Igunga nzima nyumba ni moja tu jamani Magwanda?
ukifikiria sana hapa unaweza kuumwa kichwa !!!!!!!!!!Kama kuna chama cha siasa kilichofilisika kimaadili na ki-utashi basi ni CCM. Uwepo wa Rostam Azizi kwenye hii kampeni defies logic kabisa kabisa! Swali la kujiuliza kwa nini kuna uchaguzi mdogo leo hii Igunga? Aliyechaguliwa mwaka jana amekufa? kama hajafa nini kilimpata? na inakuwaje mtu mliyemkataa (according to ccm na wimbo wao wa mgamba) leo hii mnakubali?
Mwaka jana wakati wa kampeni za uchaguzi Rais Kikwete alienda Igunga na kumnadi Rostam Azizi huku akisema ni mtu safi, miezi 10 baadae hao hao wakubwa wakasema Rostam hafai, leo hii wanarudi tena (ccm ile ile) kusema Dr. Kafumu anafaa! Kama walikosea kwa Rostam Azizi na kusema anafaa, leo hii wamepata wapi akili za kujuwa Dr Kafumu anafaa?
Halafu bila hata haya wala soni Mkapa na Mukama wanajidai kuwa Igunga ya 94 si hii leo! Wanadai kuna maendeleo! Kwani Igunga ya 94 haikuwa ya CCM? Nchi hii haijataliwa na chama kingine chochote zaidi ya ccm na mama yake (TANU). Sasa wanataka kusema IGUNGA ya 94 ilkuwa mbaya sana kwa sababu wakati huo ilikuwa (IGUNGA) chini ya FRELIMO? Wanaongea nini hasa hawa viongozi? Na hayo maendeleo wanayosema ni yepi hasa? Maji yanapatikana muda wote? Umeme wa uhakika? Wanafunzi wanafaulu zaidi kuliko sehemu nyingine Tanzania hii? au wana huduma bora za afya? Maendeleo gani?
Nimesikitika sana kumuona Ra kwenye jukwaa tena akitabasam,najua alitumia haki yake kikatiba kujiuzulu,lkn hakutazama hasara anayotutwisha wananchi ili uchaguzi ufanyike tena. Hawa watu hawana washauri jamani?ni juzi juzi alisema ccm,inafanya siasa uchwara,leo kafuata nini?pamoja na kodi zetu kutumika,bado muda mwingi wananchi wa Igunga hawatafanya kazi za kuzalisha.Wanaigunga fanyeni kweli kuondoa hawa watu magamba ujinga,maana wao wanaona ni wajanja na nyie ndio wajinga.
<br />Hili nimeshalitolea ufafanuzi tayari. Nimeuliza kwa mfano wanandoa wanaishi na kupata mtoto lakini baada ya muda mwanamke anachoshwa na tabia za mumewe na analazimika kudai talaka na ndoa inavunjika. Je ni kosa kwa mwanamke kutoa msaada kwa mtoto wake pale anapojisikia?
products za shule za kata utazijua tu....Uwingi wa watu ni ishara kuwa ccm watashinda kwa ushindi wa kimbunga ccm oyeeeee
tunafahamu kuwa wewe ni nyumba ndogo ya NEPI, lakini je huwezi ku-integrate mambo kwa akili yako mwenyewe?Nadhani hii haitusaidii tukubali mkutano wa leo ulikua mkubwa kama mikutano ya jangwani? Kazi ipo pale imeonesha CCM wameuandaa mkutano wao na umekuwa mkubwa. Ni mara mbili ya ule wa cdm ndg zangu
yaani wewe unapelekewa kotekote, kwa sababu naona tena umekuwa msemaji wa CDM, angalia usiwe.......Zitto hawezi kuhudhuria kwasababu ya tofauti zao na Mbowe. Unajua Zitto huwa hapendi kupelekwa pelekwa kama Mkokoteni. Sasa bila yeye sijui mtashinda vipi uchaguzi?