haitakubali kuliachia jimbo kirahisi huku CDM ikitaka kuonyesha umma kuwa inakubalika na chama kinakuwa kila uchwao na CUF nao watataka kudhihirisha bado wamo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom