Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
<br />
<br />
Siongezi neno hata moja. Umenena vema.
 

basi usukumani kuna kazi ,
sasa nimelewa kwa nini hakuna faida kwenye madini, si huyu ndiye kamishina/?

na huyo mama yuko huko kwa ghalama za chama au kama katibu mkuu? hasije kuwa katumia nauli ya serikali kwenda kwenye kampeni za mumewe , je kaomba likizo?
 

mkuu mkewe ni kigogo serikalini kama sikosei ni katibu mkuu wizara ya maji au mawasiliano
hawa wako kwenye dreamer
swali nalojiuliza huyo mama yuko likizo au anatumia mshiko wa serikali kwa mambo ya CCM
 
ROSTAM ni maarufu kuliko chama.
Wanachama wengine wengi tu wa ccm wanakizidi chama umaarufu.
 
Uwingi wa watu ni ishara kuwa ccm watashinda kwa ushindi wa kimbunga ccm oyeeeee
Maigizo tu hayo wingi wa watu wasio wapiga kura (wasanii), pia hakuna CDM anaerudisha kadi hao wamepangwa CCM hawana jipya msiwaamini kabisa.
 
Aliwajibika na kuachia kiti mnacho kililia leo hii. Yeye kabaki kama mwanachama wa CCM, anapigania chama chake kitu ambacho ni haki ya kila Mtanzania. Mbona nyie wanaCDM mnapigania chama chenu mpaka kumwagia watu tindikali kwani na nyie mliwahi kuwa wabunge?
 
Kafumu ametumia busara sana atleast kuwafanya wapiga kura wote wawe wake zake. Kuna kaubinadamu hapo japo kawadhalilisha. CCM huwa wanawafanya wapigakura kama comodities.
 
iwe ni lazima wapigakura wapewe nafasi ya kutosha kuwauliza maswali wagombea, isipofanyika hivyo, kampeni hazitakuwa na maana. itakuwa ni hadaa na usanii mkubwa.
 
Mkuu hata ungekuwa wewe wa kike usingeacha kwenda, kama unapewa mwekundu bure, kanga na kofia bure mtaji vigelegele na elimu yenyewe ndio hiyo? wacha waende kura siri ya mtu fainali kwenye vote box

 

Nadhani ile speech aliandikiwa. Yeye alisoma tu!
 

Miongo kumi!!
Sawa bana, mi na hiyo font yako tu...
 
Well.. wapo wanaume watakaomchagua kama mke wake alivyomchagua hujaona wakipiga mavuvuzela na kushika mabango? Kama uko offended usimchague its as simple as that. Msamaha hupati.

ukiona hivyo kakoswa koswa na zile tshirt na jeans za ccm na vile vi red vyao wanavyosasmbaza uwachague kuwa mpole mkuu ukiona wamekunyima njoo chadema tunakuhakikishia maisha kw a kila mwanandoa magwanda ya harusi buree huitaji kwenda kwa wahindi wakubabue ukimbie mkeo tuletee mengine huko
 
wacha vijana waende wengi mkuu ili ccm wabweteke wasipoenda ccm wataanza mkakati mpya wa kuchakachua fainal ni kwenye vote box, kumbuka ukisikia kelele za ushabiki sio eti unashangiliwa wengine wanakuzomea mkuu, usipate presha wacha wajae hata mara mia yake



Inanisikitisha sana kuwaona vijana ambao tunatakiwa kilikomboa taifa letu kutoka mikononi mwa mafisadi wamevaa minguo ya kijani wanaipigia ccm kampen, tubadilike jamani msifikiri kuna mtu mwingine wakuja tofauti na sisi wenyewe especialy vijana.
 

omr

aliwajibika kwa kuwa aliona hawez kuwa sehem ya siasa uchwara.labda we mwezentu unaweza ukatuambia uliielewa vp kauli hii. "Ndiyo maana nimeona ni afadhali sasa niwape nafasi wale wanaoendesha siasa hizi uchwara na zisizo na tija waendelee na siasa zao hizo ambazo kwa bahati mbaya kwao, mimi sina muda nazo na siwezi kuwa sehemu yake"
 
Teh teh teh teh teh teh! Namuona pale mzee wa siasa uchwara, teh teh teh teh teh teh teh teeeeeeeh
 
Ni aibu iliyoje kiongozi aliyewahi kuwa mkuu wa kaya na wengine wengi wa kitaifa kupata sapoti ya wasanii,kumbe shazi la watu lilitokana na watu kuja kuwaona kina Masanja mkandamizaji,joti na wenzao! basi kweli tumekubali,maana hao kwawatu wa Igunga na jirani zao Nzega,hiyo ndo ilikuwa nafasi pekee ya kuwaona live tena bure,kama tu hapa Dar watu wanakanyagana kuwaona kina masanja na kundi lake iweje mikoani?kwa hilo tumekubali,na ndio maana hata Gamba ambalo ni Gamba la malaika aitwatae RA limlitua pale,bila hivyo mzee mzima angeanguka kama mrithi wake.
Kumbe ni original komedi,kiukweli hapo mmecheza vinginevyo ilikuwa aibu.
Lakini fanyani mjuaavyo nawakumbusha days are numbered.
Kwa vile ni Igunga mm napajua huko,hivi kweli Anben ni ya kufanyia kampeni mtu?hivi wanaigunga siasa uchwara zimeisha?kwanini msimuulize jukwaani alifuata nini kama alikimbia siasa uchwara?je anapompigia debe Kafumu RA anaupendo kweli?kwann ampeleke mwenzie kwenye siasa uchwara zilizopeleka kuachia ngazi?au Igunga hamjiuulizi hili,Aliwaambia wazi mpaka wengine mkazimia,mkalia sana kiasi kwamba leo hata tone moja la machozi haliwatoki kufuatia watanzania waliopoteza maisha kwa ajali ya meli?
Msiongopewe hakuna chama kinachoweza kuwajengea daraja la Mbutu wala kuleta Maji ni kodi zenu na michango mnayochangizhwa kila kukicha.
Fikirini mara mbili juu ya haya magamba yaliyowatembelea Igunga
 
<br />
<br />
CHADEMA hawagawi kofia, ila wanauza kukijenga chama, na watu wananunua. CCM wanagawa mpaka khanga! Upumbavu wa ajabu sana! Hii ni matumizi mabaya ya pesa za wananchi.

Nani anatumia vibaya pesa za wananchi masikini? Mmoja anawauzia kofia (ambazo zimetengenezwa kwa kodi za wananchi) na mwingine anawagawia bure.
Bila hata kujali kama kofia ni muhimu au lah, jibu liko wazi sana...
 
WAJINGA NDIYO WALIWAO NA CCM INATUMIA UJINGA WA WATANZANIA, UMASIKINI WAO PAMOJA NA UFUKARA WA KUJITAKIA ....... KUFANIKISHA USHINDI WAO..... Hebu angalia alichosema ALINICHAGUA MIMI NIWE MUME WAKE, KWA HIYO NA NYINYI NYOOTE FANYENI HIVYOHIVYO! Na watu wa Igunga kwa vile wamepewa pilau, Tshirt walizowavalisha maana walikuwa hawana lazima washangilie hivi ndivyo hata nchi inauzwa Dr. JK tu kauza nchi kwa Suti itakuwa watu masikini wa Igunga waliotopea kwenye lindi la umasikini
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…