Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
mimi sio kuvaa gwanda tu bali chadema a.k.a chama kristo kikishinda igunga nitatembea uchi tanzania nzima
Diego maradona aliwahi sema ivo na ndoto yake haikutimia ingawa ilikuwa kwny tasnia ya michezo. Naombea lisitimie hilo unalo taka maana likitimaia utaaibisha jinsia yako. Ova!
 
Kwa vile si mambo ya mungu hata likitimia hakuna tatizo! ila ni vizuri mtu akachunga anachokiongea!
 
kweli? ha ha ha ha ha ha! wee jamaa ndo umeua kabisa, mwenzio anataka ujiko kwa upumbavu wake.....

mmmhhh! haya bana vijana kweli mmeshindwa, hamtumii hata tafsida kidogo ktk kuutaja up****vu wa mtu mzima!!!
 
Una jua kwmtu yeyote asilolijua nisawa nausiku wagiza kwake. Wewe nimmoja wawo ujui kina choendelea igunga pole yako, tutashinda na atuitaji uvae gwanda.
 
Kulaaleki kufa haina breki! Yaani viongozi wa dini wanawambia wafuasi wasichague chama fulani?(!) basi labda huyu mungu ni wakizazi kipya. Na vyombo dola bado kimya! Je dini nyingine nayo wakiamuru wafuasi wao itakuaje?
 
Unafikiri kwamba kwa wewe kufanya hivyo kuna uzito wowote?Kwa nini?Jambo kubwa na la pekee na ambalo liko wazi ni kuwa chadema ikishinda itakuwa imepata mbunge ambaye ataongeza nguvu ya kambi rasmi ya upinzani ndani ya bunge na hata nje ya bunge.Vilevile ushindi kwa cdm utawapatia wana igunga mwakilishi ambaye atakuwa ni mhimili wao mkubwa kuwasemea na kuwatetea kwa dhati kama ambavyo ni kawaida kwa wabunge wengine wa cdm.Haya ni maendeleo yenye tija kubwa kwa igunga na taifa kwa ujumla kuliko kuvaa gwanda kwa president elect.



Tunahitaji Mbunge toka CHADEMA ili kuongeza nguvu ya upinzani ili kuwasemea wananchi.pia itsaidia watanzania kujifunza kuwa CHADEMA ni chama cha kitaifa toufauti na ccm wanavyopotosha wananchi kuwachama chaenye udini na ukabila.
 
hatuihutaji uvae coz kila siku maelfu ya vijana wapya wanaingia kulivaaa
 
Jamani napendekeza tangu sasa na kadri uchaguzi unavoendelea updates zote ziwe kwenye hii thread moja kurahisisha upatikanaji na kubalance taarifa tupatazo..

Kwa kuanzia tu mi niseme taarifa ya habari tbc leo imeni-amuse ilivo cover Igunga hasa chadema..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom