Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huku maisha yakizidi kuwa magumu.i
halafu yale maharage nawasiwasi yalikuwa hayajaiva... maana naona MAGAMBA wote waliadimika humu matumbo yalikuwa yanawaendesha...
anyway na ww UPO mama sijakuona mda.. au ulikodishwa na MAGAMBA katika kuweka mambo sawa.........
mimi sio kuvaa gwanda tu bali chadema a.k.a chama kristo kikishinda igunga nitatembea uchi tanzania nzimaMimi, kama 'President Elect', niko tayari kuvaa gwanda endapo CHADEMA kitafanikiwa kushinda uchaguzi mdogo, jimbo la Igunga.
Hii ni changamoto kwa CHADEMA na wapambe wao hapa JF, ambao macho na masikio yao yanafuatilia uchaguzi wa Igunga.
Jimbo la Igunga ni karata dume, ambayo CCM wanayo mikononi mwao. Kazi kwenu CHADEMA kuwapokonya, na kama mtafanikiwa, basi na mimi nitavaa gwanda, kama ilivyo kwa mh. Freeman Mbowe au mh. Zitto Kabwe. Nasema tena, kazi kwenu CHADEMA!
duu, kijukwaa utadhani ki barn cha kukamulia ng'ombe kilivyoungwa ungwa na waya na vijiti! CHADEMA wakichua nchi hawa kweli wataboresha hii nchi au yatakuwa yale yale? Nawafagilia kwa kwenda mbele lakini sometimes mmmh... reality check hits you hard.
Sikulaumu sana hata jina lako linachangia wewe kiongea hizo pumnba.mimi sio kuvaa gwanda tu bali chadema a.k.a chama kristo kikishinda igunga nitatembea uchi tanzania nzima
Habari nilizozipata kutoka kwa Chanzo kuaminika ni kwamba Nape amempigia Magoti Rostam ili amruhusu aende Igunga lakini Rostam ametia Ngumu Mpaka masharti yake yatimizwe. Amempa masharti Nape kwamba ili atie Maguu Igunga ni Lazima aimbe sifa zake yeye Rostam, tayari Makada kadhaa wa CCM wameshamsafisha Rostam. Mpashaji ameendelea kusema kwamba Suala la Rostam Kualikwa siku ya Ufunguzi wa Kampeni na Nape Kutoswa linamuumiza sana Nape na Limemshushia Heshima mbele hata ya wale waliokuwa wanamwamini, kwamba Kelele zote zile za Gamba kumbe ilikuwa ni kutafuta Umaarufu wake yeye binafsi na Kundi linalompinga EL urais 2015 ambako kundi hilo Rostam amelipiga Marufuku kukanyaga Igunga ( Hapa nikakumbuka Maneno ya JK Igunga ina Mwenyewe na Mwenyewe ni Rostam). Kwa Hali inavyoendelea ni dhahiri Nape atasalimu Amri na hii inachochewa zaidi na Tamaa yake ya kupenda kujisifia na Kusafisha jina Lake. Ila Rostam bado ameendelea kutia ngumu Maana anadai kwamba Nape ni Kigeugeu yaani Haaminiki
Habari ndiyo hiyo
Mkuu inaelekea umeanza kuvaa viatu vya marehemu sheikh yahya. Kuna mahali nape amejibodoa kwamba anajiandaa kurudi tena igunga,bila shaka atakuwa amekubali kutii masharti ya gamba kuu rostam.