Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,487
- 910
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapojiingiza kwenye jamvi la Great Thinkers ni busara pia nawe kutoa mawazo yako uliyoyafikiri(great thoughts) na si tu kuandika. rejea enzi zako za kujifunza kusoma na kuandika, mwalimu wako alitumia juhudi kukufundisha ujue kusoma na kuandika ili usome mawazo ya wenzako na wewe upate maarifa ili uyatumie yale yaliyo ndani yako kuwaambia wengine kwa maandishi. sasa naona mwenzangu unachoandika hapa hakiendani na lengo la mwalimu wako wa shule ya awali , (hapa tunamuacha mwalimu wako wa elimu ya juu), kwa kweli umemuangusha sana na kama bado unawasiliana nae mpigie simu umtake radhi, kwamba umetumia vibaya taaluma yake.
Nimeshindwa kukuelewa kama wewe ni great thinker kwa vile huwezi kuelewa tofauti ya uwingi wa watu na matokeo ya kura za uchaguzi. Mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya watu kufuata matukio yaliyopo pale kwa wakati ule, vikiwemo vikundi vya ngoma za mkole, kwaya, komedi na kadhalika na kadhalika, Remi Ongala (RIP) aliwahi kusema kuwa muziki huwakuanya watu akimaanisha kwamba, watu wanafuata muziki si wapiga muziki. hata mimi nilikuwepo pale lakini sikusikia jipya, nilipata tu kichefuchefu kwa niliyoyasikia pale.
SASA WAAMBIE WENZAKO, WATANZANIA WANAJUA WANACHOKIFANYA, HAWADANGANYWI NA NYIMBO WALA NGONJERA, LAKINI BADO WANAPENDA BURDANI KWA HIYO UKIPIGA NGOMA WATAKUJA, WATACHEZA , NA WATAKUSAIDIA KUCHEZA NA PILAU UKIPIKA WATAKULA, LAKINI HILO HALINA UHUSIANO NA KURA ZAO. KURA ZAO ZITAKWENDA KWENYE GHALA LA MAENDELEO AMBALO WAO WANALIJUA NA SI UFISADI.
wasalaam
wana JF nanukuu kauli ya ndg rostam wakat anaachia ngazi huko igunga."Katika ulimwengu wa kibiashara wa leo, vita hivi ambavyo vinaweza kuonekana kuwa ni vidogo tu vyenye malengo ya kuchafuana kisiasa, vinakuwa na athari kubwa katika uhusiano wa kibiashara kuliko hata wale wasioelewa wanavyoweza kukadiria. Ndiyo maana nimeona ni afadhali sasa niwape nafasi wale wanaoendesha siasa hizi uchwara na zisizo na tija waendelee na siasa zao hizo ambazo kwa bahati mbaya kwao, mimi sina muda nazo na siwezi kuwa sehemu yake. Na mimi kwa upande wangu niendelee na maisha yangu." ebu tuyatafakali hayo maneno yenye rangi nyekundu inakuwaje leo hii rostam anasimama jukwaani kupigia debe siasa uchwara ambazo alisema hazina tija,hana muda nazo na hawezi kuwa sehemu yake.
Mkuu,hawa jamaa wanaudhi sana,ni kweli umaarufu wao umepungua sana ukilinganisha na awali walipokuwa wanaichallenge serikali ktk mambo mengi ya msingi. Pia watu waliohudhuria ukiacha matangazo(ya nguvu) ya takribani wiki mbili pia yamechangiwa na umbumbumbu wa watu kushobokea komedi ambayo kwa waelewa ishapoteza umakini wake. Lets wait an see. Hapa mtu anaenda kuona komedi akisukumwa pia na alichopewa, mikutano ya CDM watu wanaenda voluntarily kusikiliza hoja thats the different
Wadau Wanajamvi AsalaaamAlykum!
Ni kitambo nimekuwa sirushi post hapa jamvini ila kuhusu hili imenibd nifanye hivi japo kuwatoa tongotongo zlizotanda kwenye kope zenu enyi wanajamvi wazalendo na wapigania maendeleo ya hii nchi(Inji) ye2
Firstly, I just wanna alert u of the suspicious issue that arose immediately before commencement of the Igunga election compain,
As per the report frm one of my intelligent secret agents working in the so known int'l bank she just informed me the withdrawal of approximately 3.1 bil Tshs of which there is no apparent supporting document to where such an amount is gonna be utilized to! Na kumbukeni the owner of Caspian is Rostam aziz.
N b4 this withdrawal, there was a transaction frm BOT involving dis Caspian account!
Sasa just imagine hii CCM bado inatutafuna hata katika uchaguzi huu mdogo kwa hela za wavuja jasho wa nchi hii wanataka kufanikisha kumweka Fisadi mwingine tena katka System!
Kwa mtu anaefuatilia vizuri siasa za nchi hii CCM sahv hawana chanzo kingine muafaka cha mapato zaidi ya Ruzuku na ada ya uanachama ambazo kwa ujumla nachelea kusema kuwa haztoshi kukfanya chama chao cha vichwamaji kushka hatamu bla kuchakachua!
Hivyo basi hawawezi hata siku moja kumtupa Rostam coz he is everything to 'em all n he got Power!
Sitaki kuongea sana ila mkitaka evidence ntamwaga hapa coz makablasha yote ninanyo!
Nihayo tu na ninaomba kuwasilisha!
pia ukichunguza kwa makini utawakuta vijana wengine hawafurahishwi na kinachoendelea hapo, wameuchuna na kuwashangaa wajinga walivyopandwa na mbwembwe, kumbe hawajui ubaya wa ccm.

Unajisikia vibaya! I know. Lakini mkuu do again your calculations, the opposite might be true. Kwamba Ccm haters wanaweza kuwa converted na kuwa Ccm lovers just to have something in common with their favourite commedians. Love that huh...
Ile picha inayosema vurugu zenu mkafanyie Arusha na Kilimanjaro imenikera sana maana kama na CCM wanaendekeza haya mambo ya ukabila, ukanda na ujinga nchi hii basi mwisho wake unakaribia, ni vizuri mtu akatafuta tu biashara zake kwingine akale maisha na wajinga wa sehemu ka za Igunga ka kweli wapo waendelee kuponda usingizi wa pono
Hivi kweli kijana anayeelewa haya yanayoendelea TANZANIA anashika bango kama lile la rangi ya njano????