Elections 2010 Uchaguzi Jimbo La Nyamagana Kama Kawaida

Elections 2010 Uchaguzi Jimbo La Nyamagana Kama Kawaida

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,286
Reaction score
4,523
Tume ya Uchaguzi Taifa umetengua maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi Nyamagana na kuamua kwamba uchaguzi utaendelea!

Seems funny though as the appeal was out of time and unprocedural! I will now start my campaigns on the 14th of September! Lau Masha ameandika kwenye Facebook page yake.

Jamaa hajakubali Lol!
 
jamani mmepata habari ya masha kuwa NEC INMETENGUA USHINDI WAKE WA MEZANI KAMA INAVYOSOMEKA KWENYE WALL YA MASHA KWENYE FACE BOOK

Tume ya Uchaguzi Taifa umetengua maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi Nyamagana na kuamua kwamba uchaguzi utaendelea! Seems funny though as the appeal was out of time and unprocedural! I will now start my campaigns on the 14th of September!

KAZI IPO WA NDUGU

Habari Ndo Hiyo toka kwa EXECUTIVE.
 
tume ya uchaguzi taifa umetengua maamuzi ya msimamizi wa uchaguzi nyamagana na kuamua kwamba uchaguzi utaendelea!

Seems funny though as the appeal was out of time and unprocedural! I will now start my campaigns on the 14th of september! Lau masha ameandika kwenye facebook page yake.

Jamaa hajakubali lol!

alikuwa anataka kufanya ufisadi kuepuka hukumu ya wananchi sasa amerudishwa na kijana wa chadema anakubalika nyamagana ni hakuna mfano, kazi ipo kwa masha
 
Tume ya Uchaguzi Taifa umetengua maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi Nyamagana na kuamua kwamba uchaguzi utaendelea!

Seems funny though as the appeal was out of time and unprocedural! I will now start my campaigns on the 14th of September! Lau Masha ameandika kwenye Facebook page yake.

Jamaa hajakubali Lol!
Inatakiwa bidii za ziada zitume ili huyu waziri mzembe kushinda mawaziri wote wazembe asirudi tena bungeni...
 
so MASHA have to compete with others....lets hope a fair ground
 
alikuwa anataka kufanya ufisadi kuepuka hukumu ya wananchi sasa amerudishwa na kijana wa chadema anakubalika nyamagana ni hakuna mfano, kazi ipo kwa masha

Mkuu; hii ni habari kubwa.

Rev. Masa na Executive naomba kama mnamfahamu Mod ajiunganishe pamoja na nyingine nimeipost "Rufaa: Masha Apigwa Chini na NEC"

Tuko pamoja!
 
alikuwa anataka kufanya ufisadi kuepuka hukumu ya wananchi sasa amerudishwa na kijana wa chadema anakubalika nyamagana ni hakuna mfano, kazi ipo kwa masha

Kampeni za kichwa hadi kichwa zimeishaanza huko Nyamagana! Dogo anadharau sana huyu

Mchungaji naanza kufunga na kuombea jimbo
 
so MASHA have to compete with others....lets hope a fair ground

Lakini inaonekana kama Masha hajaridhika. Umesoma statement yake? Anasema:

"Seems funny though as the appeal was out of time and unprocedural! I will now start my campaigns on the 14th of September!"

Kazi kweli kweli!
 
Hizi ni habari njema na zinazofurahisha kila mwanademokrasia ya ushindani. Nilishangazwa sana na kile kitendo cha mtu mwenye dhamana ya kutamka ubatili/uhalali wa uraia wa mtanzania akiruhusika kuweka pingamizi kwa mamlaka isiyo na uwezo wa kuthibitisha ama kukataa uraia wa mtu.
Inafurahisha kwa NEC kutoruhusu contradiction zisizo lazima.
 
Hivi kwani kama angesimama peke yake ndo ina maana asingekuwa na ya kuwaambia wapiga kura wake hata aseme sasa itambidi aanze kampeni hyo trh 14 Sept? Ina maana angeanza kuwawakilisha tu wana Nyamagana bila wawakilishwa kujua watarajie nn ktk awamu mpya ya uwakilishi?
 
Bado JK sasa naye apigwe chini maana kavunja sheria ya uchaguzi...hahaaaaaa
 
Hapo ngoma inogile.mwangalieni ana ujanja wa kusajili na kufilisi kampuni hewa kama deep green na kagoda.kulee IMMA
 
Kuna matumaini kuwa NEC wanaweza kutoa haki.

Mmmh napata kiza kuamini. Sasa mkuu Tendwa atakuwa anatoa hiyo haki akiwa Brussels au? Maana siamini anaweza akawa Tz akatoa maamuzi ya haki. Ila akiweza kupangua hilo kwa kufuata sheria, atangia katika vitabu vya historia ya Tanzania kama kiongozi aliyerudisha uhuru uliokuwa unabakwa na sera za chama tawala
 
Mkuu hata kama Tendwa akiipiga chini CCM, Mahakama Kuu au ya Rufaa inaweza ikatengua hukumu in favour of CCM. Hakuna mtu asiyefahamu hukumu ya Mgombea Binafsi ilivyoamriwa.
 
Lakini inaonekana kama Masha hajaridhika. Umesoma statement yake? Anasema:

"Seems funny though as the appeal was out of time and unprocedural! I will now start my campaigns on the 14th of September!"

Kazi kweli kweli!
kwa jinsi tulivyoumbwa, ukinyang'anywa tonge lazma upate kamaumivu kadogo na nadhani na yeye yamempata
 
Safi sana hiii, i hate Masha. Alijiaibisha kwa haya:
  • ukiwa waziri wa mambo ya ndani, ulishindwa kumchukulia hatua tangu? hadi kabwe akufundishe kazi? very low for you mate. Only in TZ acceptable.
  • Eti siasa sio ugomvi ndo maana nilimwambia ajitoe...... Why not corruption game here? unamshauri?
 
Mkuu hata kama Tendwa akiipiga chini CCM, Mahakama Kuu au ya Rufaa inaweza ikatengua hukumu in favour of CCM. Hakuna mtu asiyefahamu hukumu ya Mgombea Binafsi ilivyoamriwa.

Hata aamue hivyo basi, Mahakama ikawaachie. Tutakuwa tumesogea kidogo
 
Back
Top Bottom