Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Mhh, wale vijana walio rudisha kadi imeniuma saana, hebu nisaidieni, hivi watakuwa wamerudisha kwa ridhaa yao au ndo huko kununuliwa?
kama watu wanashawishwa kwa kubebwa na malori na kupewa matambara ya deki, vipi wakipewa pesa za ufisadi?

NAUZA KURA YANGU. - Hebu tujadili hili

watu hawa inawezekana wametoka wilaya zote za jirani kwa ajili ya kuja kumuona mkapa, ngoja kampeni zitulie ndio utajua ccm wako wangapi
kwa idadi hii niliyoiona ushindi wa CDM huko wazi maana ninavyofahamu mimi CCM debe walilopiga wiki mbili nzima la kukusanya watu na kutoa usafiri wa bure ungetegemea siyo uwanja kujaa bali mpaka kwenye miti hiyo ungeona watu wamejaa. kwa idadi ya kwenye picha hizi CCM ina hali ngumu ukizingatia uwanja huu ni mdogo umezungukwa zaidi ni vijumba kwa sababu ukimuangalia mtu wa mbele mpaka wa nyuma kabisa may be wanaweza kuwa 25M a part kwahiyo kama nilivyosema ni mapema lakini CCM ina hali ngumu kama hawa ndio watu walioweza kuwakusanya kwa wiki mbili na usafiri wa bure.

Maelezo yako yanaonesha hofu yako ya kweli. Na unajitahidi kukanusha hisia zako. Sina hakika na tafsiri ya unafiki, lakini ni kama...

Khanga na Tshirt labda ni ghali kwa Chadema kumudu. Lakini kofia wanagawa kama kawa, which means they are willing to but not able.

CHADEMA hawagawi kofia, ila wanauza kukijenga chama, na watu wananunua. CCM wanagawa mpaka khanga! Upumbavu wa ajabu sana! Hii ni matumizi mabaya ya pesa za wananchi.

wanawake ndio hasa chanzo chakurubuni yaani utadhani hawana akili mimi naona kama ni mke wangu nikimukuta yupo kwenye kampeni ni kupiga na talaka juu yake maana hao hao ndio waadhiorika wakuu kuliko wananume ni haoa hao wapiga debe wa ccm siwaelewi kabisa. au walienda kuangalia wasanii wa Original Komedi au?

Kiufupi CCM ndio imetufikisha hapa!! na tumeichoka, ngoja tuwang'oe kwanza halafu ndi tuijenge tanzania tunayoitaka. Hata hao wamarekani unaowasema uksefu wa ajira ndio umepamba moto huk na madeni ndo hayashikiki.

Toa CCM kwenye ubongo wako na tutafika tu.

Rostam ameyarudia matapishi yake mwenyewe. Siasa uchwara amezisamehe.

Asingehudhuria ccm wangemfungia biashara zake. Hata uraia nadhani ungekuwa mashakani. Inaonekana ameenda pale kulinda biashara zake.

mbona zitto aliweka wazi mapema sana kwenye tweeter yake kwamba angeelekea znz kufuatia janga la kitaifa lililo tokea znz, au kuna lakwako unatafuta kulipenyeza kupitia dirishani?umewasilisha umejibiwa, wahusika kunusuru server, naomba hii thread ipelekwe kunako

Janga limetokea siku moja baada ya uzinduzi wa CDM, yaani kesho yake. unawezaje kusema alielekea kunako janga?

The oroijino Komedi mnajishushia hadhi yenu kwa kutumiwa hasi na CCM, jueni kwamba umaarufu wenu unashuka na kupoteza mvuto kwa wapenzi wenu kama ilivyokuwa zamani. Kaeni chini mtafakari kisha mjiulize ni Watanzania wangapi wanaichukia CCM kisha idadi hiyo mtoe kwenye hesabu yenu ya zamani kabla hamjachakachuliwa Chama Cha Mafisadi (The freedom is coming tomorrow)

Unajisikia vibaya! I know. Lakini mkuu do again your calculations, the opposite might be true. Kwamba Ccm haters wanaweza kuwa converted na kuwa Ccm lovers just to have something in common with their favourite commedians. Love that huh...

• Thanks
Reactions: DSN

Hilo nimeshalitolea ufafanuzi kwenye thread ya 'Rostam Aziz na siasa za uchwara'

Wewe ni Rostam au una uhusiano gani nae mpaka utoe ufafanuzi kwa ishu za ndani kabisa ambazo hata mke wake hajui? Nimesema hapa JF mara nyingi na naendelea kusema kuna watu ni watumwa wa hawa viongozi wa CCM na huyu kilaza Mwita25 ni moja wa hao....Rostam atakutumia mpaka uchake ndio utagundua kuwa siasa za CCM ni laana.....

Ahksante kwa picha! tafukuri yangu; watu wapo lakini wamekunywa na mahitaji tofauti kabisa kwa kuangalia nyuso zao mawazo yao hayajaratibiwa na mkusanyiko huo; umati unawashangaa viongozi, unawachungulia akina masanja, viongozi wanawaza cha kuwambia wananchi rostamu amekaa kama msukule, Mkama analazimisha tabasamu. hawa watu si wamoja lazima watashikana miguu usiku tu. subiri siku zipite

View attachment 36965

Sehemu ya umati uliohudhuria mkutano huo.

kuna dada kavaa ushungi wa kijani na blauzi ya kijani, anawashangaa wenzake na kuwaona hawana akili, hawafikirii. kuthibitisha hili ameweka kidole chake sikioni/kichwani anajaribu kuwatathimini watanzania wenzake, anahitimisha "hamjui nyie mnavyoibiwa na haya magamba". pia ukichunguza kwa makini utawakuta vijana wengine hawafurahishwi na kinachoendelea hapo, wameuchuna na kuwashangaa wajinga walivyopandwa na mbwembwe, kumbe hawajui ubaya wa ccm.

Ndugu kili picha yajieleza hakuna sababu ya kusema mengi. Wasio vaa jezi ni CDM, wanaoshangilia ni CCM peke yao ambao ni takribani 30 - 30. Na Wengi wamesikiliza ni uongo gani mwingine watasema. MAGAMBA hawana jipya.

VIVA CDM.

Hizo ni baadhi ya picha ambazo zimepatikana leo katika uzinduzi wa kampeni za chama cha CCM jimboIgunga.
View attachment 36963

Rais Mstaafu Ndg Benjamini Mkapa akimnadi mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CCM Ndg Dr. Kafum.

View attachment 36965

Sehemu ya umati uliohudhuria mkutano huo.

View attachment 36966

Kama kawaida wasanii wa Original Komedi walikuwepo kusherekesha uinduzi huo.

View attachment 36967

Baadhi ya vijana wakirudisha kadi za CDM baada ya Mkapa kumwaga sumu.

View attachment 36968

Katibu mkuu Ndg Willson Mkama anaonekana akisisitza jambo katika uzinduzi huo. Awali ilidhaniwa asingehudhuria.

View attachment 36969

Hapo awali ilidhaniwa Rostam asingehudhuria uzinduzi wa kampeni za kumtafuta mrithi wake, swali sijui siasa uchwara zilizomuondoa amezisamehe.

View attachment 36970

Rostam na Mkama wakionekana wakifuatilia kwa umakini uzinduzi huo, siasa kazi kweli kweli.

View attachment 36971

Bango hili mmmm utalisemea mwenyewe.

Magamba mna hali ngumu kama hali ndio hiyo manake mi naona mbuzi tu hapo wala si watu....yaani wamekata tamaa na bado wana hali ngumu sana kwa kweli.

Na hao "mbuzi" unaowaona wataichagua Ccm. Wakati huo utagundua kuwa hawakuwa mbuzi na wala haikuwa porini, kipindi hicho tutaurudia msamiati wetu maarufu wa "kuchakachuliwa"
But then again, it'll be too late...

Uwingi wa watu ni ishara kuwa ccm watashinda kwa ushindi wa kimbunga ccm oyeeeee

Unapojiingiza kwenye jamvi la Great Thinkers ni busara pia nawe kutoa mawazo yako uliyoyafikiri(great thoughts) na si tu kuandika. rejea enzi zako za kujifunza kusoma na kuandika, mwalimu wako alitumia juhudi kukufundisha ujue kusoma na kuandika ili usome mawazo ya wenzako na wewe upate maarifa ili uyatumie yale yaliyo ndani yako kuwaambia wengine kwa maandishi. sasa naona mwenzangu unachoandika hapa hakiendani na lengo la mwalimu wako wa shule ya awali , (hapa tunamuacha mwalimu wako wa elimu ya juu), kwa kweli umemuangusha sana na kama bado unawasiliana nae mpigie simu umtake radhi, kwamba umetumia vibaya taaluma yake.
Nimeshindwa kukuelewa kama wewe ni great thinker kwa vile huwezi kuelewa tofauti ya uwingi wa watu na matokeo ya kura za uchaguzi. Mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya watu kufuata matukio yaliyopo pale kwa wakati ule, vikiwemo vikundi vya ngoma za mkole, kwaya, komedi na kadhalika na kadhalika, Remi Ongala (RIP) aliwahi kusema kuwa muziki huwakuanya watu akimaanisha kwamba, watu wanafuata muziki si wapiga muziki. hata mimi nilikuwepo pale lakini sikusikia jipya, nilipata tu kichefuchefu kwa niliyoyasikia pale.
SASA WAAMBIE WENZAKO, WATANZANIA WANAJUA WANACHOKIFANYA, HAWADANGANYWI NA NYIMBO WALA NGONJERA, LAKINI BADO WANAPENDA BURDANI KWA HIYO UKIPIGA NGOMA WATAKUJA, WATACHEZA , NA WATAKUSAIDIA KUCHEZA NA PILAU UKIPIKA WATAKULA, LAKINI HILO HALINA UHUSIANO NA KURA ZAO. KURA ZAO ZITAKWENDA KWENYE GHALA LA MAENDELEO AMBALO WAO WANALIJUA NA SI UFISADI.

wasalaam

Wakati Ben anatinga Igunga picha za watoto ndo tulizoona usishangae umati unaouona ni watoto, Ben mtu wa totos. RA hana pa kwenda bila hivyo ngoma ikigeuka itakula kwake.

Well.. wapo wanaume watakaomchagua kama mke wake alivyomchagua hujaona wakipiga mavuvuzela na kushika mabango? Kama uko offended usimchague its as simple as that. Msamaha hupati.

Kwahiyo mkuu unamaanisha nini kwa hao wanaume wanaopiga mavuvuzela....? Maana nimeshindwa ku-comment kwasababu ya kucheka na karibia mbavu zangu zinavunjika lol!! Nice thread!!

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom