Unafikiri kwamba kwa wewe kufanya hivyo kuna uzito wowote?Kwa nini?Jambo kubwa na la pekee na ambalo liko wazi ni kuwa chadema ikishinda itakuwa imepata mbunge ambaye ataongeza nguvu ya kambi rasmi ya upinzani ndani ya bunge na hata nje ya bunge.Vilevile ushindi kwa cdm utawapatia wana igunga mwakilishi ambaye atakuwa ni mhimili wao mkubwa kuwasemea na kuwatetea kwa dhati kama ambavyo ni kawaida kwa wabunge wengine wa cdm.Haya ni maendeleo yenye tija kubwa kwa igunga na taifa kwa ujumla kuliko kuvaa gwanda kwa president elect.