Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Kwa jinsi nyie wanyamwezi mlivyo majinga anayo haki ya kuwafananisha na mkewe kwa vile mkewe anamuomba hela ya matumizi kila siku na nyie mnamuomba hela, Tshirt, kofia na skafu na pia vuvuzela za njano. Wanyamwezi kwa CCM ni kama Samaki na maji, mtaozea kwenye nyumba zenu za tembe ambazo hamzijengei vyoo, mnaenda kukata gogo shambani.<br />
Nimeandika hivi ingawa itaonekana offensive to you, lakini lile bango mliloliweka la kibaguzi kuhisisha vurugu na mikoa ambayo ina maendeleo makubwa hapa nchini wakati nyie hamjamudu hata kuchota maji bombani, mnategemea punda kuchotea maji huku mkisifia CCM kuwa ndio baba na ndio mama yenu. Haitatokea nyie mkoa mzima wa tabora mkaoga huku mmesimama, haitatokea kuacha nyumba zenu za tembe kama mtaendelea kukumbatia ndoa yenu na CCM. Mchagueni Dr Kafumu ili awafumue kama mkewe... tehe
<br />
<br />
Siongezi neno hata moja. Umenena vema.
 
Kwa mtu makini si vyema kutumia aina hiyo ya lugha,lakini kwa uzoefu wangu na wakazi na wenyeji wa mikoa ya Tabora,Shinyanga na Mwanza,matumizi ya wagombea wao wengi toka chama cha Mapinduzi,wamekuwa na mapungufu ya kutumia maneno kama ya kafumu wakizingatia au wakimaanisha kuvutiwa kwa mvuto wa wao kuwa bora kama mkewe alivyo muona yeye mumewe kuwa bora zaidi ya wanaume wote ambao mkewe alishapata kuwaona.

Kwa tabia za kisukuma na kinyamwezi maneno hayo huwa hayana sana madhara kwa msemaji kwa kuwa wapiga kula wengi kwa kuiwango kikubwa huwa ni kinamama na maneno hayo ulenga kuwalainisha wakina mama japokuwa pia uwa wapo wakina baba,ambao kwa mapenzi yao kwa chama husika wao tayari uwa wamekwisha jihakikishia tayari kuwa wanakundi kidogo la wapiga kula wanaume hivyo turufu kubwa ni kina mama zaidi pamoja na mabinti.

Ingawa matumizi ya maneno hayo kwa hali ya kitaifa ya sasa ya kusambaa na kuongezeka kwa maingiliano ya utamaduni na utandawazi watamkaji wanapaswa kuona madhara [Impact] ya matamshi hayo hata kabla hayajatamkwa.Ila kwa kuwa bado chama cha mapinduzi akijajipanga katika elimu ya mawasiliano [Public Relation] dhidi ya wagombea wake na wanachama wake na kuwajenga watumie vipi maneno yenye sura ya kuonyesha ukomavu na kuwafanya kuwa ni baba wa demokrasia na mwongozaji mzuri wa siasa za kitanzania.

basi usukumani kuna kazi ,
sasa nimelewa kwa nini hakuna faida kwenye madini, si huyu ndiye kamishina/?

na huyo mama yuko huko kwa ghalama za chama au kama katibu mkuu? hasije kuwa katumia nauli ya serikali kwenda kwenye kampeni za mumewe , je kaomba likizo?
 
Kwa jinsi nyie wanyamwezi mlivyo majinga anayo haki ya kuwafananisha na mkewe kwa vile mkewe anamuomba hela ya matumizi kila siku na nyie mnamuomba hela, Tshirt, kofia na skafu na pia vuvuzela za njano. Wanyamwezi kwa CCM ni kama Samaki na maji, mtaozea kwenye nyumba zenu za tembe ambazo hamzijengei vyoo, mnaenda kukata gogo shambani.
Nimeandika hivi ingawa itaonekana offensive to you, lakini lile bango mliloliweka la kibaguzi kuhisisha vurugu na mikoa ambayo ina maendeleo makubwa hapa nchini wakati nyie hamjamudu hata kuchota maji bombani, mnategemea punda kuchotea maji huku mkisifia CCM kuwa ndio baba na ndio mama yenu. Haitatokea nyie mkoa mzima wa tabora mkaoga huku mmesimama, haitatokea kuacha nyumba zenu za tembe kama mtaendelea kukumbatia ndoa yenu na CCM. Mchagueni Dr Kafumu ili awafumue kama mkewe... tehe

mkuu mkewe ni kigogo serikalini kama sikosei ni katibu mkuu wizara ya maji au mawasiliano
hawa wako kwenye dreamer
swali nalojiuliza huyo mama yuko likizo au anatumia mshiko wa serikali kwa mambo ya CCM
 
ROSTAM ni maarufu kuliko chama.
Wanachama wengine wengi tu wa ccm wanakizidi chama umaarufu.
 
Uwingi wa watu ni ishara kuwa ccm watashinda kwa ushindi wa kimbunga ccm oyeeeee
Maigizo tu hayo wingi wa watu wasio wapiga kura (wasanii), pia hakuna CDM anaerudisha kadi hao wamepangwa CCM hawana jipya msiwaamini kabisa.
 
rostam akae akijua leo hii kapewa nafasi feki ya uanachama safi hadi akaombwa akisaidie chama katka kampen.baada tu ya kampen hiz uchwara zinazofanywa na chama chenye siasa uchwara,basi chama kitarudia kumtambua yeye kama gamba na ataendelea kuwa gamba hadi 2015 ambapo atavikwa vazi la uanachama safi ili aombwe kuchangia kampen."AKILI MKICHWA".
Mi nadhani ukishakuwa mwanachama wa chama cha magamba chenye siasa uchwara upeo wa kufikiri unapungua na unakuwa huwezi kutambua haya.
Aliwajibika na kuachia kiti mnacho kililia leo hii. Yeye kabaki kama mwanachama wa CCM, anapigania chama chake kitu ambacho ni haki ya kila Mtanzania. Mbona nyie wanaCDM mnapigania chama chenu mpaka kumwagia watu tindikali kwani na nyie mliwahi kuwa wabunge?
 
Kafumu ametumia busara sana atleast kuwafanya wapiga kura wote wawe wake zake. Kuna kaubinadamu hapo japo kawadhalilisha. CCM huwa wanawafanya wapigakura kama comodities.
 
iwe ni lazima wapigakura wapewe nafasi ya kutosha kuwauliza maswali wagombea, isipofanyika hivyo, kampeni hazitakuwa na maana. itakuwa ni hadaa na usanii mkubwa.
 
Mkuu hata ungekuwa wewe wa kike usingeacha kwenda, kama unapewa mwekundu bure, kanga na kofia bure mtaji vigelegele na elimu yenyewe ndio hiyo? wacha waende kura siri ya mtu fainali kwenye vote box

wanawake ndio hasa chanzo chakurubuni yaani utadhani hawana akili mimi naona kama ni mke wangu nikimukuta yupo kwenye kampeni ni kupiga na talaka juu yake maana hao hao ndio waadhiorika wakuu kuliko wananume ni haoa hao wapiga debe wa ccm siwaelewi kabisa. au walienda kuangalia wasanii wa Original Komedi au?
 
wana JF nanukuu kauli ya ndg rostam wakat anaachia ngazi huko igunga."Katika ulimwengu wa kibiashara wa leo, vita hivi ambavyo vinaweza kuonekana kuwa ni vidogo tu vyenye malengo ya kuchafuana kisiasa, vinakuwa na athari kubwa katika uhusiano wa kibiashara kuliko hata wale wasioelewa wanavyoweza kukadiria. Ndiyo maana nimeona ni afadhali sasa niwape nafasi wale wanaoendesha siasa hizi uchwara na zisizo na tija waendelee na siasa zao hizo ambazo kwa bahati mbaya kwao, mimi sina muda nazo na siwezi kuwa sehemu yake. Na mimi kwa upande wangu niendelee na maisha yangu." ebu tuyatafakali hayo maneno yenye rangi nyekundu inakuwaje leo hii rostam anasimama jukwaani kupigia debe siasa uchwara ambazo alisema hazina tija,hana muda nazo na hawezi kuwa sehemu yake.

Nadhani ile speech aliandikiwa. Yeye alisoma tu!
 

hujui ulisemalo nakupa pole sana we ambaye unaipenda ccm wkt haijakusaidia chochote pamoja na kwamba wameshika hatamu kwa miongo kumi. Kama wewe ni kuadi wa ccm, utakuwa umefaidi matunda ya ufisadi wa ccm lakini kufaidi kwako kumeenda sambamba na kuufukarisha umma wa mtanzania unaonyimwa hata haki ya kupata elimu, matibabu na makazi bora.

Miongo kumi!!
Sawa bana, mi na hiyo font yako tu...
 
Well.. wapo wanaume watakaomchagua kama mke wake alivyomchagua hujaona wakipiga mavuvuzela na kushika mabango? Kama uko offended usimchague its as simple as that. Msamaha hupati.

ukiona hivyo kakoswa koswa na zile tshirt na jeans za ccm na vile vi red vyao wanavyosasmbaza uwachague kuwa mpole mkuu ukiona wamekunyima njoo chadema tunakuhakikishia maisha kw a kila mwanandoa magwanda ya harusi buree huitaji kwenda kwa wahindi wakubabue ukimbie mkeo tuletee mengine huko
 
wacha vijana waende wengi mkuu ili ccm wabweteke wasipoenda ccm wataanza mkakati mpya wa kuchakachua fainal ni kwenye vote box, kumbuka ukisikia kelele za ushabiki sio eti unashangiliwa wengine wanakuzomea mkuu, usipate presha wacha wajae hata mara mia yake



Inanisikitisha sana kuwaona vijana ambao tunatakiwa kilikomboa taifa letu kutoka mikononi mwa mafisadi wamevaa minguo ya kijani wanaipigia ccm kampen, tubadilike jamani msifikiri kuna mtu mwingine wakuja tofauti na sisi wenyewe especialy vijana.
 
Aliwajibika na kuachia kiti mnacho kililia leo hii. Yeye kabaki kama mwanachama wa CCM, anapigania chama chake kitu ambacho ni haki ya kila Mtanzania. Mbona nyie wanaCDM mnapigania chama chenu mpaka kumwagia watu tindikali kwani na nyie mliwahi kuwa wabunge?

omr

aliwajibika kwa kuwa aliona hawez kuwa sehem ya siasa uchwara.labda we mwezentu unaweza ukatuambia uliielewa vp kauli hii. "Ndiyo maana nimeona ni afadhali sasa niwape nafasi wale wanaoendesha siasa hizi uchwara na zisizo na tija waendelee na siasa zao hizo ambazo kwa bahati mbaya kwao, mimi sina muda nazo na siwezi kuwa sehemu yake"
 
Teh teh teh teh teh teh! Namuona pale mzee wa siasa uchwara, teh teh teh teh teh teh teh teeeeeeeh
 
Ni aibu iliyoje kiongozi aliyewahi kuwa mkuu wa kaya na wengine wengi wa kitaifa kupata sapoti ya wasanii,kumbe shazi la watu lilitokana na watu kuja kuwaona kina Masanja mkandamizaji,joti na wenzao! basi kweli tumekubali,maana hao kwawatu wa Igunga na jirani zao Nzega,hiyo ndo ilikuwa nafasi pekee ya kuwaona live tena bure,kama tu hapa Dar watu wanakanyagana kuwaona kina masanja na kundi lake iweje mikoani?kwa hilo tumekubali,na ndio maana hata Gamba ambalo ni Gamba la malaika aitwatae RA limlitua pale,bila hivyo mzee mzima angeanguka kama mrithi wake.
Kumbe ni original komedi,kiukweli hapo mmecheza vinginevyo ilikuwa aibu.
Lakini fanyani mjuaavyo nawakumbusha days are numbered.
Kwa vile ni Igunga mm napajua huko,hivi kweli Anben ni ya kufanyia kampeni mtu?hivi wanaigunga siasa uchwara zimeisha?kwanini msimuulize jukwaani alifuata nini kama alikimbia siasa uchwara?je anapompigia debe Kafumu RA anaupendo kweli?kwann ampeleke mwenzie kwenye siasa uchwara zilizopeleka kuachia ngazi?au Igunga hamjiuulizi hili,Aliwaambia wazi mpaka wengine mkazimia,mkalia sana kiasi kwamba leo hata tone moja la machozi haliwatoki kufuatia watanzania waliopoteza maisha kwa ajali ya meli?
Msiongopewe hakuna chama kinachoweza kuwajengea daraja la Mbutu wala kuleta Maji ni kodi zenu na michango mnayochangizhwa kila kukicha.
Fikirini mara mbili juu ya haya magamba yaliyowatembelea Igunga
 
<br />
<br />
CHADEMA hawagawi kofia, ila wanauza kukijenga chama, na watu wananunua. CCM wanagawa mpaka khanga! Upumbavu wa ajabu sana! Hii ni matumizi mabaya ya pesa za wananchi.

Nani anatumia vibaya pesa za wananchi masikini? Mmoja anawauzia kofia (ambazo zimetengenezwa kwa kodi za wananchi) na mwingine anawagawia bure.
Bila hata kujali kama kofia ni muhimu au lah, jibu liko wazi sana...
 
Asijilaumu , mbona aliambiwa mapema anaenda kule kuvuna aibu akajifanya kichwa ngumu
Kichwa Ngumu kama mimi

4.jpg


mmeona bango la Nape eh! huo ujumbe atakua kauandika Ndugu Nape Nnauye tuu, aliwahi kusema CDM ni cha wachaga
icon9.png
!
Kwa maneno ya bango hilo inaonyesha wapinzani wa magamba ni CDM tu; CDM tunatisha
 
Baada ya kutoa hayo maneno alishangiliwa. Kwanini hawakumzomea ili ajue kosa lake pale pale? Watanzania tumezidi unafiki.
Hilo ni bonge la dharau, lina maswali mengi sana. Ina maana vigezo alivyotumia kumpata mkewe ndivyo hivyohvyo avitumie kwenu. Atakavyomfanyia mkewe same applied kwenu.
Ni dharau kubwa.
WAJINGA NDIYO WALIWAO NA CCM INATUMIA UJINGA WA WATANZANIA, UMASIKINI WAO PAMOJA NA UFUKARA WA KUJITAKIA ....... KUFANIKISHA USHINDI WAO..... Hebu angalia alichosema ALINICHAGUA MIMI NIWE MUME WAKE, KWA HIYO NA NYINYI NYOOTE FANYENI HIVYOHIVYO! Na watu wa Igunga kwa vile wamepewa pilau, Tshirt walizowavalisha maana walikuwa hawana lazima washangilie hivi ndivyo hata nchi inauzwa Dr. JK tu kauza nchi kwa Suti itakuwa watu masikini wa Igunga waliotopea kwenye lindi la umasikini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom